Habari za mida hii?
Ni mwaka wa nne sasa nasumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi kwa kweli waweza sema labda nina mawazo lakn hapana mwanadamu ni lazima kuna wakati atakuwa na mawazo kuna wakati atakuwa na furaha n.k lakini mimi tatizo langu ni kwamba kila siku kulala kwangu ni saa saba usiku nikiwahi saa sita kamili na pia kulala ni lazima nifungulie mziki wa taratiibu au za dini ndipo napata usingizi lakn bila kufanya hivyo (kufungulia mziki) naweza kukaa tena hata nusu saa bila kupata usingizi KIMBEMBE tena linakuja endapo nikistuka usiku ndio basi tena sipati usingizi mpaka saa kumi na mbili asbhi ndio nasikia kwa mbaali ka usingizi lkn majukumu nayo ndo yanaanza. Yaani kwangu mimi ni kulala saa sita na nusu-saa saba usiku na kustuka saa kumi alfajiri au saa kumi na moja alfajiri. Nahisi hili ni tatizo maana kiafya tunashauriwa kama sikosei ni kulala masaa zaidi ya 6.
Nawasilisha.
DAWA:Chukua ndizi mbivu kubwa 2 zipondeponde changanya na maji glasi 1 chemsha baada ya dakika 5 ipua na uache ipoe tatizo litakwishamimi nipo kitandani tangu saa4 nipo tu... mkuu una tatizo la kuchelewa kupata usingizi... ambalo wengi tunalo
wewe unalala hivyo km 'pono'.mimi nasoma tu km hiv toka nijitambue sijawahi kupata usingizi.Habari za mida hii?
Ni mwaka wa nne sasa nasumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi kwa kweli waweza sema labda nina mawazo lakn hapana mwanadamu ni lazima kuna wakati atakuwa na mawazo kuna wakati atakuwa na furaha n.k lakini mimi tatizo langu ni kwamba kila siku kulala kwangu ni saa saba usiku nikiwahi saa sita kamili na pia kulala ni lazima nifungulie mziki wa taratiibu au za dini ndipo napata usingizi lakn bila kufanya hivyo (kufungulia mziki) naweza kukaa tena hata nusu saa bila kupata usingizi KIMBEMBE tena linakuja endapo nikistuka usiku ndio basi tena sipati usingizi mpaka saa kumi na mbili asbhi ndio nasikia kwa mbaali ka usingizi lkn majukumu nayo ndo yanaanza. Yaani kwangu mimi ni kulala saa sita na nusu-saa saba usiku na kustuka saa kumi alfajiri au saa kumi na moja alfajiri. Nahisi hili ni tatizo maana kiafya tunashauriwa kama sikosei ni kulala masaa zaidi ya 6.
Nawasilisha.
Pia ni vyema chakula cha jioni akawa anakula mapema zaidi.Kunywa maziwa ya moto baada ya chakula cha jioni unaweza kuwekeza milo au hotchocalate. Maziwa ya melatonin inayosaudia usingizi
Ili kupata usingizi mzito pia waweza kufanya hiviDAWA:Chukua ndizi mbivu kubwa 2 zipondeponde changanya na maji glasi 1 chemsha baada ya dakika 5 ipua na uache ipoe tatizo litakwisha
angalizo:usitumie zaidi ya wiki 2 maana unaweza kuzalisha tatizo la kuwa na usingizi kupitiliza
acha masikhara mchawi tena?Hii ni dalili ya kuwa mchawi, ngoja nimwambie mchawi mkuu Mshana Jr na mwenzake MziziMkavu wakusaidie kwa dawa za mizimu upate usingizi.
Mwisho iwe saa 7.20Pia ni vyema chakula cha jioni akawa anakula mapema zaidi.
Kati ya saa 12:30 hadi saa 2.00 usiku, Hapo lengo ni kuutafutausingizi mapema katiya saa 3 hadi saa 4.
Pia kazi au mazoezi ya kuuchosha mwili yafanyike kila siku.
Habari za mida hii?
Ni mwaka wa nne sasa nasumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi kwa kweli waweza sema labda nina mawazo lakn hapana mwanadamu ni lazima kuna wakati atakuwa na mawazo kuna wakati atakuwa na furaha n.k lakini mimi tatizo langu ni kwamba kila siku kulala kwangu ni saa saba usiku nikiwahi saa sita kamili na pia kulala ni lazima nifungulie mziki wa taratiibu au za dini ndipo napata usingizi lakn bila kufanya hivyo (kufungulia mziki) naweza kukaa tena hata nusu saa bila kupata usingizi KIMBEMBE tena linakuja endapo nikistuka usiku ndio basi tena sipati usingizi mpaka saa kumi na mbili asbhi ndio nasikia kwa mbaali ka usingizi lkn majukumu nayo ndo yanaanza. Yaani kwangu mimi ni kulala saa sita na nusu-saa saba usiku na kustuka saa kumi alfajiri au saa kumi na moja alfajiri. Nahisi hili ni tatizo maana kiafya tunashauriwa kama sikosei ni kulala masaa zaidi ya 6.
Nawasilisha.
Akitumia Dawa za Kizungu zitamfanya awe mteja wa hizo dawa kwani Dawa za Hospitali haziwezi kutibu maradhi ya kutopata usingizi kwa lugha ya kitaama ni (Insomnia)Kuna uwezekano una disorder/ ugonjwa wa Insomnia...
Tafuta dawa ya Amitriptyline uwe unatumia. Huenda ikakusaidia. Nenda pharmacy kubwa kubwa unaweza ukapata.
Insomnia: Causes, Symptoms, Types, and More