Tatizo la umeme: Awamu ya tano haiwezi kukwepa lawama labda tu kama madai hayana ukweli


Imeshakupa Like Mkuu..
Jamaa Ameandika Kule twitter anajua anamaanisha nini? Anajua Ukweli woote!Amechagua Upande tuu simple logic hiyo Kaka!
 
Zitto anatetea tu ustadhi mwenzie na msitegemea ukosoaji wowote hadi Hangaya atoke.

Atutajie hizo shughuli zilizofungua uchumi na kuongeza matumizi ya umeme ghafla bin vuu.

Msimfanye JPM kuwa shock absorber kwa failures za Mama yenu.
 
 
Utapasuka huo moyo wako kwa kujilisha PROPAGANDA HASI🤣
 
Zito anatia huruma!! Bado anajidanganya kuwa kuna mtu anayeweza kumsikiliza!! Hana ubavu wa kumchafua JPM!! Legacy ya JPM hakuna awezaye kuifuta!! Kama unabisha waulize waliojaribu kampeni ya kutuchanja watanzania chanjo ya covid 19!! Chanjo zimedoda!! Kisa?? watu wanamwamini JPM japo hayupo kuliko wanasiasa waliopo!! Huo ndio ukweli usiopingika!!
 
Zitto anazani kipindi cha awamu ya tano tulikuwa tunaishi Kenya.
 
Unamatatizo ya kufikiri ndugu, yawezekana wewe ni Wale wa MAMA KAUPIGA MWINGI.
*TIME HEALS ALL WOUNDS *
 
Mzee unazani labda sisi tulikuwa tunaishi Kenya, awamu tano hakukuwa na MGAO MKALI WA UMEME. Ila hii too much wewe juzi Kariakoo umeme kuanzia saa 3 asubuhi mpaka 12 jioni.

Halafu lile bwawa la umeme plan ipo tokea enzi ya Nyerere issues ilikuwa ni fedha.Hii gesi haiminiki kipindi michakato ilivyo anza tuka ambiwa tutanunua umeme kwa bei rahisi lakini hapa kati sijui ilikuwaje kuwaje,mimi umeme wa gesi na utizama kwa uwekezaji wake mkataba uliosainiwa juzi unaweza wa miaka 100 au zaidi, huyo mwekezaji kurudisha tn 70 si swala dogo.
 
Wafia legacy ya
wasuumbua sana.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.

CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi ni zitafika tamati hivi punde kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa ‘magunia ya misumari’ ya bei ya juu ya chakula, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.

It’s a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and that’s when these rats will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCM’s tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave on a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits minority fisadis and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.

What comes around goes around. Let CCM go to hell for good because they have absolutely failed to uplift the living standards of millions of Tanzanians at the expense of a few fisadis whose gargantuan stomachs never fill up! And no one should be blamed for the hatred and grudge that majority people hold against CCM and their crooked government except fisadis themselves who, horrifically, decided to gnaw the cassava-made boat by which they were sailing!

MOTOCHINI, jingalao, @Ruttashobolwa, Lizaboni, TataMadiba, Ritz, FaizaFoxy, Simiyu Yetu, MwanaDiwani, Stroke imhotep Magonjwa Mtambuka Mgambilwa ni mntu Musiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…