Tatizo la kukatika katika umeme kuikosesha kura CCM

Tatizo la kukatika katika umeme kuikosesha kura CCM

Umeme unakatwa alfajiri mchana kutwa sasa yaenda usiku wa manane hakuna umeme.

Sasa wewe na akili zako bado unafikiria kupigia kura ccm - chama cha matapeli?
 
Hiyo tafsiri yake ni kuwa baada ya miaka zaidi ya 50 tokea tupate uhuru wetu, serikali ya CCM imeshindwa kuondoa mgao wa umeme.

Ikitokea wapiga kura waamue tena kuipa ridhaa CCM iendelee kututawala hapo tarehe 25 mwezi huu, hiyo tafsiri yake ni kuwa tutakuwa tumeipa ridhaa serikali hiyo ya CCM iendelee kututesa na mgao wa umeme ambao ni ENDLESS hata kwa miaka 50 ijayo!
 
Mbona insanity ndiyo kawaida yetu watanzania.I hope we will be different this time.
"Insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results" Albert Einstein. Unachagua chama hicho hicho kwa namna ile ile halafu utegemee matokeo tofauti!! Your insane!!!
 
Halafu wanazidi kudanganya kwenye Kampeni kuwa serikali ya Maguli itakuwa ya viwanda! Kwa umeme upi? Miaka 10 iliyopita JK alipoingia madarakani tatizo la kwanza alilokutana nalo ni mgao wa umeme! Anaondoka kukiwa na mgao wa umeme ikiwa ishara kuwa Ari mpya, Kasi mpya na Nguvu mpya ilikuwa kama moshi tu! Geresha tupu. Sina sababu ya kuamini ahadi yoyote ya CCM! Hapakuwa na maisha bora kwa kila Mtanzania badala yake ni kinyume
Ari mpya na kasi mpya ya kwenda ughaibuni kula bata.....!!! Hahahahaaa...ccm bana ni pengo la mbele, kutia aibu tu kwenye anga za kimataifa....!!!
 
Huyo Lowasa wako tunamdai mvua yetu aliyoenda kununua Malaysia kwa ajili ya kujaza mabwawa ya mtera!
Kabla hajaapishwa atuletee mvua yetu kwanza!
Wanaoshabikia Lowassa ni Wachaga wenye chuki na Wajinga ambao hajuwi kumsoma mtu tapeli.
 
Wenye utindio wa ubongo bado wapo mkuu, wanoimba ssm mbele kwa mbele,huku ucku kucha wako gizani, wanaimba eti "Hapa kazi tu"huku akizurula mtaani hana hata mia mfukoni!
 
Kama hali hii tete la umeme ukiendelea Bwana Magufuli sahau kabisa kuingia Ikulu. Nakueleza wazi kuwa Watanzania WAMEKASIRIKA SANA na hawaoni sababu ya kuipigia CCM kura. Fikiria umeme unazimwa saa 11.30 asubuhi unarudi tena saa 4.30 usiku halafu usiku huo huo unazimwa saa 10.00. Hivi mnatuona sisi wananchi ni wajinga. Subiri kichinjio chako Bwana Magufuli tarehe 25.10.2015.Serikali gani hii isiyojali wananchi?.
 
Yaani nazidi kuichukia Ccm na serikali yake. Wapuuzi sana wanahonga wasanii mamilioni ya fedha huku Umeme ni janga.
 
Kawaida siku ya kuanguka nyani miti yote huteleza ccm safari hii imejipanga kuanguka
 
Tanzania ya Magufuli itakuwa ya viwanda,bila shaka kwa umeme kukatika hivi ,hivvo viwanda vitakuwa vinaendeshwa kwa POWERBANK!
 
CCM na Tanesco ni janga kuu!!!!
Kuwachagua ni kuçhagua umaskini.
Toa tupa kule.
 
Kama hali hii tete la umeme ukiendelea Bwana Magufuli sahau kabisa kuingia Ikulu. Nakueleza wazi kuwa Watanzania WAMEKASIRIKA SANA na hawaoni sababu ya kuipigia CCM kura. Fikiria umeme unazimwa saa 11.30 asubuhi unarudi tena saa 4.30 usiku halafu usiku huo huo unazimwa saa 10.00. Hivi mnatuona sisi wananchi ni wajinga. Subiri kichinjio chako Bwana Magufuli tarehe 25.10.2015.Serikali gani hii isiyojali wananchi?.

Ngoja maccm yaje mkuu alafu uyasikie yalivyo majuha!!! Huku wanakata saa tatu wanarudisha saa mbili usiku ni balaa!!
 
Back
Top Bottom