Tatizo ni wewe Vin Diesel

Tatizo ni wewe Vin Diesel

Nimerudi nyumbani nikakuta my wife tayari kuna jitu limemdanganya, baada ya kugundua penzi nilikokuwa nampatia SL akajutia ndani ya moyo wake.

Ndipo aliopamua kutoa ujumbe wenye heading''tatizo ni wewe vindiesel''. Kwa kuwa stering nimerudi hili linalojifanya kubwa la maadui likagwaya baada ya SL kumpiga chini.

ahsante kwa summary, short & clear... Ukiondoka tena utakuta platozoom kambeba jumla.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha hahahahaha... Wakuu ilikuwa poa sana.... Erickb52 mbona hajahusishwa kwenye kumzimisha Arushaone?

Yeye alizimika mwenyewe lakini kaamua kutusingizia! Kamsitiri Erickb52 kwakuwa walianza wote akanitosa mimi niliyempeleka home!
Mzima wewe!? Umekuwa kimya. Nataka niachane na Sweetlady "niambatane na wewe" maana yeye ana ahadi kama za JK!
 
Last edited by a moderator:
Yeye alizimika mwenyewe lakini kaamua kutusingizia! Kamsitiri Erickb52 kwakuwa walianza wote akanitosa mimi niliyempeleka home!
Mzima wewe!? Umekuwa kimya. Nataka niachane na Sweetlady "niambatane na wewe" maana yeye ana ahadi kama za JK!
Tobaaaa we Filipo! Uniache kisa nini?
 
Last edited by a moderator:
Duh! Kweli umebanwa!? Of all the good place here, tukakutane kwenye mkutano wa "siasa!?". Nimeghairi....
Hahahahaha! Nimezuga tu ili kumpoteza Blaki Womani manake alizidi kutuganda!

Mzima weye?
 
Last edited by a moderator:
Huyu sweetlady hawezi kaa na mwanaume mmoja....amekuja kunitongoza mwenyewe na leo amekimbia...si balaa hili....
Hehehehe! Mbavu zangu mie khaaa! Unachekesha ! Pole weye manake ulichoandika hapa hata moyo wako unajua kabisa kuwa sio kweli. Nakusamehe vile nayajua maneno ya mkosaji! Kuna wanaume wa kutongozwa dia ila wewe haupo kwenye hao wanaume! Hii sredi imefungwa kwa hisani ya Paw !


Tuache na my hubby nitonye tujipumzikie kwa raha zetu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom