King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,678
- 68,662
Swali langu linaenda TANESCO kila siku wanatuambia kwamba TZ kwa sasa wanazalisha takribani umeme wa 1600MW na matumizi ya nchi nzima kwasasa ni 1200MW ,jana wametangaza wana upungufu wa 358MW inakuwaje wanataka kufanya mgao wakati bado tuna ziada ya 42MW ambao ni umeme mwingi sana Kigoma tu yote matumizi yao ni 7MW.