Asante kaka nimefatilia huu Uzi mwanzo hadi mwisho kama kuelimika na kupanua uelewa nimeongeza kwa kiasi kikubwa sana japo nimechelewa ila mie nilikuwa naomba ufafanuzi kidogo kuhusu mwezi nini faida ya mwezi na nini hasara ya mwezi yaani kazi ya mwezi kwa dunia nini maana majibu mengi humu nimeuona wengi wamesema tu mwezi una unavutana na dunia yetu na tunaweza kuona kupitia maji ya bahari kwa maana ya kupwa na kujua je kuvutana huko sisi tunapata nini kama mwezi ukiwa haipo maisha hayawezekani hapa duniani? AsanteCamera maalumu zinaweza kulipiga picha na kupata mwonekano wake halisi wa ardhi yake bila ule mwanga mkali tusioweza kuona kwa macho. Ile surface ni moto full-time na pia milipuko ambayo hua inauwezo kuathiri maisha yetu ya kilasiku...kama mawasiliano, setelites umeme etc.
![]()
![]()
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] mimi binafsi I spend a lot of time thinking of Mshana Jr na thread zake za kishirikina, kuzimu and so on. Common Mshana the forum still open tupia mwana [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]mshana jr Jua ni matokeo ya mjusi gani?
Mkuu, so hapo kabla hakukuwa na jua na mwezi?mwezi upo kilomita laki 3.8 kutoka hapa tulipo, jua lipo kilomita milioni 149.6, Kwenye mwezi joto ni nyuzi 100 mchana usiku ni baridi sana nyuzi negative 177 centigrade. joto kwenye jua inakisiwa ni nyuzi 5500. Kwenda kwenye mwezi unahitaji mavazi maalumu kujilinda na joto na kemikali zilizopo katika anga ya mwezi. Kwenda juani sidhani kama plan ipo ila kuna vifaa spesho vina zunguuka angani kulichunguza maendeleo yake. jua lina kadiriwa kuwa na umri wa miaka bilion 4.5 hata mwezi pia.
Rudi haraka mkuu,wakati ndo sasa!!!.aiss...narudi kanisani!!!kama hilo ni jua je ule moto wa milele utakuwaje!?
Mkuu jua ni nyota, na nyota huzaliwa na kufa. Wataalamu wanasema jua letu lina kadiriwa na umri wa zaidi ya miaka bilioni 4.5 Katika galaxy yetu kuna nyota nyingi hizo uzionazo angani usiku zipo mbali sana, hayo ni majua pia. Wataalam wanashuhudia majua mapya yanavyozaliwa na mengine yanavyo kufa....teknolojia imewezesha kujua yote hayo mkuu.Mkuu, so hapo kabla hakukuwa na jua na mwezi?
NopeHehe mwanasayansi hajaumba jua wala mwezi lakini anajua kuvielezea vizuri sana jinsi vinavyotokea, tunajua vizuri jinsi jua linavyotengenezwa na hata ukitaka tunaweza kukutengenezea version ndogo kabisa laboratory.
Kukimbilia dini kwa kila phenomena ambayo huwezi kuielezea ni ignorance, curiosity ndicho kitu ambacho kimefanya leo hii unatumia internet, ingekua aliyegundua umeme angesema electrons hatuwezi kuzielezea tumwachie Mungu leo hii hata umeme tungekua hatuna.
Kwa hiyo somo la leo, kama una imani shika imani yako lakini isikugeuze kua mjinga au mtumwa, itumie tu kukufariji lakini sio kuondoa maswali
Yote ni maajabu ya mungu mkuu, jambo la maana nikwamba tafiti hizi ndio zimefanya mie nawewe na jamii nzima ulimwenguni tunawasiliana kama hivi kwenye internet, upatikanaji tiba na dawa za magonjwa kama hiv, kansa, ebola, ukoma, tb, kurahisisha usafiri, mbinu za kilimo bora,Hizi sayansi bana! Hebu tujiulize kwa akili ya kawaida tu, kwamba jua in moto tena in moto ambao chochote kitachosogelea kitayeyuka, sasa lenyewe jua linatoa wapi huo moto? Na kinachoungua hapo ni nini ambacho hakiishi? Mi naona sayansi Haina majibu ya mambo mengi tu, wakati mwingine ni kujikweza tu kwa mataifa flan kujifanya wanajua sana, viingereza vingiii....mambo mengine tumwachie alieumba"
Mkuu nadhani mambo mengi yaliyopo ulimwenguni yana tegemeana, location, distance, movement. Wataalamu wanasema mwezi ulitokana na mgongano wa dunia na sayari nyingine iliyokua karibu katika orbit moja na dunia...baada ya kugongana lile vumbi mawe yakakusanyika na kuunda mwezi. Na mwezi ulikuwepo kabla ya viumbe waliopo sasa hapa duniani....Asante kaka nimefatilia huu Uzi mwanzo hadi mwisho kama kuelimika na kupanua uelewa nimeongeza kwa kiasi kikubwa sana japo nimechelewa ila mie nilikuwa naomba ufafanuzi kidogo kuhusu mwezi nini faida ya mwezi na nini hasara ya mwezi yaani kazi ya mwezi kwa dunia nini maana majibu mengi humu nimeuona wengi wamesema tu mwezi una unavutana na dunia yetu na tunaweza kuona kupitia maji ya bahari kwa maana ya kupwa na kujua je kuvutana huko sisi tunapata nini kama mwezi ukiwa haipo maisha hayawezekani hapa duniani? Asante
Asante mkuu nimekupataMkuu nadhani mambo mengi yaliyopo ulimwenguni yana tegemeana, location, distance, movement. Wataalamu wanasema mwezi ulitokana na mgongano wa dunia na sayari nyingine iliyokua karibu katika orbit moja na dunia...baada ya kugongana lile vumbi mawe yakakusanyika na kuunda mwezi. Na mwezi ulikuwepo kabla ya viumbe waliopo sasa hapa duniani....
