Tatizo ni wewe Vin Diesel

Tatizo ni wewe Vin Diesel

Nikuangushe vipi wakati mimi kama fisi anavyonyemelea mkono akiamini siku ukianguka ndo utakuwa kitoweo chake?

Hahaahahah......haya endelea kusubiri kuna siku mkono utaanguka!
 
mimi hapa niko bwi bwaksi napiga maji ili kutoa mawazo
Rudisha moyo nyuma baba, mawazo uliyonayo binti amekuja kuyaondoa rasmi. Msamehe manake kwenye soko na wewe kuuzika ngumu. Hizo hela tu ndo zinakusaidia.
 
Kwa hiyo hapa tumesema na kujua nini?

kwamba Asprin kwa Kongosho ni kidumu, The Boss ndo mwenye control? Hili kuubwa sana
nitonye ako bwaksi mbaya, wala hajui kama sweetlady anataka warudiane. visima vya kale havifukiwi mjomba Madame B kasahau mazima anayeombwa msamaha ni nani.....bwaksi! King'asti naye kama dada yangu anajinasibu kutaka hongo ili amsaidie SL....aisee nimeamini damu haipotei!
Erickb52 nahisi ana maslahi hapa hajayatangaza bora Ndahani keshasema atafanya kama yule fisi wa kata ya Kwa Dello.

MORNING HIVI LEO NI JUMANGAPI?
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo hapa tumesema na kujua nini?

kwamba Asprin kwa Kongosho ni kidumu, The Boss ndo mwenye control? Hili kuubwa sana
nitonye ako bwaksi mbaya, wala hajui kama sweetlady anataka warudiane. visima vya kale havifukiwi mjomba [MENTION=80055]Madame B[/MENTION] kasahau mazima anayeombwa msamaha ni nani.....bwaksi! King'asti naye kama dada yangu anajinasibu kutaka hongo ili amsaidie SL....aisee nimeamini damu haipotei!
Erickb52 nahisi ana maslahi hapa hajayatangaza bora Ndahani keshasema atafanya kama yule fisi wa kata ya Kwa Dello.

MORNING HIVI LEO NI JUMANGAPI?

Halafu sasa uchanganye na Nyagi,
bwana weee!!
Mpaka ku Mtima pa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom