Tazama jua lilivyo surface yake kwa karibu

Hizi sayansi bana! Hebu tujiulize kwa akili ya kawaida tu, kwamba jua in moto tena in moto ambao chochote kitachosogelea kitayeyuka, sasa lenyewe jua linatoa wapi huo moto? Na kinachoungua hapo ni nini ambacho hakiishi? Mi naona sayansi Haina majibu ya mambo mengi tu, wakati mwingine ni kujikweza tu kwa mataifa flan kujifanya wanajua sana, viingereza vingiii....mambo mengine tumwachie alieumba"
ila mkuu itakua poa uwe specific unataka majibu eneo lipi, maana ni majibu mengi sana yameshapatikana.

Napia yapo majibu wana jf wengi wamayasema kwenye huu uzi.
Nadhani unajua kwamba matter ipo katika hali either liquid,gas, solid, plasma, etc. Jua lipo katika hali ya plasma. Mfano wa plasma katika maisha yetu ya kawaida ni unavyoona mwanga ndani ya tubelight, au ule mwanga unaotokeaga kwenye welding mpaka huwa wanavaa vioo vyeusi sana. au radi...etc
Joto katikati ya jua ni kubwa sana zaidi ya kwenye surface ya jua...na katikati ya jua ndio kuna process inaitwa fusion inayofanya jua liendelee kuwaka kama tuonavyo.
kama tunavyotumia sisi materials mbalimabali kupata energy mfano mkaa, oil, uranium....jua linatumia hydrogen na helium kuwa vile...kumbuka jua limejengwa na hydrogen 75%. helium 22%...
Hiyo process ya kuji fuel lenyewe jua, inategemewa kuja kuisha baada ya miaka bilion 5 ijayo

Jaribu kufatilia fusion inavyofanya kazi, ila mfano mdogo nikwamba material yanayotumika kutengeneza energy ni kidogo sana ila energy itolewayo ni kubwa sana.....
kwahapa duniani wanasema kwa makadirio kilo 1 ya makaa ya mawe inaweza kutengeneza 8 kWh za heat, kilo 1 ya mineral oil inatoa 24 kWh na kilo 1 ya uranium inaweza kutoa 24,000,000,000 kWh.

Kwaiyo waweza ona mwenyewe kiasi kilichopo cha hydrogen, na udogo wa kiasi kinachotumika kutengeneza menu ya jua, na kwahiyo ni muda sana jua bado litakuwepo
 
Mkuu kama unanafasi fatili pia uvumbuzi unaofanywa na darubini ya Hubble, wanaongelea vumbuzi nyingi ikiwemo picha za formation ya majua mapya (new stars),....Pitia huko mkuu uje utupe more critical analysis.
Nina uelewa mpana sana juu ya hayo? Labda ngoja nikuulize swali moja tu. Je, unajua kwamba hata big bang ni "theory" tu? Watu wengi hudhani ni uhakika.

Lakini kukusaidia tu, hakuna tukio hata moja la star formation lililowahi kushuhudiwa na wanadamu licha ya kutega hubble space telescope kwa miaka mingi. Picha unazoziona ni artistic impression. Ni sawa na picha za galaxy yetu.
 
Sayansi haijageuka kua imani, kwenye sayansi imani unaweza fananisha na kitu "hypothesis" sio sawa na imani ya kwenye dini, kwenye dini unaamini kitu ambacho hujawahi wala hakuna mwingine aliyeshawahi kukiona, hakuna njia ya kuprove, its simply kua kila kitu ambacho hukijui unabaki kusema ni kazi ya Mungu, no offense, mimi pia ni Mkristo na ninaamini uwepo wa Mungu lakini in all honesty hakuna mtu anaweza kuprove uwepo wake, u just have faith kua he does exist, na kitu chochote mtakaa kusema ati "God works in mysterious ways".

Sayansi on the other hand, hata kama ni hypothesis, sio kwamba imekujakuja tu, zipo mathematical principles zilizopelekea hypothesis yenyewe, na hawakai kusema wanaamini ipo, wanatafuta evidence kila siku hadi watakapo-prove kua ni kweli, na wakikuta results tofauti na walizokua wakitegemea basi hiyo theory inauliwa inatafutwa nyingine ya kuelezea walicho-find. Blackhole sio theory, they do exist na can be proved, star formation zinakua observed hata via telescopes na its been so kwa muda mrefu tu, dark matter on the other hand, haijawahi patikana japo mathematics inasema it could exist, ndio maana wanajaribu kila njia kudetect dark matter, if they instead find something else hii theory wataiua, this is the best way ya kusolve mambo na it has always worked ndio sababu leo upo JF unajibu, this same science ambayo inakua with time.

