Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

kuna kitu wazungu wanaita insomnia. kuna aina tatu ya insomnia: 'episodic' ambayo ni insomnia ambayo huja na kuondoka, 'chronic' yaani ya siku nyingi na kuendelea, na 'short-term' ambayo ni siku chache (haizidi weeki tatu). kutolala usiku kuna sababu nyingi, kama vile,
*tabia mtu anazojifunza toka utotoni za kutolala
*kulala mchana
*sehemu unayoishi haifai kulala (usumbufu wa kelele na vinginevyo)
*kufanya kazi za usiku
*kukaa kitandani mno ukiwa macho
*kutopata mazoezi ya kutosha
*kuchezea kompyuta au simu mno ukiwa kitandani
*kutumia dawa zinazonyima usingizi
*kunywa kahawa muda wa kulala

jinsi ya kupata usingizi ukiwa na insomnia ni kwa kubadilisha system ya kulala, yaani kutengeneza mazingira ya kuvutia usingizi.
*kusoma vitabu vya hadithi
*kusikiliza slow music
*kutoa mawazo kichwani. ukifika muda wa kulala, unaweka shida za dunia pembeni

vile vile, unaweza kutumia antihistamines (lakini kuna uhatari wa kuzoea kulala kwa kuzitumia *addiction*) kama piriton ambazo zinauzwa kwa duka za dawa au ukapata daktari akuandikie prescription ya antihistamine zilizo na nguvu zaidi
usingizi ukiendelea kuukosa, ushauri wangu ni umwone daktari
**leh
 
msome leh hapo juu. but be careful with the use of antihistamines, zina side effects nyingi ukiziendekeza ma bro/sisy. pole.
 
Last edited by a moderator:
jaribu kuwa unapata glass ya mtindi masaa machache kabla ya kulala!! linaweza kuwa lisaa limoja.... yanasaidia pia
 
Ivi haya maisha yalivo magumu,bado 2 kuna watu wanataka kupata usingzi?
 
kuna kitu wazungu wanaita insomnia. kuna aina tatu ya insomnia: 'episodic' ambayo ni insomnia ambayo huja na kuondoka, 'chronic' yaani ya siku nyingi na kuendelea, na 'short-term' ambayo ni siku chache (haizidi weeki tatu). kutolala usiku kuna sababu nyingi, kama vile,
*tabia mtu anazojifunza toka utotoni za kutolala
*kulala mchana
*sehemu unayoishi haifai kulala (usumbufu wa kelele na vinginevyo)
*kufanya kazi za usiku
*kukaa kitandani mno ukiwa macho
*kutopata mazoezi ya kutosha
*kuchezea kompyuta au simu mno ukiwa kitandani
*kutumia dawa zinazonyima usingizi
*kunywa kahawa muda wa kulala

jinsi ya kupata usingizi ukiwa na insomnia ni kwa kubadilisha system ya kulala, yaani kutengeneza mazingira ya kuvutia usingizi.
*kusoma vitabu vya hadithi
*kusikiliza slow music
*kutoa mawazo kichwani. ukifika muda wa kulala, unaweka shida za dunia pembeni

vile vile, unaweza kutumia antihistamines (lakini kuna uhatari wa kuzoea kulala kwa kuzitumia *addiction*) kama piriton ambazo zinauzwa kwa duka za dawa au ukapata daktari akuandikie prescription ya antihistamine zilizo na nguvu zaidi
usingizi ukiendelea kuukosa, ushauri wangu ni umwone daktari
**leh
Naamini umeeleweka vizuri, maelezo yako yako sawa kabisa.
 
