Tazama jua lilivyo surface yake kwa karibu

Sayari ama planet ni zile tu zinazo zunguuka jua na hazizunguki kitu kingine, mwezi unazunguka dunia kwahiyo mwezi sio sayari. Yako na mambo mengine yanayofanya sayari kuwa tofauti na mwezi, nguvu za uvutano, ukubwa pia etc

ardhi ya mwezi ni dark grey- rangi ya kijivu nadhani ndio maana ikipigwa mwanga wa jua na kwetu kukiwa giza mng'ao ni mkubwa zaidi.
katika mwezi kuna upande ambao huwa hauonekani duniani kabisaa ambako kupo gizani, kwa hiyo mara zote tunapopigwa na jua na mwezi pia unapigwa kiasi mwanga wa dunia kwenye mwezi sikihiivyo, na vilevile dunia angani huonekana ya bluu.
Ila nadhani hali iko kama picha hapa chini
earth_and_limb_m1199291564l_color_2stretch_mask_0.jpg

mwezi hauna chanzo cha heat kama jua lilivyo na nuclear fusion, na hata ule mwanga unaoakisiwa kutoka kwenye jua hauna heat.
Hapo kaka imenibidi niulize swali lingine kuhusu huu mwezi huu upande wa mwezi unaoface dunia ndio unaog'aa unapoakisi mwanga wa jua sasa maana sisi Mara zote tunaona mwezi ukiwa juu na mwezi unatuangalia sie sasa hao wanaoenda huko mwezini huwa wanatua vipi huku ukiwa mwezi wenyewe unaface dunia kwanini hawatui kichwa chini miguu juu au kwanini wasitue ile upande wa mwezi wenye Giza huko ndio wa naweza kuwa sawa sawa kama huku nadhani umenipata,kingine Mara nyingi tunaona jua mchana lipo juu na mwezi pia Upo jua ila pindi jua likizama tu mwezi unag'aaa unag'aa vipi wakati jua lipo juu yake na wenyewe unag'aa upande wa chini.
 
Mkuu hili swali lipo tekniko sana inabidi kukutana na kujadili haya yote. ila ukipitia huu uzi wote haya yote yamejibiwa pia na wadau...
mwanzo nikua mwezi unaizunguka dunia, dunia na sayari zingine zinazunguka jua, na majua mengine na sayari zao yanazunguka blackhole inaitwa Sagittarius A* katika milkyway galaxy yetu.....zipo galaxies kibao nazo ...haya yote yapo kwenye uzi huu. na hakuna juu wala chini kwenye space, vyote hivi vinaelea mkuu kwenye anga....kama unavyoona nyota anagani usiku, hakuna juu wala chini. hivi ni viashiria vyetu tu hapa duniani
 
Kusema kwamba kuna moto wa jehanam ni mbwembwe tu za kubembelezea sadaka.
 
Camera maalumu zinaweza kulipiga picha na kupata mwonekano wake halisi wa ardhi yake bila ule mwanga mkali tusioweza kuona kwa macho. Ile surface ni moto full-time na pia milipuko ambayo hua inauwezo kuathiri maisha yetu ya kilasiku...kama mawasiliano, setelites umeme etc.

2EFF295100000578-3343135-image-a-35_1449083069812.jpg

0C9002B600000578-3343135-image-a-37_1449084003152.jpg
Mtoa mada vipi kuhusiana na sayari ya nibiru au planet x ni kweli ipo ? Na je huwa inaingia kwenye mfumo wa jua letu? Kama inaingia tutaoona au kupata ishara gani
 
Nikweli hizi stori za planet x au nibiru zipo, na aliyeanzisha stori hizi yupo kiimani zaidi na hata inasememkana pia alisema kaoteshwa.....ila sayari zote ambazo umeshazisikia ni kwamba zipo na zinaonekana na pia hata kisayansi na kimahesabu ziko proven to exist....na hata vyombo vya utafiti vimetumwa na kupita karibu ya sayari hizo na picha zimeletwa...

sayari zote kwenye mfumo wetu pia zinaonekana hata ukiwa na chombo advance kutazama angani...mpaka sasa sayari ambayo ilitiliwa mashaka kwamba sio sayari ni Pluto....na picha zake kwa ukaribu zimetumwa majuzi tu na kwamba ni sayari kamili.

