Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
Unavisa wewe! mbona unaweka PM zangu huku! Situmi tena!!!!
ndio kamchezo kako kwenye PM sweetlady bora umemuumbua.....yale yale ya Eliza wa Tegeta
Last edited by a moderator:
Unavisa wewe! mbona unaweka PM zangu huku! Situmi tena!!!!
sasa kama tumeanza kulogana wenyewe kwa wenyewe humu ndani, mbona kazi jamani?? na hubby wetu hatumuoni jamani, jamani, hayeniiiiiii! aliyenaye bora ajisalimishe sijeshtukia kwapa limegeuka na matobo ka sega la asali! haya mie sina mengi @Blaki Womankurudi sumbawanga kibabu hakipo ndio hali unaona
mama kadogoo kisa cha kumfanya kadogoo kuitwa mwanaharamu???? hebu nijuze, sielewi haya mambo ujue!!Khaaa! Blaki Womani naomba uje unifafanulie hapa!
Vin Diesel hajui kutoa singo ikabidi atumie njia mbadala kumpa sweetlady sasa yamekwisha amerudi kwa hubby wakesasa kama tumeanza kulogana wenyewe kwa wenyewe humu ndani, mbona kazi jamani?? na hubby wetu hatumuoni jamani, jamani, hayeniiiiiii! aliyenaye bora ajisalimishe sijeshtukia kwapa limegeuka na matobo ka sega la asali! haya mie sina mengi @Blaki Woman
ndio kamchezo kako kwenye PM sweetlady bora umemuumbua.....yale yale ya Eliza wa Tegeta
Usifikirie hivyo BW. hizo ni PM za FF na MS! Lol!!
Jamani mbona nimekufafanulia hapo! Ni uzushi wake tu! usimsikilize.
mama kadogoo kisa cha kumfanya kadogoo kuitwa mwanaharamu???? hebu nijuze, sielewi haya mambo ujue!!
life without problems never make a strong and good person!
sasa kama tumeanza kulogana wenyewe kwa wenyewe humu ndani, mbona kazi jamani?? na hubby wetu hatumuoni jamani, jamani, hayeniiiiiii! aliyenaye bora ajisalimishe sijeshtukia kwapa limegeuka na matobo ka sega la asali! haya mie sina mengi @Blaki Woman
Kifutio cha madirisha labda
ndio kamchezo kako kwenye PM sweetlady bora umemuumbua.....yale yale ya Eliza wa Tegeta