Tazama jua lilivyo surface yake kwa karibu

Tazama jua lilivyo surface yake kwa karibu

Acha mbwembwe, kupata picha ya surface ya jua usiihusishe na dini hata kidogo, acha sayansi ifanye kazi zake.
Haya ndo walikua wanasema kabla ya ndege kutengenezwa, ati binadamu hatukuumbwa kupaa angani, leo hii kimya. Wewe unakuja na yako

Leo nilikaa nikawa naangalia chaneli ya Discovery walikuwa na mada ..how does the universe work .. haya mambo ni mazuri sana japo yanafikirisha beyond normal. Kwamba Jupiter ni sayari kongwe kuliko zote na ina zunguka kwenye njia yake (orbit) kwa kasi zaidi ya sayari nyingine yeyote. Na kwamba kwa ndani ina gesi tu za aina mbalimbali zinazohitajika kwa viumbe hapa duniani. Ni kwamba uwepo wa sayari zingine unategemeana na sayari ya Jupiter kwani inafanya kazi ya kuzikinga zingine dhidi ya asteroids na comets. Wanaonesha jinsi ya spidi yake na ukubwa wake unavyosaidia kuzikusanya na kuzivuta kwa spidi kila kinachoingilia huo mfumo na hivyo kusalimisha sayari zingine na jua. Ajabu wanasema miaka kadhaa mbele jua litazima sayari zote zitapotea lakini Jupiter itaendelea kuwepo kwa muda. Wanasema imegunduliwa sayari nyingine sawa na Jupiter na zinafanana sana mpaka wakaipa jina la Jupiter-heart. Hilo jua ukiliangalia kwa ndani unaweza ukahisi ni tanuru la moto fulani alafu kwa ndani ni kama unasafiri kwenye barabara isiyoisha, ni pana saaana.
 
Hehehe mkuu usilete dini kwenye sayansi, hakuna kiumbe kwenye jua, wala hakuna kiumbe chochote ambacho tunajua kinaweza kusustain joto kubwa namba hiyo, jua kwa juu ni 5500C ila kwa ndani kuna pressure kubwa na joto linaweza kufika 15Million C. hakuna kitu chochote kinachoweza kusurvive joto hilo. Na hao viumbe unaoongelea sijui jehanamu, we unahisi jehanamu ni kwenye jua?? labda kasome kitabu chako cha dini vizuri, kama kinasema wanaungua kwenye jua basi kipotezee mbali kabisa.

Em angalia scale ya jua lilivyo kubwa, pale kwenye "Earth" ndo dunia, Ukichukua dunia 1.3Million ndo zitaweza kujaza jua, hao viumbe wako lazima watakua wanaenjoy kinoma.

attachment.php

kula liike mkuu, mie siku hizi like siioni kwangu
 
mwezi upo kilomita laki 3.8 kutoka hapa tulipo, jua lipo kilomita milioni 149.6, Kwenye mwezi joto ni nyuzi 100 mchana usiku ni baridi sana nyuzi negative 177 centigrade. joto kwenye jua inakisiwa ni nyuzi 5500. Kwenda kwenye mwezi unahitaji mavazi maalumu kujilinda na joto na kemikali zilizopo katika anga ya mwezi. Kwenda juani sidhani kama plan ipo ila kuna vifaa spesho vina zunguuka angani kulichunguza maendeleo yake. jua lina kadiriwa kuwa na umri wa miaka bilion 4.5 hata mwezi pia.

Mkuu vipi kwa upande wa galaxy ...?
kuna joto kiasi gani pande hizo..?
vipi pia , zinafikika...?
 
Akili za Mungu hazichunguziki!

ni kweli mkuu ila hizi akili alizotupa ametupa uwezo kuchunguza ( ku explore) mazingira yanayotuzunguka bila kikwazo limit, kujua kwetu mazingira kumemuwezesha binaadamu kugundua mambo yanayosaidia maendeleo na teknologia kumfanya aendelee kusavaiv kizazi na kizazi mpaka mwisho wa dunia, tumeweza kujua misimu inavyoathiri maisha yetu na kujiboresha na mabadiko yake, mfano upimaji wa hali hewa mvua sunami kiangazi...kuboresha teknojia katika upatikanaji wa chakula kingi na jinsi ya kukihifadhi kutokana na ongezeko watu duniani, kugundua magonjwa yanayoathiri viumbe hai wote na matibabu yake, imagine hatua iliyofikiwa kupambana na ukimwi kwasasa ukilinganisha na miaka ya 80. Kwahiyo mkuu tunachunguza explore mazingira yetu mpaka level ya ulimwengu universe ili kuboresha maisha yetu kwa uwezo aliotupa mungu, hebu fikiria usingetoka chumbani kwako unapolala kila siku, ungekosa managapi?
 