Ila kuwepo kwake mwezi hapo ulipo una iathiri dunia kama ulivyosema upande wa bahari, nguvu za uvutano, mimea, nahata akili za binaadamu kutokana magnetic waves...kuna mimea inaathirirwa na mwanga wa mwezi, kuna watu mwezi huathiri akili zao, mwezi mchanga na full moon.
Mie nadhani kama mwezi ukiwa haupo tutakosa mazuri yake upande wa vichwa vya watu, mimea na maji kutofika maeneo fulani ya dunia...na ujue maji yanaathiri hali ya hewa, mvua na uoto wa asili...
Nadhani mungu ana maana yake kuuweka mwezi hapo ulipo, unafaida sana mpaka sasa kwa binaadamu na solar system yetu
Mkuu kama unanafasi fatili pia uvumbuzi unaofanywa na darubini ya Hubble, wanaongelea vumbuzi nyingi ikiwemo picha za formation ya majua mapya (new stars),....Pitia huko mkuu uje utupe more critical analysis.Nope
Sasa hivi sayansi imegeuka imani. Too much theories. Blackhole, dark matter, star formation etc. Mfano hakuna ushahidi hadi sasa kuona nyota imezaliwa katika star forming zones.
Nope
Sasa hivi sayansi imegeuka imani. Too much theories. Blackhole, dark matter, star formation etc. Mfano hakuna ushahidi hadi sasa kuona nyota imezaliwa katika star forming zones.
Mkuu jua litazima ndio miaka ijayo na sifikiri kama ndo utakuwa mwisho wa sayari zote hapana isipokuwa chochote chenye uhai hakita survive bila jua hivo viumbe hai vyote vitapotea jua litakufa baada ya hydrogen kuishi ambayo ndo inaleta nuclear fusion na kuleta energy hio in term of heat,electrical and light too, Jupiter inatulinda kwa na vitu vizito kama vimondo kwa ajili ndo sayari kubwa zaidi hivo kupeleakea kuwa na gravity kubwa kuliko sayari zote na kuvuta makorokocho yote yanayppita karibu na hizo orbit nivchache vina penye na kutufikia ktk uso wa dunia but vingi jupiter ana vivutaLeo nilikaa nikawa naangalia chaneli ya Discovery walikuwa na mada ..how does the universe work .. haya mambo ni mazuri sana japo yanafikirisha beyond normal. Kwamba Jupiter ni sayari kongwe kuliko zote na ina zunguka kwenye njia yake (orbit) kwa kasi zaidi ya sayari nyingine yeyote. Na kwamba kwa ndani ina gesi tu za aina mbalimbali zinazohitajika kwa viumbe hapa duniani. Ni kwamba uwepo wa sayari zingine unategemeana na sayari ya Jupiter kwani inafanya kazi ya kuzikinga zingine dhidi ya asteroids na comets. Wanaonesha jinsi ya spidi yake na ukubwa wake unavyosaidia kuzikusanya na kuzivuta kwa spidi kila kinachoingilia huo mfumo na hivyo kusalimisha sayari zingine na jua. Ajabu wanasema miaka kadhaa mbele jua litazima sayari zote zitapotea lakini Jupiter itaendelea kuwepo kwa muda. Wanasema imegunduliwa sayari nyingine sawa na Jupiter na zinafanana sana mpaka wakaipa jina la Jupiter-heart. Hilo jua ukiliangalia kwa ndani unaweza ukahisi ni tanuru la moto fulani alafu kwa ndani ni kama unasafiri kwenye barabara isiyoisha, ni pana saaana.
Jua halipo stationary lipo rina rotate katika orbit ya Galaxy yakeMkuu mxyo16 mimi siku zote nashindwa kuamini kuwa dunia ni duara sasa ukiachilia mbali wale wanaoishi kaskazini jee hao wa kusini na pembeni wanaishije na kama wote wanapata jua la utosi inakuwaje wakati jua lipo stationary? Natanguliza shukrani
Yani tungekuwa na akili kama zako tangu enzi hizo basi usingekuwa hata na hicho kidevice chako kinachokufanya upost hapa..Akili mgandoHizi sayansi bana! Hebu tujiulize kwa akili ya kawaida tu, kwamba jua in moto tena in moto ambao chochote kitachosogelea kitayeyuka, sasa lenyewe jua linatoa wapi huo moto? Na kinachoungua hapo ni nini ambacho hakiishi? Mi naona sayansi Haina majibu ya mambo mengi tu, wakati mwingine ni kujikweza tu kwa mataifa flan kujifanya wanajua sana, viingereza vingiii....mambo mengine tumwachie alieumba"
Hahahaha jibu zuri sanaYani tungekuwa na akili kama zako tangu enzi hizo basi usingekuwa hata na hicho kidevice chako kinachokufanya upost hapa..Akili mgando