Tatizo la Ng'ombe ni kumpuuza Kupe maishani

CCM siku wakirudishiwa fahamu zao, maana naamini zimepokwa ndipo watakapo elewa haya makitu!
 
Najiuliza hv ccm huwa wanakuja mitandaoni, maana yawezekana haya mawazo hawayaoni/kusoma

Na km wanayaona basi yawezekana they are not completely sensible!
 
Namwaka huu Mawazo tutaondoa Makupe namakapi tuu wale wote mapandikizi ya ccm
 
Elimu majanga!
Afya majanga!
Uchumi majanga!
Kila kitu majanga hadi ufisadi!

where do they stand???
 
Kupe hana jeuri wala uwezo wa kusababisha homa na kukondeana kote kunakomtesa ng'ombe,ng'ombe ni mkubwia kwa umbo na anaweza kumkandamiza kwenye mti au ukuta kupe akafa, tatizo ni kufikiri hana madhara makubwa maishani mwake na kumbe homa zote na vifo vingi ni vya kupe.

Kwa upande mwingine watanzania wanachukulia kirahisi rahisi mambo kama RICHMOND, IPTL, EPA, MEREMETA, nk makupe yanayofadhiliwa na CCM hawayatazami kwa jicho stahiki, wanacheka nayo huku wanayaita ndugu, rafiki, kada, mwenzetu nk.

Tunapumbazwa na ugali wa muhogo yunaoupata kila jioni kabla ya kulala bila kuitazama elimu yetu, afya ya Jamii,miundo mbinu ya barabara, utawala bora nk.

Dharau yetu hii kwa kupe imeleta homa kali na kukongoloka kwa maendeleo ya watanzania, siku ng'ombe akichachamaa kwa wiki moja tu asimpe kupe damu ndo kiama cha makupe kitakapo wadia.

INYIMENI KURA CCM SERIKALI ZA MITAA NA SERIKALI KUU MUONE KAMA HAIJAFA NDANI YA MWAKA MMOJA.

Hakutakuwa na kasuku Nape Nauye,Kupe Kinana,nk na nchi itarejesha afya yake tena.

Mkuu umetema madini hapa
Kuanzia leo tuanze kampeni ya kumnyima
huyu kupe ccm damu tumalize maisha yake ndani ya muda mfupi. Tuone kama kina msalani na wenzake bado wataonekana baada ya mauti ya kupe.
 
Namwaka huu Mawazo tutaondoa Makupe namakapi tuu wale wote mapandikizi ya ccm

Kweli kamanda lazima tuondoe makupe yote bila kujali.
Tukishahakikisha kupe ccm amekufa hatavwasaliti aka washirika wa kupe.act.. wataishia kusikojulikana mara moja.
Hawa washirika wa kupe tuwape tu muda
 
Tatizo ni wanasiasa nyie, almost wote mnasema yaleyale na wote mkipata nafasi mnageuka makupe tuu. Sioni nani wa kumwamini na wala siabudu siasa. Makupe yamejaa ccm, cdm, nccr, tlp n.k so hatuchagui chama tunachagua mtu. Ni mtazamo tuu!!

We don't need strong people, we need a strong system in place
 
Tukishikamana na kila mtu akatimiza wajibu wake kazi hii ni nyepesi sana

Rafiki yangu Mawazo,leo wakati niko kwenye daladala,nikawa naongea kisa hiki:
Tuna mwenyekiti wa mtaa,aliyeukwaa miaka kumi iliyopita,anauza maenei yawazi,anajenga nyumba na kununua magari.ameuza sehemu eneo la makaburi,ameuza eneo la kijiji lililowekwa wazi kwa matumizi ya baadae,ameuza shamva la shule.Awamu ya kwanza ya aliwafukuza wajumbe wawili wa mtaa,mwaka jana amewafukuza wajumbe watatu wa ccm wa mtaa( hawa wote walichaguliwa na wananchi).
sababu kubwa ya ugomvi ni mapato yatokanayo na kuuza viwanja. Hapo alipo ana nyumba tatu na huozesha wanae michango huwa laki moja.
Leo nikiwa na mkaazi halali nikamweleza juu ya kuchagua mafisadi akasema hivi" hata tukiwachagua chadema,mtakula tu kwani kila kiongozi hujali familia yake,"
Ni kiasi gani ccm ,mnaona ilivyowafanya watz,kuwa hawajui kupe wao anaewashambulia!!
Najiuliza tufanye nini juu ya watanzania hawa maskini?, wamekata tamaa,hawajielewi,hawajui wajibu wa serikali kwao,hawajui mkataba waliouweka kati yao na serikali,ni wahanga ,wamepoteza mweleo. Chadema inawajibu mkubwa kuwaambia watanzania,KUPE asababishae magonjwa ya kukosa maji,umeme,soko na bei ya mazao,viwanda,shule bora,zikabaki bora shule,barabara zinazorekebishwa kila mwaka!!, chadema tuungane kutafuta dawa ya wananchi dhidi ya kupe ccm asiyehurumia kizazi kijacho!!!
 
We don't need strong people, we need a strong system in place

S strong people is a key for strong government,good example,Franklin Roesservert,Bill clinton,Magreth thether,Ton Adamu,Nelson Mandela,jk nyerere,Reagan,& Martin Luther King jr to metion few were the engine of remarkable European ,world changes!!
 
Tatizo ni wanasiasa nyie, almost wote mnasema yaleyale na wote mkipata nafasi mnageuka makupe tuu. Sioni nani wa kumwamini na wala siabudu siasa. Makupe yamejaa ccm, cdm, nccr, tlp n.k so hatuchagui chama tunachagua mtu. Ni mtazamo tuu!!
Mkuu Mandingo hapo unakata tamaa ndugu yangu Ukitegemea vinywa vya wanasiasa tu tutachelewa sana ! mabadiliko yanaanzia from pale ulipo na ueneze kwa wengine na wengine waeneze kwa wengine! wanasiasa wanachongonisha, wanachonganishwa! tujenge base yetu imara wenyewe ambayo haitatereshwa na mtu! kwa kifupi wanasiasa wakija wakute tushabadilika tayari! Hapo CCM ni laini kuliko hata maini
 
Mkuu Mandingo hivi ungeamini kuwa leo hii tunapoelekea kuiangusha CCM Zitto kabwe hawi miongoni mwa walioiangusha CCM? amebaki Mtazamaji tu na Msaliti wa Hrakati
 
CCM ni sawa na ukoo wa panya, baba mwizi, mama mwizi, mtoto mwizi, kaka mwizi, dada mwizi, babu mwizi, bibi mwizi, shemeji mwizi! By Mh. Nassari.
 
Mkuu Mandingo hivi ungeamini kuwa leo hii tunapoelekea kuiangusha CCM Zitto kabwe hawi miongoni mwa walioiangusha CCM? amebaki Mtazamaji tu na Msaliti wa Hrakati
Dhambi ya usaliti anayeweza kumsamehe mtu ni Mungu peke yake maana damu ya wazee humlilia kila siku
 
Mkuu Mandingo hapo unakata tamaa ndugu yangu Ukitegemea vinywa vya wanasiasa tu tutachelewa sana ! mabadiliko yanaanzia from pale ulipo na ueneze kwa wengine na wengine waeneze kwa wengine! wanasiasa wanachongonisha, wanachonganishwa! tujenge base yetu imara wenyewe ambayo haitatereshwa na mtu! kwa kifupi wanasiasa wakija wakute tushabadilika tayari! Hapo CCM ni laini kuliko hata maini
Tatizo hapa ni pale tunapotegemea kikundi kidogo kituletee mabadiliko...ukweli ni kwamba ni lazima mapambano yavuke ngazi ya wanasiasa na kuwa ya jamii nzima
 
S strong people is a key for strong government,good example,Franklin Roesservert,Bill clinton,Magreth thether,Ton Adamu,Nelson Mandela,jk nyerere,Reagan,& Martin Luther King jr to metion few were the engine of remarkable European ,world changes!!
I support the concept that strong system is a product of strong people
 
sijakuelewa unaposema nchi itarejesha afya yake tena. kwani kuna kipindi nchi hii ilikuwa na afya tangia uhuru?

Kupe hana jeuri wala uwezo wa kusababisha homa na kukondeana kote kunakomtesa ng'ombe,ng'ombe ni mkubwa kwa umbo na anaweza kumkandamiza kwenye mti au ukuta kupe akafa, tatizo ni kufikiri hana madhara makubwa maishani mwake na kumbe homa zote na vifo vingi ni vya kupe.

Kwa upande mwingine watanzania wanachukulia kirahisi rahisi mambo kama RICHMOND, IPTL, EPA, MEREMETA, nk makupe yanayofadhiliwa na CCM hawayatazami kwa jicho stahiki, wanacheka nayo huku wanayaita ndugu, rafiki, kada, mwenzetu nk.

Tunapumbazwa na ugali wa muhogo yunaoupata kila jioni kabla ya kulala bila kuitazama elimu yetu, afya ya Jamii,miundo mbinu ya barabara, utawala bora nk.

Dharau yetu hii kwa kupe imeleta homa kali na kukongoloka kwa maendeleo ya watanzania, siku ng'ombe akichachamaa kwa wiki moja tu asimpe kupe damu ndo kiama cha makupe kitakapo wadia.

INYIMENI KURA CCM SERIKALI ZA MITAA NA SERIKALI KUU MUONE KAMA HAIJAFA NDANI YA MWAKA MMOJA.

Hakutakuwa na kasuku Nape Nauye,Kupe Kinana,nk na nchi itarejesha afya yake tena.
 
Rafiki yangu Mawazo,leo wakati niko kwenye daladala,nikawa naongea kisa hiki:
Tuna mwenyekiti wa mtaa,aliyeukwaa miaka kumi iliyopita,anauza maenei yawazi,anajenga nyumba na kununua magari.ameuza sehemu eneo la makaburi,ameuza eneo la kijiji lililowekwa wazi kwa matumizi ya baadae,ameuza shamva la shule.Awamu ya kwanza ya aliwafukuza wajumbe wawili wa mtaa,mwaka jana amewafukuza wajumbe watatu wa ccm wa mtaa( hawa wote walichaguliwa na wananchi).
sababu kubwa ya ugomvi ni mapato yatokanayo na kuuza viwanja. Hapo alipo ana nyumba tatu na huozesha wanae michango huwa laki moja.
Leo nikiwa na mkaazi halali nikamweleza juu ya kuchagua mafisadi akasema hivi" hata tukiwachagua chadema,mtakula tu kwani kila kiongozi hujali familia yake,"
Ni kiasi gani ccm ,mnaona ilivyowafanya watz,kuwa hawajui kupe wao anaewashambulia!!
Najiuliza tufanye nini juu ya watanzania hawa maskini?, wamekata tamaa,hawajielewi,hawajui wajibu wa serikali kwao,hawajui mkataba waliouweka kati yao na serikali,ni wahanga ,wamepoteza mweleo. Chadema inawajibu mkubwa kuwaambia watanzania,KUPE asababishae magonjwa ya kukosa maji,umeme,soko na bei ya mazao,viwanda,shule bora,zikabaki bora shule,barabara zinazorekebishwa kila mwaka!!, chadema tuungane kutafuta dawa ya wananchi dhidi ya kupe ccm asiyehurumia kizazi kijacho!!!
Pole sana mkuu wangu, tusikate tamaa... tuendeleeni kutoa elimu ya uraia itatulipa tu tusipozimia roho
 
Back
Top Bottom