Kwa nini sipendi kuona watu wanachanganya dini na sayansi, coz kila mtu ana lake, wewe leo hii waweza kua mkristo au muislamu na ukweli ni kua uko hivyo kwa sababu ulizaliwa huko and not otherwise, wengi wanastick na dini waliyozaliwa nayo, unakaa unaamini ya mwenzako haipo sahihi, swali langu, kati ya wewe na huyo mwingine, je nani yuko sahihi na nani yupo wrong? dini zinapingana but still zote hazina proof kua the other is wrong or right. In the end kila mtu anabaki anaamini anachokiamini, dini isiwe limit ya sisi kuacha ku-explore the universe, hata Newton alikosea kwenye Principia Mathematica alishindwa kusolve tatizo akasema its the hands of Gods, kitu ambacho Einstein years later alikuja kukisolve, Newton angeweza kusolve kama asinge kaa na kujiwekea hiyo limit. Tunaishi na imani lakini hiyo imani sio itufunge, tuitumie tu kama hope na a way for us to be good to ourselves and others.
Pamoja na hotuba ndeefu, narudia tena, science is more riddled with theories that it is becoming more of a faith. Siongelei dini hapa, nasema IMANI. Mambo ya "believe there is dark matter " sio imani? Hata hiyo big bang iliyotokea miaka bilioni 13.7 wanasayansi wanahangaika kuipprove. Kuna mambo mengi mno yasiyo na majibu ambayo mwishowe yanapokelewa kwa imani! Kina Steven Hawkings wanaongelea laws of physics ndio zinahusika kuunda universes, lakini hawaelezi zilitokea wapi. Jaribu kuwa critical kuliko kupokea tu kila unachoaminishwa. Umepata kumsikia Halton Alps?
 
Hizi sayansi bana! Hebu tujiulize kwa akili ya kawaida tu, kwamba jua in moto tena in moto ambao chochote kitachosogelea kitayeyuka, sasa lenyewe jua linatoa wapi huo moto? Na kinachoungua hapo ni nini ambacho hakiishi? Mi naona sayansi Haina majibu ya mambo mengi tu, wakati mwingine ni kujikweza tu kwa mataifa flan kujifanya wanajua sana, viingereza vingiii....mambo mengine tumwachie alieumba"
Majibu yapo mkuu, kiwango kikibwa cha jua ni gesi aina ya Helium, helium inabadilishwa kuwa tritium, kitendo hicho ndio kinatoa mwanga, tani elfu thelathini za jua zinaungua kila sekunde ili kutoa mwanga
 
Nina uelewa mpana sana juu ya hayo? Labda ngoja nikuulize swali moja tu. Je, unajua kwamba hata big bang ni "theory" tu? Watu wengi hudhani ni uhakika.

Lakini kukusaidia tu, hakuna tukio hata moja la star formation lililowahi kushuhudiwa na wanadamu licha ya kutega hubble space telescope kwa miaka mingi. Picha unazoziona ni artistic impression. Ni sawa na picha za galaxy yetu.
Mkuu tuongezee elimu mkuu, wengi tungependa tujue your perspetive kuhusu hii area, especially hizo area ulizo taja huble, big bang theory, na watu ambao unadhani wana uhakika hebu watoe walipo waweke panapostahili...nadhani nia hasa nikuhamasisha wanafunzi na jamii kwa ujumla kuhusu elimu ya universe....Take into consideration mazingira yetu tanzania,uhaba wa wataalam, uhaba wa advance technology na advanced equipment....
Tuondoe wachache tulio nyuma katika area hii tupeleke panapostahili tuwe sawa unapoongelea haya maswala....Naamini tuko pamoja...na kwamba sija kuoffend....pia nadhani ni uungwana zaidi ukizi-address issues rather than mimi mkuu. Ikosoe hoja isiyofaa kwa hoja mkuu...kwa uelewa wako mpana " "
 
Pamoja na hotuba ndeefu, narudia tena, science is more riddled with theories that it is becoming more of a faith. Siongelei dini hapa, nasema IMANI. Mambo ya "believe there is dark matter " sio imani? Hata hiyo big bang iliyotokea miaka bilioni 13.7 wanasayansi wanahangaika kuipprove. Kuna mambo mengi mno yasiyo na majibu ambayo mwishowe yanapokelewa kwa imani! Kina Steven Hawkings wanaongelea laws of physics ndio zinahusika kuunda universes, lakini hawaelezi zilitokea wapi. Jaribu kuwa critical kuliko kupokea tu kila unachoaminishwa. Umepata kumsikia Halton Alps?

