nyota zinakufaje mkuumkuu kumbuka kuwa galaxy ni mkusanyiko wa nyota milioni kadhaa na sayari za kila nyota, gases and other objects. Jua letu ni nyota. Na kutoka nyota hadi nyota nyingine kipimo chake ni spidi ya mwanga. sisi hapa tulipo tupo kwenye galaxy inaitwa milky way, kwahiyo unapoongelea joto nadhani katika galaxy ni kila nyota ina joto lake lakini nyota kama jua letu ni nyuzi 5500, na kila sayari joto lake linategemea umbali wake kutoka kwenye jua lake, zingine ni barafu tu kama pluto, majua mengine i hope ni zaidi ya au kidogo.
Ila jua letu linazeeka na kufa kwake ni kubasti. Mwisho wa maisha maana uhai wa viumbe hai na sola system yetu unategemea jua na activity zake.
Kufika kwenye galaxy nyingine nadhani bado sana, nadhani wanasayansi wamefaniki wa kupeleka chombo hadi sayari ya mwisho kwa jua letu, bado hata hatujafikisha chombo chetu kwenye sayari za jua lingine jirani. Ila camera ziko poweful kuona yote hayo yanayosemwa na wanasayansi, kilasiku kuna uvumbuzi wa mambo mapya.
Mwanga kutoka juani kutufikia hapa duniani inachukua dakika nane mfano jua lingezima gafla ingekuchua dakika nane kujua hakuna mwanga na kuanza kusikia baridi.
Pia ukumbuke kuwa mwaga unasafiri kwa spidi ya kilomita laki 3 kwa sekunde.
Kutoka jua letu mpaka jua lingine kwenye galaxy yetu, umbali wake unapimwa kwa spidi ya mwanga. kama ulivyoona mwanga unatufikia baada ya dakika 8 kutoaka jua letu, ila kwa jua lingine lilio karibu ya sola sysytem yetu mwanga wake unatufikia baada ya miaka 4!
Kuna nyota tunaziona angani usiku zingine zimesha kufa ila mwanga wake ulikua haujafika maana zingine mwanga wake unachukua miaka milioni kadhaa kutufikia...haya wakuu.
Mkuu, jua ni kama nyota zingine uzionazo angani. Kama unavyowasha jiko waweza kutumia mafuta ya taa, mkaa n.k. Jua linatumia hydrogen gas, kwa process inaitwa nuclear fusion nakuweza kuwaka na kutupa mwanga, joto n.k. ili nyota iitwe nyota ni lazima iwe na mfumo huo wa kujitengenezea energy kutoa mwanga, ku-survive....na hii gesi huisha na ndio mwisho wa maisha ya nyota...nyota zinakufaje mkuu
Mkuu, jua ni kama nyota zingine uzionazo angani. Kama unavyowasha jiko waweza kutumia mafuta ya taa, mkaa n.k. Jua linatumia hydrogen gas, kwa process inaitwa nuclear fusion nakuweza kuwaka na kutupa mwanga, joto n.k. ili nyota iitwe nyota ni lazima iwe na mfumo huo wa kujitengenezea energy kutoa mwanga, ku-survive....na hii gesi huisha na ndio mwisho wa maisha ya nyota...
Ndio hapo wataalamu wanasema nyota imekufa.
Nadhani zipo njia nyingine nyota yaweza kuzaliwa au kufa...kwa kuungana na nyota nyingine....matokeo ya galaxies mbili kuungana....etc..
Kwa ujazo uliopo wa hydrogen kwenye jua letu, linakadiriwa litakaa zaidi ya miaka bilioni 5 na kuanza kufifia mwishowe kufa. Pia inasemekana limezaliwa miaka bilioni 4.5
Moto ili uweze kusurvive kunakuwa na oxygen je na kwenye jua kuna oxygen..? ama lenyewe ni muundo tofauti na ninavyodhani..?Jua ni matokeo ya kitendo kiitwacho fusion ya element iitwayo hydrogen I hivyo jua ni kama gesi fulani yenye umbo la mviringo nayo inatoa joto Kali sana 5500°c
Juu ni mujibu wa watafiti wanavyosema
Hakuna moto hapo Bali kuna nishati inayotolewa kutokana na hiyo fusion process nishati yenyewe ndo jotoMoto ili uweze kusurvive kunakuwa na oxygen je na kwenye jua kuna oxygen..? ama lenyewe ni muundo tofauti na ninavyodhani..?
Mkuu hivi kwanini kutoka duniani Venus ni mbali zaidi kuliko kwenda kwenye jua ili hali tunaelezwa Venus ni sayari ambayo ipo na jua?Camera maalumu zinaweza kulipiga picha na kupata mwonekano wake halisi wa ardhi yake bila ule mwanga mkali tusioweza kuona kwa macho. Ile surface ni moto full-time na pia milipuko ambayo hua inauwezo kuathiri maisha yetu ya kilasiku...kama mawasiliano, setelites umeme etc.
![]()
UNDER THE RIGHT CONDITIONS OUR SUN COULD PRODUCE AN ENORMOUS SUPERFLARE
IT'S THE END OF THE WORLD AS WE KNOW IT
ByMary Beth GriggsPostedDecember 3, 2015
![]()
University of Warwick/Ronald Warmington
Superflare
An artist's impression of what a superflare might look like on our own sun
Solar flares are gorgeous, but the delicate fiery loops that we've observed during humanity's brief study of the sun are nothing compared to what other, similar stars are up to.
In arecent paper, researchers detail their observations of 'superflares' on a binary star in our galaxy named KIC 9655129. These superflares are huge solar flares that are much larger than any that we've observed coming off our own sun.
But even though they differ in terms of magnitude, (a superflare might give off the energy of a billion-megaton bomb while our sun's solar flares reach a piddling 100 million megaton-bomb) researchers discovered that the underlying processes that drive the superflares on other stars is the same basic engine that drives solar flares on our own stars--periodic oscillations of magnetically charged plasma within the interior of the sun. So, could it happen here? Maybe. But if it did, the results would be very bad.
“If the Sun were to produce a superflare it would be disastrous for life on Earth; our GPS and radio communication systems could be severely disrupted and there could be large scale power blackouts as a result of strong electrical currents being induced in power grids," lead author of the paper, Chloë Pugh, said in astatement.
But stop your panicked screenplay writing. According to Pugh, “[T]he conditions needed for a superflare are extremely unlikely to occur on the Sun, based on previous observations of solar activity.”
And if the sun did ever produce a superflare, or just a really large regular flare, we'd at least have a little bit of warning that it's headed our way. Newforecasting techniquesfor solar weather combined withbetter observational equipment like the DSCOVR satellitemeans that even if the worst is on its way, we can still try to get ready for it.
![]()
Mkuu Venus ipo umbali wa kilomita 107.4 millions kutoka juani wakati mwingine 108.9 millions. Orbit haipo duara kamili, ipo kama yai (elliptical).Mkuu hivi kwanini kutoka duniani Venus ni mbali zaidi kuliko kwenda kwenye jua ili hali tunaelezwa Venus ni sayari ambayo ipo na jua?
The higher u go the cooler becomeMbona tunaambiwa kuna watu wanapanda hadi mwezini huko si linachoma sana???
Sawa mkuu nimekupataMkuu Venus ipo umbali wa kilomita 107.4 millions kutoka juani wakati mwingine 108.9 millions. Orbit haipo duara kamili, ipo kama yai (elliptical).
Dunia ipo mbali zaidi kuliko venus,