Changanya juice ya limao moja + Kijiko kikubwa kimoja cha asali, kunywa kabla ya kuenda kulala. Tumia kwa wiki moja utalala kama mtoto.
 
dini gani?kama ni muumini wa dini yoyote,kabla hujalala sali sana!
 
jamani mi ni kijana mdogo tu ila leo siku ya pili sijalala na sina hata chembe ya usingizi,hakuna kusinzia,siku zilizopita hata nikilala haizidi masaa matatu au manne lazima niamke tu
 
kuna kitu wazungu wanaita insomnia. kuna aina tatu ya insomnia: 'episodic' ambayo ni insomnia ambayo huja na kuondoka, 'chronic' yaani ya siku nyingi na kuendelea, na 'short-term' ambayo ni siku chache (haizidi weeki tatu). kutolala usiku kuna sababu nyingi, kama vile,
*tabia mtu anazojifunza toka utotoni za kutolala
*kulala mchana
*sehemu unayoishi haifai kulala (usumbufu wa kelele na vinginevyo)
*kufanya kazi za usiku
*kukaa kitandani mno ukiwa macho
*kutopata mazoezi ya kutosha
*kuchezea kompyuta au simu mno ukiwa kitandani
*kutumia dawa zinazonyima usingizi
*kunywa kahawa muda wa kulala

jinsi ya kupata usingizi ukiwa na insomnia ni kwa kubadilisha system ya kulala, yaani kutengeneza mazingira ya kuvutia usingizi.
*kusoma vitabu vya hadithi
*kusikiliza slow music
*kutoa mawazo kichwani. ukifika muda wa kulala, unaweka shida za dunia pembeni

vile vile, unaweza kutumia antihistamines (lakini kuna uhatari wa kuzoea kulala kwa kuzitumia *addiction*) kama piriton ambazo zinauzwa kwa duka za dawa au ukapata daktari akuandikie prescription ya antihistamine zilizo na nguvu zaidi
usingizi ukiendelea kuukosa, ushauri wangu ni umwone daktari
**leh

thanks much
 
Nashukuru sana kwa michango yenu ntaifanyia kazi, ntaeleza matokeo.
 
Kuna bilinganya mkuu,chemsha weka chumvi kidogo kisha komba hivyohivyo bila ugali/wali.endelea kwa siku tatu na zaidi,ukikosa tena usingizi bas kutakuwa na mguu wa mtu.
 
"Akili nzuri hupatikana kwa siha nzuri". Usingizi ni moja katika jambo la ibada, na kila ibada ina muda wake maalum kwa vile usingizi ni ibada bila shaka una muda wake maalum wa kuitekeleza ibada hii. Wanasayansi wamependezesha kuwa mtu alale masaa 8. Pia ni uzuri kulala mwanzo wa usiku .

Kutopata usingizi husababisha wazimu (sio kukesha siku moja kwa wale wenye tabia ya kukosa usingizi siku zote). Kukesha kunaweza kumkondesha mtu na hudhurika ubongo.

YENYE KULETA USINGIZI:

1. Miongoni mwa vinvyosababisha usingizi ni mafuta ya tango, hufaa sana kwa wale wenye usingizi mchache wajipake mafuta hayo.

2. Vilevile mafuta ya busanji yanasaidia kuleta usingizi, pia ukitia miguu katika maji ya dafidafi (warm water).

3. Pia kunusa manemane na kunywa maji yaliorowekwa manemane.

4. Kunusa zafarani na tufaha (apple) na pia maji ya zafarani ukayatia kichwani husaidia kuleta usingizi.

5. Kunya maziwa moto huleta usingizi

6. Asali safi ya nyuki kunywa kabla kulala kwa saa huleta usingizi.

..... Buza Tumia kisha unipe Feedback.
 
Kama hauna usingizi kwani lazima ulale? fanya kazi za kuzalisha wakati hauna usingizi, umependelewa.
 
Wadau. Naomba ushauri wenu. Ninia tatizo la kukosa usingizi, ni muda sasa nahangaika hapa na pale kupata ufumbuzi lakini najikuta napoteza hela bila kupata nafuu. Mwisho nimefikiria nianze kutumia dawa za usingizi mana nahangaika sana....kwa anajua lolote naomba anijuze. Nitajaribu yote mtakayonishauri.asanteni
 
Yaani ningekuwa wewe! Nalala saa 3usiku mpaka 2asubuhi.
 
Jaribu kufanya mazoez mida ya jioni itakusaidia mkuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom