Tatizo ni wewe Vin Diesel

Tatizo ni wewe Vin Diesel

Najua Vin Diesel ukitoka kanisani utakuwa umejaa upako so hutakuwa na nguvu za kipepo bali upako tu
Ila nakupa pole kwa KUMWAGWA na sweetlady
Kumbe ulitongozwa hukutongoza...lol....Ndio madhara yake hayo

Huyu binti ana maneno matamu unaweza ukayala ukashiba....atadanganya wengi sana mwaka huu
 
Back
Top Bottom