Kwahiyo, hiyo planet x inasemwa kuwa ipo ila hakuna evidence nawala haionekani mkuu....Kikubwa cha kukumbuka ni kuwa yote yanayosemwa kuwa yapo (mfano aliens, mwisho wa dunia etc) wanasayansi wanayafanyia utafiti, na wakipata ushahidi wanatuwekea wazi.....Mpaka sasa bado wanasema hakuna tishio lolote la kuitokea dunia hapa karibuni....

Pia kuna kitu kingine kinachosemekana nimuhimu sana kwamba Jupiter na Saturn ambazo ni sayari kubwa katika mfumo wetu, hufanya kazi kama mabaunsa wa solar system yetu, inasemekana chochote kinachoingia katika mfumo wa solar yetu huvutwa au kutupwa mbali kabisa kabla hata ya kufikia dunia yetu...kapo ka ukweli kuhusu hili
Kwahiyo hiyo planet x inaweza kupata kichapo kutoka kwa hao mabaunsa kabla ya kutufikia hapa duniani....
 
Aise ndio maana nakataa Mungu hawezi kuchoma watu wake kwa moto kama huo..(kama yupo) kisa watu wametenda hasiyoyataka..da huruma ya mungu itakuwa wapi hapo?
Mungu hana sifa ya upungufu.
Chochote anachokifanya kwa waja wake kinathibitisha ukamilifu wake.
Ndio maana baadhi ya mambo ukifanya wewe unakosea ila Mungu tunaita majaaliwa. Mfano wewe ukininyima mimi chakula, utaitwa mchoyo, ila akininyima mimi riziki nitashukuru na kuzidi kumuomba, ila akikupa wewe utajiri tutasema umejaaliwa.

Umeelewa? Haya futa hiyo dhana yako mbovu juu ya Mungu.
 
Nikweli hizi stori za planet x au nibiru zipo, na aliyeanzisha stori hizi yupo kiimani zaidi na hata inasememkana pia alisema kaoteshwa.....ila sayari zote ambazo umeshazisikia ni kwamba zipo na zinaonekana na pia hata kisayansi na kimahesabu ziko proven to exist....na hata vyombo vya utafiti vimetumwa na kupita karibu ya sayari hizo na picha zimeletwa...

sayari zote kwenye mfumo wetu pia zinaonekana hata ukiwa na chombo advance kutazama angani...mpaka sasa sayari ambayo ilitiliwa mashaka kwamba sio sayari ni Pluto....na picha zake kwa ukaribu zimetumwa majuzi tu na kwamba ni sayari kamili.

Kwahiyo, hiyo planet x inasemwa kuwa ipo ila hakuna evidence nawala haionekani mkuu....Kikubwa cha kukumbuka ni kuwa yote yanayosemwa kuwa yapo (mfano aliens, mwisho wa dunia etc) wanasayansi wanayafanyia utafiti, na wakipata ushahidi wanatuwekea wazi.....Mpaka sasa bado wanasema hakuna tishio lolote la kuitokea dunia hapa karibuni....

Pia kuna kitu kingine kinachosemekana nimuhimu sana kwamba Jupiter na Saturn ambazo ni sayari kubwa katika mfumo wetu, hufanya kazi kama mabaunsa wa solar system yetu, inasemekana chochote kinachoingia katika mfumo wa solar yetu huvutwa au kutupwa mbali kabisa kabla hata ya kufikia dunia yetu...kapo ka ukweli kuhusu hili
Kwahiyo hiyo plane x inaweza kupata kichapo kutoka kwa hao mabaunsa kabla ya kutufikia hapa duniani....
Asante kaka ubarikiwe
 
Jua lipo kilomita 149.6 millioni halafu linachoma hivi je likisogea kidogo tu si mkaa utakaobaki
 
Mkuu jua ni nyota, na nyota huzaliwa na kufa. Wataalamu wanasema jua letu lina kadiriwa na umri wa zaidi ya miaka bilioni 4.5 Katika galaxy yetu kuna nyota nyingi hizo uzionazo angani usiku zipo mbali sana, hayo ni majua pia. Wataalam wanashuhudia majua mapya yanavyozaliwa na mengine yanavyo kufa....teknolojia imewezesha kujua yote hayo mkuu.

