Tatizo la Ng'ombe ni kumpuuza Kupe maishani

Tatizo la Ng'ombe ni kumpuuza Kupe maishani

hii naweza nikaita thread ya mwaka,
pamoja sana kamanda Alphonce Mawazo , kamanda SONGOKA pia una wazo zuri japo mantiki ya kamanda mawazo iko tofauti kidogo na yako, ya kwako ni njia tu mojawapo yakutokomeza kupe japo wakati kupe anaangamizwa kwa njia uliyosema ni kupe huyo huyo anaitesa ng'ombe kama hoja ya kamanda mawazo inavyojieleza.
Naungana na wewe Zumbukuku
 
Last edited by a moderator:
Kwanini mchague watu walewale wenye sifa zilezile wakufanya yale yale, wakati tofauti?

Shida yetu kubwa watanzania ni MFUMO, hata tukichagua watu wazuri kiasi gani bado hawawezi kuleta mabadiriko yenye tija kwa Taifa letu. Leo hii huwezi kununua Suruali mpya huku ndani umevaa pichu ya zamani tena ikiwa chafu ikitoa harufu mbaya Halafu ukadai eti umekuwa mpya kwasababu ya suruali uliyo vaa...Hapana hatuendi hivyo.....

Safisha ndani ya kikombe ili na nje yake ipate kuwa safi.....Nikwakufanya hivyo ndipo utatembea kifua mbele huku ukijidai kwamba umekuwa mpya kwasababu ya kuvaa Pichu mpya na suruali mpya. Tuondoe mfumo huu kandamizi ulioshindwa tangu uhuru wa taifa letu ndipo tutakapo baini uzuri wa mabadiriko.

BACK TANGANYIKA
Kamanda mkuu umenena ki uyakinifu labda mtu azibe mfumo wa fahamu
 
Watanzania kwa ujumla ni wavivu wa kufikiri,hakuna hujuma tusiyoijua,waoga wa kuthubutu na tutakufa kibudu
 
Watanzania kwa ujumla ni wavivu wa kufikiri,hakuna hujuma tusiyoijua,waoga wa kuthubutu na tutakufa kibudu
Usibaki kulalama tu...wewe umefanya nini kusaidia nchi yako ili watu wafumbue macho?acheni kuwalaumu wanafunzi ambao hamjawafundisha vya kutosha
 
Watanzania kwa ujumla ni wavivu wa kufikiri,hakuna hujuma tusiyoijua,waoga wa kuthubutu na tutakufa kibudu

Inaanza na wewe, kama umeshalijua tatizo basi ni rahisi kulitatua. Anza kujiondoa huko ili usife kibudu, na kuwa mfano ili wengine waige.
 
Kamanda mkuu umenena ki uyakinifu labda mtu azibe mfumo wa fahamu

Naaam mkuu pamoja sana,, Tunoe siraha zetu (kujiandikisha kupiga kura) Tunoe Hasira zetu (kwa madhira tuliyotendwa na ccm) Then ukifika wakati mwafaka tumteketeze adui yetu (mfumo kandamizi wa ccm) kwa kishindo kikuu..

Sisi sote ni ndugu,adui yetu ni mmoja tu CCM
 
Back
Top Bottom