Tatizo ni wewe Vin Diesel

nitonye mtoto akikunyea mkono utaukata? mkumbwa mwenzie anakuta radhi msamehe! ukiona mtu mzima analia tena hadharani namna hii ujue kuna jambo! kakiri amekosa huna budi kumsamehe! nawasilisha.
Mwaaaaa KARIA ....

Maneno yako hayajapotea manake nitonye kakubali kunisamehe na sasa mwanetu atapata malezi ya baba na mama yake!
 
Last edited by a moderator:
Rudisha moyo nyuma baba, mawazo uliyonayo binti amekuja kuyaondoa rasmi. Msamehe manake kwenye soko na wewe kuuzika ngumu. Hizo hela tu ndo zinakusaidia.
Mke mwenza taratibu jamani lol....msamaha ushapitishwa ujue!


Mwambie wifi AshaDii kesho ntampitia kumfafanulia nini kimetokea...

Kaizer nae ameanza lini majungu?
 
Last edited by a moderator:
Shemejiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Naona umeonewa huruma....ila Vin Diesel keshamaliza utamu wote kwa sweetlady we nenda kale makombo tu...
Ila kipenda roho hula nyama mbichi
Yaani wewe kwa umbea na majungu sikuwezi daaah! Ndio nini lakini? Bahati yako nitonye keshanisamehe, angekataa tu ningekuja kwako unioe mke wa sita!
 
Last edited by a moderator:
Yaani wewe kwa umbea na majungu sikuwezi daaah! Ndio nini lakini? Bahati yako nitonye keshanisamehe, angekataa tu ningekuja kwako unioe mke wa sita!
Hahahaahahahaaaa hivi kumbe nina wake watano hadi sasa? lol sweetlady mi siwakumbuki aisee namjua Amyner tu ninayemuona kwenye glass
Amyner4.jpg
 
utagopambana na Asprin ambaye ni mkaguzi mkuu.
hawa uliowataja hapa wote wana ndoa zaidi ya tatu wameanzia kwa Bishanga, wakaenda kwa Erickb52 na sasa ni Asprin.
kuna na tajiri kijana ameibuka huko arusha anaitwa Arushaone naye anataka kazi ya ukaguzi inabidi tumpe intaviu akipita apewe kazi.

Halafu Mamndenyi naona tubadilishane Jinsia za ukaguzi yan mi niwe nadeal na wadada wewe uwe na wakaka coz nimeona kuna umuhimu wa kuwafanyia ukaguzi coz wengine lol ndoa hazidumu na hatujui sababu kama wafuatao: sweetlady BADILI TABIA Kongosho Yummy Dena Amsi cacico The secretary na Madame B bila kumsahau Chariminglady na Arabela na Catherine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom