Tatizo ni wewe Vin Diesel

Tatizo ni wewe Vin Diesel

Hivi hakuna Takukuru hapa? Hii hongo Live, tena anatumia 'emptional blackmail' ili apate tenda.
Naomba hiyo tenda ya ukungwi tafadhali. Usisahau nilikusaidia kumrudisha mateka.:rockon:
 
he he he, jirani mie nilikushangaa, kariakoo na jembe unataka kulima maduka??

Jifunze kwangu, always The Boss yuko right, kwingine napita pita tu.

Pole , ntakufundisha style ya kulia hadi akusamehe.

nitonye hata mie nakuangukia umshamehe shoga angu alipitiwa tu.

Siamini na wewe Kongosho umenisaliti....
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kwani wewe umnea ulianza jumangapi???

Utasutwa na kitop bure.

Kwa hiyo hapa tumesema na kujua nini?

kwamba Asprin kwa Kongosho ni kidumu, The Boss ndo mwenye control? Hili kuubwa sana
nitonye ako bwaksi mbaya, wala hajui kama sweetlady anataka warudiane. visima vya kale havifukiwi mjomba Madame B kasahau mazima anayeombwa msamaha ni nani.....bwaksi! King'asti naye kama dada yangu anajinasibu kutaka hongo ili amsaidie SL....aisee nimeamini damu haipotei!
Erickb52 nahisi ana maslahi hapa hajayatangaza bora Ndahani keshasema atafanya kama yule fisi wa kata ya Kwa Dello.

MORNING HIVI LEO NI JUMANGAPI?
 
Vin Diesel mvivu....huwa akigusa tu hata dk haiishi keshapitiwa na usingizi wakati mwenzake sweetlady ndio keshapandisha stim sasa nimekuwa nikimsaidia mara kwa mara na mimi nimechoka ndio akaona ni bora aende kwa nitonye mlevi anayejitahidi walau kuliko huyo Benz

Weweee..kazi yangu sweetlady anaijua....ligwaride limemshinda ndio maana anakimbilia kwa schoolboy nitonye....
 
Last edited by a moderator:
Sijakusaliti, mie nilijua SL kigeu geu
Ujue mpenzi wa ujanani anauma sana kama ferari yako ya kwanza ikigongwa na daladala la msasani-Ubungo kwenye njia ya Tandale uzuri??[

QUOTE=Vin Diesel;4686028]Siamini na wewe Kongosho umenisaliti....[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom