Tatizo la Ng'ombe ni kumpuuza Kupe maishani

Tatizo la Ng'ombe ni kumpuuza Kupe maishani

We don't need strong people, we need a strong system in place

Strong system right!!!!
Who forms part of that system? The current system is formed by all political parties, what are they doing to eliminate the deficiencies in the system? All of them are Rotten and i don't believe in politicians.
 
Ulivyo mjinga unadhani nchi hii yenu peke yenu mainterahamwe! Kuna siku tutawaamulia na kuwashikisha adabu,tutawanyofoa filigisi wapuuzi nyie mliolewa madaraka hadi mkasau kuwa nyie ni wapangaji tu hapo magogoni,Shnzzz taipu!

wewe ni machicha ya mbege tu huna jipya na hao VILAZA kina mawazo,hakuna wa kutubabaisha ccm,tutakwenda sehemu yoyote tuipendayo,mpaka magogoni ni yetu chadema mtabakia kuisikia redioni nyambafu ninyi.ccm ni baba yenu
 
wewe ni machicha ya mbege tu huna jipya na hao VILAZA kina mawazo,hakuna wa kutubabaisha ccm,tutakwenda sehemu yoyote tuipendayo,mpaka magogoni ni yetu chadema mtabakia kuisikia redioni nyambafu ninyi.ccm ni baba yenu

Wanaccm nawajuwa maana nilikuwa huko nlipokuwa ----...wewe mbona jina lako haliko?
 
Umerogwa haki ya Mungu,hujui barabara zote zenye lami feki zimejengwa kwa mkopo ambao mwanao rofa atalipa?
unatumia data zipi? nikuulize swali moja rahisi tu. barabara ya iringa-dodoma imekamilika. niambie nani wafadhili kwa mujibu wa huu mchango wako.
 
lugha ya picha uliyotumia haiendani na muktadha wa ujumbe unaotaka kuufikisha.

mara kupe hasababishi homa, mara kupe anasababisha homa sasa ndo nini

kwa hisani ya Honolulu chukua hii

CCM ni kama kupe
NG'OMBE anapelekwa machinjioni, kupe hana habari
NG'ombe anachinjwa, kupe hana habari

NG'OMBE anachunwa, kupe hana habari
NGOZI inawambwa, kupe hana habari
NGOZI ikianza kukauka he! ndo kupe anashtuka

CCM INAKUFA NA WANA CCM HAWANA HABARI,
mtachanganya lugha weee , mwakani wanachukua tena. kupe mtakuwa nyie.dawa ni kusaidia mageuzi ndani ya ccm ili apatikane kiongozi bora kutokea ccm.
 
Back
Top Bottom