Hivi kwanini picha ya objects wa anga ni cyclic..duara. dunia yenyewe duara sayari zingine duara mwezi duara jua duara kwanini
 
Leo nilikaa nikawa naangalia chaneli ya Discovery walikuwa na mada ..how does the universe work .. haya mambo ni mazuri sana japo yanafikirisha beyond normal. Kwamba Jupiter ni sayari kongwe kuliko zote na ina zunguka kwenye njia yake (orbit) kwa kasi zaidi ya sayari nyingine yeyote. Na kwamba kwa ndani ina gesi tu za aina mbalimbali zinazohitajika kwa viumbe hapa duniani. Ni kwamba uwepo wa sayari zingine unategemeana na sayari ya Jupiter kwani inafanya kazi ya kuzikinga zingine dhidi ya asteroids na comets. Wanaonesha jinsi ya spidi yake na ukubwa wake unavyosaidia kuzikusanya na kuzivuta kwa spidi kila kinachoingilia huo mfumo na hivyo kusalimisha sayari zingine na jua. Ajabu wanasema miaka kadhaa mbele jua litazima sayari zote zitapotea lakini Jupiter itaendelea kuwepo kwa muda. Wanasema imegunduliwa sayari nyingine sawa na Jupiter na zinafanana sana mpaka wakaipa jina la Jupiter-heart. Hilo jua ukiliangalia kwa ndani unaweza ukahisi ni tanuru la moto fulani alafu kwa ndani ni kama unasafiri kwenye barabara isiyoisha, ni pana saaana.

Mkuu hivi vitu ni very fascinating.

Najua Jupiter itakua inavuta hizo objects kama asteroids kwa sababu ya ukubwa wake, Jupiter ni kubwa sana, uzito wa Jupiter ni sawa na kuchukua uzito wa sayari nyingine zote kwenye solar system ukazijumlisha pamoja alafu ukazidisha mara mbili na nusu.

Kama ni mtu wa Physics anajua kabisa kua kitu chenye mass kubwa siku zote kina mvuto mkubwa zaidi, kutokana na formula ya universal gravitational force. Kama dunia kitu kikipita karibu kitavutwa na kuanguka unless kinapita kwa speed kubwa kiasi kwamba kikaweza ku-counteract gravitational pull ya dunia ambayo ni 9.8, ila kwa Jupiter gravity yake ni mara 24.79 ambayo ni mara 2.5 ya gravity yetu, kwa gravity hiyo vinavyomezwa ni vingi mno hata vikiwa mbali.
 
Wanasayansi hawajagundua kama kuna kiumbe anaeishi hapo katika Jua?!

Pia nimesikia jua si kitu tangible kama ulivyp mwezi au Dunia vile bali ni gas tu so we all see it ila hatuwezi kuishika!! Nikimaanisha waweza rusha jiwe kama litahimili joto liliopp basi laweza tokea upande wa pili!!

Nimeuliza kuhisu viumbe na uwezekano wa kuwepo katika Jua sababu kuna minyoo sijajua ni ya aina gani ila ipp katika Jehanamu ya Moto na inaishi pasipo shida!

ni kweli ugunduzi ulionyesha kuwa wapo bacteria wanaishi katika hali yajoto kali sana, jambo lilisababisha kuwepo mjadala kwamba joto kali sio sababu ya kufanya kiumbe akosekane mahali hapo. Na uchunguzi bado unaendelea, fikiria tu huwa tuna ambiwa tuchemshe maji kuua wadudu wanaosababisha magonjwa baadae wanasayansi wanasema wapo bacteria wanao ishi katika joto zaidiya hilo mara dufu. Ila ni mada iliyoleta changamoto nyingine na nafasi nyingine (an opportunity) ku sema kama yawezekana basi hata juani kuna viumbe...ila hakuna uhakika haijagundulik bado.
 
Wanasayansi hawajagundua kama kuna kiumbe anaeishi hapo katika Jua?!

Pia nimesikia jua si kitu tangible kama ulivyp mwezi au Dunia vile bali ni gas tu so we all see it ila hatuwezi kuishika!! Nikimaanisha waweza rusha jiwe kama litahimili joto liliopp basi laweza tokea upande wa pili!!