Kwa hiyo kama nimekuelewa vizuri swala lako mkuu, nikweli hapo kabla hapakuwepo na hili jua na mwezi wetu, yani miaka zaidi ya bilioni 4.5 ila majua mengine yalikuwepo.

Mkuu walitumia kifaa gani kupima umri kama hata kusogelea wanashindwa?? Au walichukua cheche moja kutoka kwenye huo moto wakaipima kwenye ile ya Dr Liki Kabon fotin???
 
Upo sahihi kwamba carbon dating hutumika kujua umri wa viumbe waliowahi kuishi, ila umri wa jua umepimwa kwa kutumia njia inaitwa rubidium dating, Inasadikika kwamba kwenye hii solar system yetu...yani jua, sayari zake, na miezi katika sayari za jua hili, comets na mawe mengine,vumbi viliumbwa muda mmoja, kwahiyo vina umri sawa

....kama jinsi jua linavyoendelea na activities zake na kutoa vitu mbalimbali kama energy mwanga nguvu za sumaku vumbi nadhani wataalamu wamehakikisha wanapata materials kutoka space na juani zinazotupwa kwenye space, nyingi ya materials hizi zinapofika hapa duniani nikama vile vimwondo nk. asa haya mawe kwa ujumla yamepimwa na kukuta kuwa umri wake ni 4.5 billion years old.
Hesabu pia zimetumika....mfano hesabu muhimu katika kujua yote ya angani; e=mc squared....energy= mass x speed of light. Imesaidia kujua uzito wa jua, ukubwa wake...na mengineyo mengi yaliyopo kwenye space.
 
Safi mkuu kuna kitu huwa sikielewi japo naweza kubwa natoka nje ya mada kitu kama bahari kilitokeaje maana ndani ya bahati chini unaweza kukuta kuta miti na mawe na mazingira mengine ya asili kama nchi kavu kitu ambacho huwa najiuliza wakati wa uumbaji wa dunia hakukua na bahari na kama hakukuwa na bahati haya maji yalitoka wapi au yanatoka wapi? kitu kingine dunia tunaambiwa ipo kwenye speed mbina hatufeel upepo kama vile ambavyo Upo ndani ya gari ufungue dirishalazima upepo ukupulize!!! Tatu hivi vipindi vya baridi na joto vinatokana na nini au kuna kipindi jua linatuacha halafu linaturudia yaani kifupi nini chanzo cha baridi ? Maana joto ndio jua hilo vipi baridi. Asante teacher
 
Mkuu inasemekana maji hapa duniani yaweza kuwa yalipatikana kwa njia mbili (bado wanatafiti hawana uhakika ipi ndio sahihi maana ni miaka bilioni kadhaa iliyopita)
1. kwamba dunia ilikua na maji yake wakati inaumbwa, yani kwamba kuna miamba yenye kemikali za kutengeneza maji zilikua pamoja na mawe mengine, mavumbi katika kuitengeneza dunia
2. maji yalikuja na vimwondo au meteorites, mawe haya yalioko mbali kufikiwa na joto la jua, yasemekana yalikua yanaanguka na kuiponda dunia....na kwamba yalikua na kemikali zinazotengeneza maji, ziitwazo carbonaceous chondrites kwahiyo milipuko ya volcano, gesi zitolewazo wakati wa dunia ikiwa kijana kuungana kwa hizi kemikali zikasababisha uwepo utengenezaji wa mvua na....naamini unajua mvua inavyotengezwa...na kwamba ukajengeka uzio au atmosphere kuzuia joto la jua lisikaushe mvuke unaosababisha mvua....kipindi ni miaka zaidi ya bilioni 3 iliyopita

kwa miaka yote hiyo ya mabadiliko na mavalangati kibao mpaka unaona sasa ma bahari katika hali yake ya sasa...Pia inasemekana chini kabisa ya ardhi layer kama ya tatu hivi kuna miamba inashikilia maji mengi sana...

