mbona mi rafiki mzuri tu! Hayo maneno yanaonesha nilivyo "charming!" lol..
mbona hamfiki au mmeingia dirisha la upande upi
hahahahah akachanganya na viroba......
Nitonye,
afadhali umerudi,
yamwishe majonzi bibi yako,
bibi yako alinisumbua
kila mara haishi kukutajataja
source: mbaraka mwinshehe (RIP).
hivi umetumwa eeeh
Nyie mastelingi sweetlady na nitonye na kubwa la maadui Vin Diesel naombeni summary maana sredi imekimbia sana. Blaki Womani na Filipo naombeni niwasalimie.
Nyie mastelingi sweetlady na nitonye na kubwa la maadui Vin Diesel naombeni summary maana sredi imekimbia sana. Blaki Womani na Filipo naombeni niwasalimie.
hahahahah mzima wewe mning'nio umekwisha
Nyie mastelingi sweetlady na nitonye na kubwa la maadui Vin Diesel naombeni summary maana sredi imekimbia sana. Blaki Womani na Filipo naombeni niwasalimie.
Nimerudi nyumbani nikakuta my wife tayari kuna jitu limemdanganya, baada ya kugundua penzi nilikokuwa nampatia SL akajutia ndani ya moyo wake.
Ndipo aliopamua kutoa ujumbe wenye heading''tatizo ni wewe vindiesel''. Kwa kuwa stering nimerudi hili linalojifanya kubwa la maadui likagwaya baada ya SL kumpiga chini.