Tatizo ni wewe Vin Diesel

Tatizo ni wewe Vin Diesel

Last edited by a moderator:
Jamani morning humu ndani?? Nimepewa dozi na hubby weekend ikawa fup, ndio haswa nanawa uso nje nawasikia majirani wakiongelea huu mswada mpya, kulikoni sweetlady? jamani imekuaje tena na Vin Diesel? hubby wangu mi luv u, lol!
 
Last edited by a moderator:
Dada yangu AshaDii...kuna subiani kaingilia ndoa yangu...hapa nipo kwenye ibada kurekebisha mambo....Kwake maulana hakuna linaloshindikana...

Sijaondoka kakangu... Mie natazama tu, maana mambo ya mapenzi hayataki zaidi ya wahusika... Na hapa ni wewe na my sweet wifi sweetlady na nitonye...

Hakikisha hadi kieleweke! Yaani liwalo na liwe! lol
 
Last edited by a moderator:
Jamani morning humu ndani?? Nimepewa dozi na hubby weekend ikawa fup, ndio haswa nanawa uso nje nawasikia majirani wakiongelea huu mswada mpya,

Bora uje maana kuna binti aana mahangaiko sana humu ndani...hatulii na mwanaume mmoja....:high5:
 
Sijaondoka kakangu... Mie natazama tu, maana mambo ya mapenzi hayataki zaidi ya wahusika... Na hapa ni wewe na my sweet wifi sweetlady na nitonye...

Hakikisha hadi kieleweke! Yaani liwalo na liwe! lol

Napata shida sana kuelewa mie....kama hakuwa na mpango wa kuishi nami siku zote kwanini anitongoze na kunifanya nimuamini?
 
Back
Top Bottom