Mimi ni mtu moja critical sana zaidi ya unavofikiria, haya mambo umeyasoma juu juu ndio maana unabaki kuyaona kama fix tu, ungekua umeingia deep zaidi ukayasoma mfano chuoni vile ndipo ungejua sio mambo wanayatoatoa tu hewani.

We nilishakusoma naona theres no way tutafikia conclusion kwa sababu you are not open to accept the fact kua you could be wrong, na hujaingia deep theres no way ntakachoongea utakielewa, zaidi ni ile utakielewa vibaya tu, bado dini inakuchanganya kidogo.
 
Kuna mwingine kasema jua linaungua tani 30 per second! Ili kutoa mwanga, hizo tani Mara miaka tangu jua limekuwepo mpaka sasa kimebakia nn! Halafu jua na dunia pamoja na sayari nyingine kipi kilianza au vilitokea vyote kwa pamoja? Mb: kuna sayari zinaendelea kugunduliwa lakini sio mpya.
 
Mimi ni mtu moja critical sana zaidi ya unavofikiria, haya mambo umeyasoma juu juu ndio maana unabaki kuyaona kama fix tu, ungekua umeingia deep zaidi ukayasoma mfano chuoni vile ndipo ungejua sio mambo wanayatoatoa tu hewani.

We nilishakusoma naona theres no way tutafikia conclusion kwa sababu you are not open to accept the fact kua you could be wrong, na hujaingia deep theres no way ntakachoongea utakielewa, zaidi ni ile utakielewa vibaya tu, bado dini inakuchanganya kidogo.

Huyu Nyenyere anayo nafasi kubwa sana "kwa uelewa wake mpana" kuelimisha jamii kwa kile anachokiona sio sahihi kwetu sie watanzania wachache....I wish afunguke na kutupa mwanga hizo area anazoona hazijakaa sawa.....Otherwise mie naweza kusema anaonyesha ufahari wa choyo na undue intimidation....
 
Mimi ni mtu moja critical sana zaidi ya unavofikiria, haya mambo umeyasoma juu juu ndio maana unabaki kuyaona kama fix tu, ungekua umeingia deep zaidi ukayasoma mfano chuoni vile ndipo ungejua sio mambo wanayatoatoa tu hewani.

We nilishakusoma naona theres no way tutafikia conclusion kwa sababu you are not open to accept the fact kua you could be wrong, na hujaingia deep theres no way ntakachoongea utakielewa, zaidi ni ile utakielewa vibaya tu, bado dini inakuchanganya kidogo.
Pole sana,wewe unadhsni dini inanichanganya? Basi umesoma lakini hujaelewa. Nikisema sayansi inageuka imani nina maana mambo sasa yanapokelewa kwa kuamini na si kwa uthibitisho. Kwa nini ung'ang'anie dini wakati sijataja Biblia wala Kurani? Kuwa tayari kuface criticism. Wanasayansi wenyewe wamegawanyika juu ya mambo lukuki kama vile red shift, black hole, etc. Kupingana huku ndiko kunakoleta ugunduzi mpya in case you don't know. I rest my case. Endelea kukomalia dini wakati hakuna hata kifungu kimoja cha kitabu cha dini hapo
 
Mi naomba mnisaidie kujua hili....wanasayansi waliosemekana walifika mwezini walirudije tena duniani? Ni kwa chombo kile mile kilichowapeleka au kuna chombo kingine kilichowafuata? Kwamba huwA tunaona vyombo vinavoenda anga za juu vinavoondoka huwa ni kama kombora ambalo huungua na kubakia kichwa tu ambacho ndo huwa kimebeba kila kitu, sasa kurudi inakuwaje? Huku huku jf nilishawai kumsoma MTU anadai kuwa hakuna mwanasayansi aliefika mwezini zaidi ya kupeleka vyombo vya uchunguzi tu! Na zaidi ni kujikweza na kutishia wenginewe (waone taifa flan liko juu kisayansi) ukweli uko VP?
 
