View attachment 2015658
Zitto ni mtu ambae anatafuta information na kujenga premise uchwara anazotaka yeye.
TANESCO long term plan yao ya umeme inapatikana kwenye link hapo juu na kwenye pipeline kuna renewables, hydropower (stigler gorge is also mentioned), gas and coal. Hakuna priorities ya kipi kianze.
Yeye anachukua source moja na kujengea hoja kama makosa with very simple arguments, watu kama hao wakimpata mtu anaefahamu maswala ya energy kuwa expose limitations zao ni rahisi sana.
Ukiangalia tu ivyo vyanzo vyote vya gas gharama yake inafika $2.9 billion umeme ni megawatts 2500.
Bwawa la Nyerere gharama $2.9 billion umeme megawatts 2115.
Bwawa la Nyerere lina cheap unit costs.
More safe maana bomba la gas lina line moja tu hakuna back. Likichezewa nchi nzima aina umeme na tayari over 64% ya umeme wetu unatokana na Gas kuongeza tena hiyo sio hatua nzuri ya kumitigate energy security risks.
Ukishatengeneza vyanzo inabidi uajiri na kuna gharama za matunzo. Bwawa la Nyerere linaondoa operation costs za plant kama nne hivi za kujenga gas plants.
Vitu vingine ata kuandika shida, I tell you kule Twitter ni kikundi cha wapuuzi tu huwa wanaandika vitu ambavyo awajawahi kuvifanyia research na kuviandikia report katika maisha yao; yaani ni ujinga mtupu.
Imeshakupa Like Mkuu..
Jamaa Ameandika Kule twitter anajua anamaanisha nini? Anajua Ukweli woote!Amechagua Upande tuu simple logic hiyo Kaka!