Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,631
- 3,545
Sina hakika ni hii au mawazo kunizidia kichwani....ila ninajua inachangia kwa kiasi fulani!Hiyo huwa inakukuta eeeh? ya kushindwa kulala kwasababu hiyo?
Sina hakika ni hii au mawazo kunizidia kichwani....ila ninajua inachangia kwa kiasi fulani!Hiyo huwa inakukuta eeeh? ya kushindwa kulala kwasababu hiyo?
na usipopata usingizi ukaombewe tuduh kwahiyo ukiwa na mtu pembeni ka usingizi kanakuja laiiini eeh? Nimeipenda hii
Na mimi kulia ndio tiba yangu kubwa... Nikikasirika/ kuchukia afu nisilie naeza kufa aisee! Nikilia napata nafuu kubwa sana!Unafanyaje kurudi kuwa normal? Najua wengine mpaka walie machozi yatoke meeeeeengi.....
Ni visiwa vinapatikana Indian ocean. Nadhani tofauti ya masaa kati ya TZ na French polinesia ni kama 12 hrs hivi. kwa hiyo saa moja usiku huku ni saa moja asubuhi kule and vice versa. Ukimuona online unadhani halali, kumbe kule kwao ni mchana.Hiyo nyekundu hapo ndio nini Russian Roulette?
Kuna uwezekano likawa pepo eeh?na usipopata usingizi ukaombewe tu
Mh haya nimekusoma "Super Moderator"Ni visiwa vinapatikana Indian ocean. Nadhani tofauti ya masaa kati ya TZ na French polinesia ni kama 12 hrs hivi. kwa hiyo saa moja usiku huku ni saa moja asubuhi kule and vice versa. Ukimuona online unadhani halali, kumbe kule kwao ni mchana.
Mh okay, so if you cry inabidi uachwe kwanza ulie ili u relax eeehNa mimi kulia ndio tiba yangu kubwa... Nikikasirika/ kuchukia afu nisilie naeza kufa aisee! Nikilia napata nafuu kubwa sana!
Mbona umebadili namna ya kuniita? last post uliniita RR...Mh haya nimekusoma "Super Moderator"
We unapenda nikuiteje? RR au Super Mod?Mbona umebadili namna ya kuniita? last post uliniita RR...
How would you feel nikikwita 'JF premium member' instead of Musimo Jr?We unapenda nikuiteje? RR au Super Mod?
That wont sound gud, but i got ur point RRHow would you feel nikikwita 'JF premium member' instead of Musimo Jr?