Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,347
- 5,555
Madirisha ya wapi sasa?
M bado sijaelewa lol!
Basi usijali! Nitakuelewesha baadae wakati tutakapotangulia, kabla hajafika Blaki Woman
Madirisha ya wapi sasa?
M bado sijaelewa lol!
Hahahaha samahani bana......PM imenistua ndio mana lol!
Nitumie ingine manake mshtuko ushapita !
sweetlady una uhakika na unenayo????ohooo mi simo! Muulize Catherine alipewa nini juzi kati hapa oops :shut-mouth:Yupo sana sema kaishiwa bando na hela siku hizi zinampiga chenga......chezeiya kuishiwa weye?? Bishanga makelele yote kwishnei!......kawa mpoleeeeeeeeeeee!
Basi usijali! Nitakuelewesha baadae wakati tutakapotangulia, kabla hajafika Blaki Woman
Asprin nasikia kajilamba ban mwenyewe!
Wifi mie ndio nipo njiani naja!
kama @klorokwin loya wako!!!!!!