Tatoo za mbunge huyu mhhhhh!

si ndo mambo ya uzuri hata mtume alisema soo ukijitia kuuliza utaambiwa we mdini kwa hiyo ni bora ukae pembeni..
 
Mh,pico hiyo Bhanaaaa!
343t4ww.jpg
Wakuu hivi tatoo za namna hii zinaruhusiwa bungeni?​
 
kama hujui uliza wenzio HIYO
HI HINA OOPS SORRY KUMBE WEWE WAKUJA HAYO NI MAMBO YA PWAN
I
 
Jamani muhimu awakilishe kilichompeleka pale Bungeni Hinna sio yakuongelea sababu kuna wenye vi kuku vya miguu kuna wanao vaa vi mini na ghasia tele,yote hayo kwa raha zao,muhimu walete maendeleo.
 
Back
Top Bottom