Nimeuliza kuhisu viumbe na uwezekano wa kuwepo katika Jua sababu kuna minyoo sijajua ni ya aina gani ila ipp katika Jehanamu ya Moto na inaishi pasipo shida!

ni kweli jua kwa silimia zaidi ya 96 ni gesi ya hydrogen na helium, inakisiwa madini ambayo ni magumu tangible kama graphite, gold nk...ni asilimia 3 naa. Pia zipo gesi/hewa nyingine kadhaa kama oxygen ila ni chini ya asilimia 1
 
mwezi upo kilomita laki 3.8 kutoka hapa tulipo, jua lipo kilomita milioni 149.6, Kwenye mwezi joto ni nyuzi 100 mchana usiku ni baridi sana nyuzi negative 177 centigrade. joto kwenye jua inakisiwa ni nyuzi 5500. Kwenda kwenye mwezi unahitaji mavazi maalumu kujilinda na joto na kemikali zilizopo katika anga ya mwezi. Kwenda juani sidhani kama plan ipo ila kuna vifaa spesho vina zunguuka angani kulichunguza maendeleo yake. jua lina kadiriwa kuwa na umri wa miaka bilion 4.5 hata mwezi pia.

Kwenye mwezi kuna usiku na mchana....(_177 kwa 100) je kwenye jua hakuna usiku na mchana?
 
mshana jr Jua ni matokeo ya mjusi gani?

hahaha, mkuu jua ni nyota, angani kuna nyota nyingi sana. Nyota huzaliwa na kufa. wanasayansi wanashuhudia hayo kila siku angani kwa kutumia vifaa maalumu. Wamesha bahatika ku video nyota inayokufa na hata nyota inayozaliwa, au galaxy inayokufa na galaxy inayozaliwa ni umbali mkubwa sana kiasi hizi video zinakua enhanced kukupa what is actually happening in the area...hapa tukiongelea nyota zile tunaziona angani, nasiohizi tunazosoma kwenye vitabu vya dini, tafadhali!
 
Last edited by a moderator:
Acha mbwembwe, kupata picha ya surface ya jua usiihusishe na dini hata kidogo, acha sayansi ifanye kazi zake.
Haya ndo walikua wanasema kabla ya ndege kutengenezwa, ati binadamu hatukuumbwa kupaa angani, leo hii kimya. Wewe unakuja na yako

Umenikumbusha wakati rais wa marekani akitangaza kupeleka watu mwezini....mashehe wa us waliandamana wakidai binadam ameumbwa kwaajili ya kuishi duniani tu...
 
Kwenye mwezi kuna usiku na mchana....(_177 kwa 100) je kwenye jua hakuna usiku na mchana?

yah ni swali zuri, ni hivi mkuu usiku na mchana unapatikana kwa dunia kujizunguusha yenyewe kwa kulielekea jua, eneo la dunia lonaloface jua linakua macha, eneo linalo kua nyuma ya mwanga wa jua ndio usiku, kwa hiyo mwanga tunaopata mchana unatoka kwenye jua, hata mwezi ule mng'ao wake unatoka kwenye jua. Mwezi hautoi mwanga! Kwahiyo kwenye jua hakuna usiku wala mchana. Jua linawaka muda wote.
 
Hivi kwanini picha ya objects wa anga ni cyclic..duara. dunia yenyewe duara sayari zingine duara mwezi duara jua duara kwanini

nature ya formation ya nyota na sayari ni kama unavyoona kimbunga kinavyoanzaga hapa kwetu ardhini, naamini umesha wahi kuona ule upepo unaendaga round and round na kufanya mzunguuko mkubwa sana kusababisha force kubwa inayoleta hata madhara kuezua manyumba nk. Ule mzunguuko kadri unavyo grow unasababisha kuvivuta vitu objects to its center , ile pull force inakua kubwa sana as mzunguuko unavyoongezeka, sasa hapa ni ardhini lakini kwenye space zile dusts na solid objects na gas zilizopo impact yake ni kubwa sana kiasi ule mzunguko unaweza kusabababisha kuzaliwa kwa nyota mpya na ku affect small obects zilizo karibu yake, kuizunguka ile nyota nakuwa sayari zake, hapa ni physics zaidi, lakini mzunguuko huu ni wakundelea...na ndio unaosababisha in the long run objects kuonekana duara....ila not necessarily ardhi zake kkuwa zipo smoothduara hapana, kuna mabonde na milima. Kuna mfano pia kwamba hata wacheza ice skate anapojizungusha kwa kasi na kukusanya mikono yake mwilini kasi huongezeka na huwa anaonekana wa duara. Tazama figure skating.
 
Back
Top Bottom