Asee tumuombe alie juu natumtukuze siku zoote.
Katia maisha yetu kwani tuki mchukiza anaweza kuli amuru jua kushuka chini .
 
Mi naomba mnisaidie kujua hili....wanasayansi waliosemekana walifika mwezini walirudije tena duniani? Ni kwa chombo kile mile kilichowapeleka au kuna chombo kingine kilichowafuata? Kwamba huwA tunaona vyombo vinavoenda anga za juu vinavoondoka huwa ni kama kombora ambalo huungua na kubakia kichwa tu ambacho ndo huwa kimebeba kila kitu, sasa kurudi inakuwaje? Huku huku jf nilishawai kumsoma MTU anadai kuwa hakuna mwanasayansi aliefika mwezini zaidi ya kupeleka vyombo vya uchunguzi tu! Na zaidi ni kujikweza na kutishia wenginewe (waone taifa flan liko juu kisayansi) ukweli uko VP?
Mkuu wanasayansi wanafanya kazi kwa mahesabu-physics ku prove kwamba jambo fulani linaweza kufanyika, wanalifanyia mazoezi mpaka linakamilika. safari zao zote za angani ni mahesabu kwanza, majaribio ya muda mrefu...na huwa wanapewa fedha na serikali, hela ya walipa kodi...na kwa marekani ni bunge mpaka lijiridhishe kuwa nikweli jambo hilo liawezekana na kwa faida ya taifa, wanapigia kura na pesa hupelekwa nasa kufanya mradi huo.....
Warusi ndio watu wa kwanza kurusha chombo angani, wamarekani ndio wa kwanza kukanyaga mwezini...
Kama hesabu zinavyotumika kupata mawasiliano ya simu, radio, magari.ndege etc ...ndio hivyohivyo hesabu zinawezesha kwenda angani na kurudi....
Kuhusu swali lako, nikweli watu walienda mwezini na wakarudi, kutokana na nguvu za uvutano za dunia walitumia engine za roketi kuruka hadi nje ya nguvu za uvutano,
amazon-ceo-bezos-to-rescue-apollo-11-rocket-engines-from-the-briny-deep-4125f1e591.jpg

roketi hii ilikua na sehemu sita zicheki...
1303622220.74574907.jpg

Kipande cha mwiso kwenye picha ndio kilirejea duniania na ndicho control room ya safari yote.
Kipande cha kwanza kiliipeleka hadi kilometa mia naa hivi angani kikang'oka baada ya kuisha mafuta, kilichobaki kikaenda hadi njia ya mwezini kikagawanyika sehemu mbili,
1445965599-1562936-o-18vmhs3t8s801glpr3du5b127gd-full.jpg

kikachomoa sehemu ya kutua mwezini na kuacha mabaki,

166174393-lee-hulteng-b-w-illustration-of-apollo-11-gettyimages.jpg

na kuendelea kama sehemu ya nne,
5209_640.jpg

comamndandlunar.jpg

moja ikabaki inauzunga mwezi nyingine ikatua kwenye mwezi,

AS17-145-22261HR.jpg

Hiki kisehemu ndio kilitua mwezini
Apollo_11_Lunar_Module_Eagle_in_landing_configuration_in_lunar_orbit_from_the_Command_and_Service_Module_Columbia.jpg

mtu wa kwanza akakanyaga mwezi,
90968main_image_feature_232_jwfull.jpg

mwingine nae akashuka,
apollo-11,-mesiac,-kozmonauti,-vlajka-usa-171433.jpg

wakakusanya data udongo na kupachika bendera ya marekani.

wakarudi kwenye chombo sehemu ya juu ya hicho chombo ikapaa hadi kwenye orbit ya mwezi ili kukutana na kile kilichobaki angani.

vikaungana
85903722-lunar-module-approaching-the-command-module-gettyimages.jpg

images

wale wanasayansi wakahamia kwa kile cha angani, walichotoka nacho mwezini kikangoka na kubaki hukohuko. safari yakurudi duniani ikaanza,
spaceship-apollo-12.jpg

kumbuka kwamba unapoingia kwenye anga la dunia chombo huwaka moto. wanasayansi wanajua hesabu za kuwafanya wanaanga kuwa salama, kile chombo kikatoa parachute na kutua baharni jamaa wakaokolewa na kuwekwa sehemu maalu kwa muda na kurejea uraiani.
images

3738747586_1aa4c8e8f2.jpg

Hawahapa jamaa wakisalimiana na rais wa marekani enzi hizo Richard Nixon

nixon.jpg

Jambo la kuzingatia kuhusu sayansi ni hesabu, zikikubali tu na jambo linafanyika. Nikweli miaka hiyo mashindano yalikuwepo kati ya urusi namarekani ...na mpaka sasa japo kwasasa kazi za anga zinafanyawa kwa ushikiano na nchi nyingi zilizoendelea kwa pamoja.