kwenye bahari kuna mimea na wanyama waliogawanyika kutokana namazigira, kuna mimea yenye mizizi na mimea isiyo na mizizi...na ukumbuke mimea hutegemea mwanga wa jua kujitengenezea chakula....na mwanga wa jua huishia futi kadhaa tu....chini kabisa ni giza kwa mimea au miti mikubwa kuota.

Dunia inajizungusha yenyewe speed ya 1000miles kwa saa kupata usiku na mchana, na inalizunguka jua kwa spidi ya 67000miles kwa saa.....
Jambo la kuzingatia ni kwamba hii speed ni kasi sana na kwamba ipo constant ...haipungui wala kuongezeka kama inavyokua kwenye gari, mwendo wa gari ukibadilika unausikia, na kuna kipindi ukiwa kwenye gari na lami nzuri unakua umetulia tu kama huendi....labda kuwe na mitikisiko ndio uta feel mwendo, dunia haina mitikisiko na ipo kwenye spidi ileile. kingine ni nguvu kubwa ya uvutano.....na tulivyo wadogo sana hatuwezi ku feel kitu....yani kama sisimizi ndani ya basi.....Mfano mwingine wanaoutoa nikama ukiwa kwenye ndege kubwa, zile zinaenda spidi 500 km/hr kiasi ukiwa ndani mule na hakuna mitikisiko utadhani umekaa tu. ila unashangaa lisa moja naa upo mwanza kutoka dar.

Kwakweli joto la mahala hutegemea mwinuko wa hilo eneo kutoka usawa wa bahari, milimani hali yahewa si joto huko bara kama ilivyo huku dar, pia misimu katika mwaka, inayosababishwa na dunia kuzunguka jua, Tanzania ipo karibu ya ikweta kusini yake kwahyo joto huongezeka miezi ambayo jua lina mulika direct chini ya ikweta mwezi wa 10 mpaka wa tatu na inategemea mwinuko, halafu unafuu wa joto tunapata miezi kuanzia 4 mpaka wa 9.
Kama unafatilia habari miezi ya 12 wenzetu ulaya huwa wanapata barafu wanavaa makoti sie chrismas ni joto, na pia miezi kuanzia wa 4 hadi kumi huko ulaya wanalalamika summer joto kali vifua wazi na bikini kwa wingi mkuu...
 
Asante

Poa kaka ngoja niendelee kujifunza nikikwama nitarudi
 
Mkuu kuanzia Leo tare19 March tunaambiwa kutakuwa na joto Kali ambalo tunaaamniwa hali hii huwa inajitokeza kati ya zaidi mwezi march na sept hii imekaaje kisayansi?
 
Ni utabiri mkuu, ila ukiangalia kwa Dar utabiriwa joto wiki hii yote hadi jumamosi ijayo utaona kuwa joto litapungua na kutakua na mawingu mazito na radi kwa siku zijazo, leo ilikua 35 centigrades, siku 6 zijazo inatabiriwa kushuka kidogo to 34 C.
Inasemekana joto kwa mwezi wa pili lilizidi wastani wa miaka iliyopita kwa mwezi huo, wataalamu wameonyesha hii ramani, nadhani ndio imeashiria kwa taarifa zilizopo kuwa kuna joto kali, Ukitazama afrika mashariki ukanda wa pwani ikiwemo Dar, kuna hiyo dark pink kuonyesha kuwa joto limevuka record....Ila kama inavyotabiriwa joto wiki ijayo litapungua kwa nyuzi moja kwa wastani...mawingu na mvua mvua....nadhani tutaendelea ku sweat tu mpaka lishuke chini ya 30.

324AB2F600000578-0-image-m-2_1458227341770.jpg
 
Back
Top Bottom