Tatizo la Ng'ombe ni kumpuuza Kupe maishani

sijakuelewa unaposema nchi itarejesha afya yake tena. kwani kuna kipindi nchi hii ilikuwa na afya tangia uhuru?
Abunuas ni ukweli uliowazi kwamba level ya uonevu,rushwa na utawala mbovu vimeongezeka sana sana kuliko wakati wowote ule
 
CCM kweli makupe yaani hadi unashangaa kuna vijana wanajitoa ufahamu wa kuchezea maisha yao ya sasa na miaka mingi ijayo wakiwa utumwani kussport makupe akina January wasio haya
 
Abunuas ni ukweli uliowazi kwamba level ya uonevu,rushwa na utawala mbovu vimeongezeka sana sana kuliko wakati wowote ule
sikubaliani na wewe kwa hili. kilichoongezeka ni uhuru wa vyombo vya habari ndo maana tunasikia haya yote. kama ni wizi upo siku zote na haujaanza leo.
kama hutaki kuliamini hilo niambie ni kwa nini tanzania imekuwa miongoni mwa nchi 10 masikini zaidi duniani mpaka mwl anaondoka madarakani kama kweli kulikuwa na ahueni? na kwa nini mpaka leo sisi ni miongoni mwa nchi 30 masikini zaidi duniani? jiulize kabla ya kuandika. ndo maana napata tabu sana na nyie wapinzani uchwara maana hamhubiri uhalisia zadi ya chuki.
 
alphonce mawazo una mtindio wa mawazo ndani ya ubongo wako,wewe ni njaa na uroho wa madaraka wa kutaka kuwa mbunge baadaye unakusumbua tu huna jipya,tuambie ulivyokuwa diwani wa sombetini kuna ahadi hata moja ulitimiza zaidi ya kujifunza kupora wake za watu kama babu slaa
 
wewe mshika mafaili wa nape achana kabisa na alphonce mawazo , siyo saizi yako , huyu aliacha ufisadi kwenye chama chakavu na kuungana na makamanda , WATETEZI HALALI WA WANANCHI , hIYO TAMAA UNAYOISEMA IKO WAPI ?
 
alphonce mawazo una mtindio wa mawazo ndani ya ubongo wako,wewe ni njaa na uroho wa madaraka wa kutaka kuwa mbunge baadaye unakusumbua tu huna jipya,tuambie ulivyokuwa diwani wa sombetini kuna ahadi hata moja ulitimiza zaidi ya kujifunza kupora wake za watu kama babu slaa
Slaa anaingiaje hapa mkuu? hangaisha akiri usiropoke tu,nitaje vibaya sombetini wakuue
 
sikubaliani na wewe kwa hili. kilichoongezeka ni uhuru wa vyombo vya habari ndo maana tunasikia haya yote. kama ni wizi upo siku zote na haujaanza leo.
kama hutaki kuliamini hilo niambie ni kwa nini tanzania imekuwa miongoni mwa nchi 10 masikini zaidi duniani mpaka mwl anaondoka madarakani kama kweli kulikuwa na ahueni? na kwa nini mpaka leo sisi ni miongoni mwa nchi 30 masikini zaidi duniani? jiulize kabla ya kuandika. ndo maana napata tabu sana na nyie wapinzani uchwara maana hamhubiri uhalisia zadi ya chuki.
Kwa hiyo unachotaka kutuaminisha ni kwamba tulizaliwa masikini kama taifa, na kwamba haya ndo maisha yetu... wakati elimu inazidi kuporomoka wewe huoni,nchi yetu inatajwa kama kinara wa rushwa husikii,pengo kati ya walichonacho na wasionacho linakuwa kubwa masikini wewe huna taarifa,vifo vya mama wajawazito vinatisha wewe uko usingizini,tukusaidieje sasa
 
Nchi hii inatoa machozi ya dhuluma,kwa bahati mbaya wengi wetu ni vipofu hatuoni hata kidogo
 
Kweli kamanda, ndiyo maana nakukubali sana. Hotuba zako huwa ni za kusisimua kila unapomwaga madini. Kuna siku watazanzania watelewa. Keep it up!
 
Nchi hii inatoa machozi ya dhuluma,kwa bahati mbaya wengi wetu ni vipofu hatuoni hata kidogo
Mkuu wewe ni moja ya watu wachache wenye moyo safi katika taifa hili!
Approach yako kama ukiendelea nayo huko kanda ya ziwa nakuhakikishia mpaka ufike uchaguzi mkuu utakuwa umeimaliza ccm kanda hiyo! Nakusihi ufike vijiji vya wilaya ya Bariadi kwa wanyatunzu ujumbe wako utapokelewa vizuri sana maana hawa jamaa hawaipendi ccm hasa kwenye issue ya dhuruma kwenye pamba yao! Nikutakie kila la kheri na mimi binafisi na ndugu zangu na marafiki zangu tukotayari kuchangia utowaji wa hii elimu huko kanda ya ziwa maana ndiko kwenye maamuzi ya nani atawale! Chadema tuwekeni nguvu kubwa maeneo haya kuhakikisha kila wilaya na kila kijiji na kila kitongoji kimefikiwa na elimu hii. Ikifanyika hivyo tutaona matokeo yake badae wasukuma wakiamua hawahongeki kwa kanga na ubwabwa kama waswahili! Tuko pamoja, siku Rais kutoka upinzani akiapishwa uwanja wa Taifa baada ya hapo ni lazima Rais awavike nishani ya ukombozi kwa watu kama wewe Mawazo, You deserve it Brother keep it rolling!
 
Slaa anaingiaje hapa mkuu? hangaisha akiri usiropoke tu,nitaje vibaya sombetini wakuue

nani tumbili wa kuniua sombetini, wewe ni kamanda njaa tu na nitaenda pale sombetini karibu na uwanja wa mpira nitasema hivyo kwamba alphonce mawazo ni mganga njaa,halafu ngedere yeyote anisogelee kama sijamlima risasi ya mdomo,unaijua dola ya serikali ya ccm wewe?
 
sikubaliani na wewe kwa hili. kilichoongezeka ni uhuru wa vyombo vya habari ndo maana tunasikia haya yote. kama ni wizi upo siku zote na haujaanza leo.
kama hutaki kuliamini hilo niambie ni kwa nini tanzania imekuwa miongoni mwa nchi 10 masikini zaidi duniani mpaka mwl anaondoka madarakani kama kweli kulikuwa na ahueni? na kwa nini mpaka leo sisi ni miongoni mwa nchi 30 masikini zaidi duniani? jiulize kabla ya kuandika. ndo maana napata tabu sana na nyie wapinzani uchwara maana hamhubiri uhalisia zadi ya chuki.

Pamoja na umaskini uliokuwepo lakini bado huduma muhimu zilikuwa zinapatikana.Serikali ilijenga viwanda,ilijenga nyumba za wafanyakazi wake,iliweka usawa na kupunguza rushwa,deni la taifa halikuwa kama lilivyo leo,madini na maliasili zetu hazikutoroshwa na kuibwa kama ilivyo sasa,tuliosoma tulipata vifaa vyote shuleni lakini leo hii deni la taifa kubwa na hatujui zimetumikaje,kila kiongozi ni tajiri mkubwa ili hali hamiliki hata kibanda cha mchicha,wanyama wanatoroshwa,viwanda vyetu vilivyojengwa kwa pesa za mamilioni vimegeuzwa magodauni ya mafisadi,nyumba za umma wamepeana na madini yetu hayawanufaishi wananchi bali katabaka kadogo ka mafisadi.Ndg yangu think big
 
Back
Top Bottom