Catherine atakuharibia na utashangaa anammiliki yeye....hakawiii huyu mi wala simwamini kabisa
Vin Diesel mvivu....huwa akigusa tu hata dk haiishi keshapitiwa na usingizi wakati mwenzake sweetlady ndio keshapandisha stim sasa nimekuwa nikimsaidia mara kwa mara na mimi nimechoka ndio akaona ni bora aende kwa nitonye mlevi anayejitahidi walau kuliko huyo Benzkwani huyu Vin Diesel kafanyaje? Kama unajua sababu ninong'oneze erick.
nitonye hata asipobembelezwa kwa sweetlady habanduki hata awe nyumba ndogo ya mia mbili
Vin Diesel mvivu....huwa akigusa tu hata dk haiishi keshapitiwa na usingizi wakati mwenzake sweetlady ndio keshapandisha stim sasa nimekuwa nikimsaidia mara kwa mara na mimi nimechoka ndio akaona ni bora aende kwa nitonye mlevi anayejitahidi walau kuliko huyo Benz
Akimchukua Vin Diesel mie wala sina tatizo.....ila nitts hapana
Ngoja nicheke kichainiziHahahahahaha .....umesababisha niitwe mwehu hapa lol.....una sifa wewe!
mie mzima sana, naona unaitumia vizuri principle ya 'tupa kule'... Akileta miyeyusho unatupa unavuta kipya..
......................................hilo zigo lako labda ukalitupie baharini mpenzi wangu,