Mkuu picha nyingine ni michoro kuweka msisitizo wa kilichotokea....Ila hata vijana wetu bongo waliosoma physics wanaweza ku prove safari hii kimahesabu
 
Kaka ungekuwa Mwalimu wangu wa physics naimani ningepasua mbaya mie ningeomba unijuze kuna watu huwa wanasema pasipo mwezi siku ingekuwa fupi au ndefu zaidi kivipi wakati dunia inajizungusha kwenye muhimili wake mwezi unahusikaje na majira yetu ya dunia na speed ya mwezi IPO vipi kuizunguka dunia ukilinganisha na speed ya dunia? Maana Mara nyingi huwa tu naona mwezi unaandama halafu unazama au hata usiku unaweza on a mwezi unachomza labda SAA mbili ukifika usiku inakuwa katikakati ya USO wa dunia na kesho yake ni zoezi hilo hilo hii imekaaje kiaalamu?
 
hahahah poa mkuu, urefu wa usiku na mchana husababishwa na dunia kuzunguka jua, na jinsi dunia inavyojizungusha yenyewe.
Hapa chini ni ni usiku na mchana unavyotokea kwa siku 365
images

Mwezi huwa tunauona ikiwa tu unapata mwanga kutoka kwenye jua, hata duniani kukiwa mchana, mwezi usipopigwa na mwanga wa jua hatuuoni kabisaaa, sio kwamba umepotea....mwezi hautoi mwanga kama jua.
Sasa kuna kipindi tunaiona sahemu ndogo ya mwezi ikipigwa mwanga wa jua ndio hapo tunasema mwezi umeandama, na kuna kipindi tunauona mwezi duara lake lote ambapo ni eneo kubwa limepata mwanga wa jua....mara nusu, mpaka mwanga unaomulika mwezi unapotea.. hii husababishwa na angle ya dunia na mwezi zilivyojipanga wakati zina jizungusha na mwelelkeo wa mwanga kutoka kwenye jua

hapa chini ni jinsi mwezi unavyopata mwanga wa jua na jinsi hapa duniani tunavyouona kwa muda wa siku karibu 28
FMW3-13.jpg

moon_phases_diagram.jpg

Naamini umepata picha kiasi
 
Hapa nina swali kama mwezi ni sayari kama sayari ya dunia je na dunia ikipigwa jua inatoa mwanga kama mwezi??na je nini kinafanya mwezi utoe mwanga kwanini kama una aksi kwani huo mwanga usiwe wa joto??
 
Asante kaka nimepupata
 
Hapa nina swali kama mwezi ni sayari kama sayari ya dunia je na dunia ikipigwa jua inatoa mwanga kama mwezi??na je nini kinafanya mwezi utoe mwanga kwanini kama una aksi kwani huo mwanga usiwe wa joto??
Sayari ama planet ni zile tu zinazo zunguuka jua na hazizunguki kitu kingine, mwezi unazunguka dunia kwahiyo mwezi sio sayari. Yako na mambo mengine yanayofanya sayari kuwa tofauti na mwezi, nguvu za uvutano, ukubwa pia etc

ardhi ya mwezi ni dark grey- rangi ya kijivu nadhani ndio maana ikipigwa mwanga wa jua na kwetu kukiwa giza mng'ao ni mkubwa zaidi.
katika mwezi kuna upande ambao huwa hauonekani duniani kabisaa ambako kupo gizani, kwa hiyo mara zote tunapopigwa na jua na mwezi pia unapigwa kiasi mwanga wa dunia kwenye mwezi sikihiivyo, na vilevile dunia angani huonekana ya bluu.
Ila nadhani hali iko kama picha hapa chini
earth_and_limb_m1199291564l_color_2stretch_mask_0.jpg

mwezi hauna chanzo cha heat kama jua lilivyo na nuclear fusion, na hata ule mwanga unaoakisiwa kutoka kwenye jua hauna heat.
 
Back
Top Bottom