nani tumbili wa kuniua sombetini, wewe ni kamanda njaa tu na nitaenda pale sombetini karibu na uwanja wa mpira nitasema hivyo kwamba alphonce mawazo ni mganga njaa,halafu ngedere yeyote anisogelee kama sijamlima risasi ya mdomo,unaijua dola ya serikali ya ccm wewe?
Wenye akili ndogo kama wewe hujisifu hata kwa ujinga! Ndio maana mnajikomba na kutokwa povu hapa jf kwa sababu ccm ndio kila kitu kwenu na bila ccm mnakufa njaa.Siku ccm ikitoka madarakani sipati picha,mtaishi maisha ya shida kama sungura porini.