$hehe huyu bado mwali kaolewa juzi juzi tu, na imani za kiislamu siunajua lazima mwanamke aonekane alivyo au lazima arembwe kwa kupakwa hina, so sidhani kama mama kakosea.Hizo sio tatoo mpendwa, wenyewe huku pwani tunaita heena. Tofauti na tatoo hena zinatoka baada ya muda fulani wakati tatoo ni permanent. Ila unapoint hapo kwenye aina ya mapambo kwa waheshimiwa wabunge, maana sidhani kama bungeni ni mahala muafaka kwa mapambo hayo.
Natafyta kanuni za bunge nione kama zinaruhusiwa hizo
Hiyo ni Hinna na Wanja, yes ni temporary tatoo, sio permanent. Na haipakwi harusini au ukiwa unafunga ndoa tu, hinna hupakwa kwa raha zake mpakaji na aliekusudiwa kupakiwa na sherehe au hafla iliyokusudiwa kupakiwa hiyo hinna, ni mapambo (makeup) ya mwilini kama mapambo mengine.
Mijitu ya bara utaijuwa tu humu jinsi inavyochangia kuhusu huo wanja na hinna, hata wanja na hinna hawajui matumizi yake, halafu mkiambiwa ustaarabu wenu mliletewa kutoka pwani mnalalamika! Na bado hamjastaarabika kisawasawa, njooni pwani mjifue. Huu ni ustaarabu na urembesho wa enzi na enzi kwa watu wa pwani.

Urembo ukizidi unageuka kuwa uchafu
Mtu mwenye muda wa kufanya mambo kama haya anapata wapi muda wa kuwasikiliza wale anaowawakilisha bungeni.
Wakuu hivi tatoo za namna hii zinaruhusiwa bungeni?