Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

Pole sana. Wewe ni mwanaume au mwanamke? una weight na umri gani? una matatizo ya presha? Jibu hivyo ili tujue tatizo ila in the mean time jaribu kula sn mabilinganya, yanasaidia sn kurelax. Mimi huwa yananisaidia sn nikipata tatizo hilo
 
Jaribu kufanya mazoez mida ya jioni itakusaidia mkuu!
nilipokuwa nasoma nilikua na tatizo kama hili, kufanya mazoezi haisaidii maana nilikua nalala fofofo kwa masaa 2 halafu basi..nadhani jinsi akili inavyosoma msongo wa mawazo huwa inaji-adjust kufuta usingizi.
 
Fanya mazoezi ya kukimbia mida ya asubuhi, ikifika jioni utakuwa katika hali ya kawaida na kupata usingizi
 
asanteni kwa ushauri mzuri. haya mabilinganya nakula kwa idadi ipi na nile mara ngapi tatizo liishe, some one told me about habbat soda but cjui ndo nini
 
ni mwanaume. only 26 sina matatizo ya presha. am physically fit........kwani huwa unapata tatizo hili na unakabiliana nalo vipi. tel me please
 
Dada vipi tatizo lako liliisha, nimesoma post yako leo japo uliiweka long sana.... Nijuze chochote ulichotumia ukapona mana nami nasumbuliwa na tatizo hili mwaka na nusu sasa
 

lavender ni nini na yanapatikana wapi.... Natatizo la kukosa usingizi tafadhali nijulishe pamoja na tiba kamili mana nataka kuanza kutumia vidonge kuondokana na hali mana tatizo la muda mrefu sana na nahangaika kwelikweli
 
Usitumii vidonge. Tatizo lenyewe limepungua sana ila halijaisha...
 
duuh.!kumbe kuna watu wanateseka.katika watu walojaliwa usingizi mimi,naweza lala saa mbili nakaamka saa 7 mchana.Hapo akili yangu inatengamaa.Ngoja waje wataalamu au na mimi nitakua na tatizo?mmmh...
 
Wadau nipeni ushauri nakabiliwa na tatizo la kukosa usingizi muda mrefu sasa nifanye niweze kurejea katika hali yangu ya kwaida
 
achana na mawazo yanayokusumbua means punguza stress hiyo itakusaidia sana..

au wewe ni mjasiriamali huna muda wa kupumzika..
 
Kuwa mtu wa kufanya mazoezi jione, kula vizuri na pata glass ya maziwa ya vuguvugu kabla tu ya kulala. Usiweke sukari kwenye maziwa please, weka asali kama unahitaji sana kuweka utamu. Sukari na maziwa wakati wa digestion huproduce water and alcohol kama end products.
 
Pia utumie vitu kama pilipili, kahawa au coke maana vina stimulate brain na kuongeza mapigo ya moyo hence kuondoa usingizi
 
Punguza mawazo, km walivyoshauri wengine. Vilevile, usile mlo mzito usiku, na jaribu kuvuta hisia ya vitu vinavyokufanya utulie kimawazo na hata kuweza kukupa usingizi. Kwa mfano, km sauti ya mvua inakuchombeza, basi vuta hisia km uko ktk nyumba tulivu, hali ya hewa nzuri, huku mvua inanyesha. Ongezea vikorombwezo, km harufu ya manukato ktk chumba, dim light, au chochote kingine ukipendacho.
 
Kutopata usingizi husababisha wazimu (sio kukesha siku moja kwa wale wenye tabia ya kukosa usingizi siku zote). Kukesha kunaweza kumkondesha mtu na hudhurika ubongo.

YENYE KULETA USINGIZI:

1. Miongoni mwa vinavyosababisha usingizi ni mafuta ya tango, hufaa sana kwa wale wenye usingizi mchache wajipake mafuta hayo kichwani.

2. Vilevile mafuta ya busanji ujipake kichwani Busanji kwa lugha ya kiingereza inaitwa ( violet) yanasaidia kuleta usingizi, pia ukitia nyayo zako katika maji ya Uvuguvugu .

3. Pia kunusa manemane na kunywa maji yaliorowekwa manemane.

4. Kunusa zafarani na Tufaha (apple) na pia maji ya zafarani ukayatia kichwani husaidia kuleta usingizi.

5. Kunywa Maziwa yaliyochemshwa ukatia kidogo Sukari huleta usingizi

6. Asali safi mbichi ya nyuki kunywa kabla kulala kwa saa huleta usingizi.

7. Tafuta dawa hii (
Melatonin) - inatibu maradhi ya Alzheimer's, Kansa Saratani, mfadhaiko, UKIMWI, na kukosa usingizi

8.
Hatua nyingine ni kulala kwa wakati uleule sikuzote.
Oga nusu saa hivi kabla ya kulala.
Usinywe Chai au Kahawa au Soda kama Pepsi au Cocacola kabla ya kulala.
Usifanye Mazoezi karibu ya wakati wa kulala bora ufanye mapema.
Kunywa maziwa ya fukuto kiasi.

Jaribu kutumia hizo Dawa Mkuu kisha unipe
Feedback.@
Mwitakesowani
 
kwani unalala masaa mangapi kwa siku?
maana yawezekana anafikisha masaa 8 lakini anataka aendelee kulala na atazua gonjwa jingine.
tuambie kwa siku unalala masaa mangapi. tuanzie hapo then tukushauri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom