Tatizo la kukatika katika umeme kuikosesha kura CCM

Tatizo la kukatika katika umeme kuikosesha kura CCM

Na kuna watanzania wanaishabikia ccm.? Watanzania sisi na majuha na wapumbavu sana. Tutaleta viwanda, tuteleta laptop kila shule, tutaboredha huduma ya afya, tutawezesha vijana wajiajiri , tutaboresha elimu. Bila umeme unawezaje kufanya haya.? Viwanda unaendesha vipi.? Watu wanajiajiri vipi bila umeme.? Shule unafindisha vipi.? Hasa chuo presentation unafanyaje.? Tanzania kuna vichaa
 
Umeme umekuwa ni kero na kikwazo kikubwa cha maendeleo ya taifa letu na hii inapelekea watu wengi kuathiri shughuli zao za kila siku kwani umekuwa ukikatika kila siku na haijulikani tatizo hili litaisha lini hasa ukizingatia kwamba ni takribani miaka 50 tangu tupate uhuru nchi ikiwa haijawahi kuwa na umeme wa uhakika.

Nashauri kwa wale wapenda mabadiliko wenzangu popote tulipo tujitahidi kupiga kilele bila kuchoka kwa kuimba umeme! Umeme! Umeme! Umeme! Tufanye hivi kadiri inavyowezekana hususani katika mikutano ya kampeni za mgombea urais kupitia CCM ili tuzidi kuwaamsha waliolala kwa kuwafanya watambua umuhumu wa umeme na wajibu wa Serikali yao katika kuwahudumia.

Naamini endapo kilele hizi zitapigwa kila kona ya nchi, zitachochea upepo wa mabadiliko na hatimaye kuzidi kuongeza kura zaidi kwani watu watazidi kukichukia chama tawala na kuamua kushiriki kukiangamiza na Serikali yake.
 
Hii ni kweli kabisa wala si jambo geni la kuuliza Nahikisha kura yangu kwenye mabadiliko Lowassa. Kwa chuki niliyonayo na ccm. Hapati kura za nyumba yangu yenye watu 15
 
Kwa kweli inasikitisha, nafikiri TANESCO ñayo imechoka na imeamua kuwapa kura wapinzani.....
 
watu wamefilisiwa mitaji,kila kukicha wanamwaga friji zima la samaki.
 
Hii katakata umeme imeniathiri sana kisaikoloji,ukizingatia nategemea umeme katka maisha yangu ili shughuri zanagu ziende,vitu vyangu vinaharibika nashindwa kuuza kwa sababu ya ukosefu wa umeme,watoto wanahitaji kwenda shule na kipato changu kimepungua,yaani ni shida sana.

Hii nchi inaendeshwa kwa uongo uongo sana yani,na bado kuna makarai yanayobeba zege hayaelewi hadi leo,kura yangu na ukoo wangu wote wenye watu zaidi ya 120 hawatatoa kura kwa CCM,bado wapangaji wenzangu ambao pia wamenihakikishia wao na koo zao hawatoi kura kwa CCM.
 
Mimi hata mtoto wangu wa miaka 2 hataki kusikia cha mbele kwa mbele wala nyuma kwa nyuma.
 
Tehe teheee, do!!! sasa wataunga power bank ngapi?

Mkuu ccm ina maajabu mengi.
Umewahi kuona rais aliyeko madarakani miaka 10 hajui mmiliki wa Richmond alafu anasema watz wasipomtaja yeye atamtaja?????????????.......SIJAWAHI ONA/KUSIKIA UTOTO WA NAMNA HII
 
Hivi CCM wanakulipa nini mpaka unauza utu wako namna hii.Fanya ufanyalo, lakini kumbuka kwamba there is an after life, where you will have to answer for all the evil you have done against the citizens of this country.Ni vema ukasoma alama za nyakati, ukageuka,ili uepuke ghadhabu ya Mungu.
Lowasa ndiye alisababisha tatizo la umeme tz na richmond yake hafai ata kidogo...
 
Najiuliza maswali mengi sana kuhusu hali ya upatikanaji wa nishati ya umeme nchini, HALI NI MBAYA watanzania jueni Hali ni MBAYA, ukiona CCM wanakubali tukae gizani na wakati huu wa HATARI wa kampeni ambapo kila kitu wanajitahidi kiwe VIZURI ili kutuhadaa tutoe kura, FAHAMU HALI NI MBAYA SANA.

MSEMO MMOJA WA KISWAHILI UNASEMA "ukiona Paka kakubali kulala chali, Anza kumwomba Mungu".

Ni dhahiri shahiri kuwa kama tutakosea CCM ikarudi madarani October 25 Basi nchi nzima itazima totolooo, GIZA. maana hapa ndio wanaomba kura NCHI ipo GIZANI na hawana jinsi.. Wakiyapata tena hayo Madaraka? Jibu unalo.

UTETEZI wa Tanesco eti wanaingiza umeme wa gesi Taratibu ni kituko, aisee kweli wanatuona malofa, duh!

Swali ni hili, Kabla ya UMEME kutoka MTWARA miezi minne iliopita nini kilikuwa kinawasha umeme nchi nzima?

Kwani icho kilikuwa kinawezesha nchi nzima kuwa na umeme kabla ya gesi kuanza kutoka mtwara ni kimeenda wapi? Nchi hii inakufa na Tanesco kwa mujibu wa Mbowe imefilisika

Changa la MACHO hili.
NI WAKATI WAKUITEKETEZA CCM.
**** ======== *******
Wanatundanganya, Tanzania Ya "Magufuli" ITAKUWA ya VIWANDA, viwanda? labda wawashe kwa Power Bank.
 
Mkuu usijali huu ni mpango wa Mungu sio kwamba ccm hawapendi umeme uwake kipindi kama hiki wanatamani kuwasha ili kuuongopea uma ila mambo si sawa mikakati inawaumbua kupitia hili ni ishara from God kutuonyesha uozo wa fisiem.
 
Mkuu ccm ina maajabu mengi.
Umewahi kuona rais aliyeko madarakani miaka 10 hajui mmiliki wa Richmond alafu anasema watz wasipomtaja yeye atamtaja?????????????.......SIJAWAHI ONA/KUSIKIA UTOTO WA NAMNA HII


Mkuu hayo ni maajabu, tena maajabu kweli kweli. Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Filauni, sasa ndio tunayaona.
 
Nachelea kufikili kile kinachofanywa na taasisi za serikali hususani Shirika la umeme TANESCO walipoanza kwa mbwembwe kutangaza suala la umeme utakaopatika kutokana na gesi kuwa itakuwa historia, muda si mrefu wiki moja iliyopita.

Wakati zimebaki siku kama nne hivi wakatangazia umma kuwa wanafanya majaribio kuunganisha gesi kwenye mitambo kadhaa na kutakuwa na kuzimwa kwa umeme, hivyo wananchi msiwe na wasiwasi maana "tutakula bata" kwa kusahau kadhia hii, tena masalio mengine ya umeme yatauzwa nchi za jirani.

Na redio (yenye kipindi kiitwacho: mazingaombwe ya asubuhi) ilipewa nafasi kutanabaisha hili.

Kichekesho mgao, mgao, mgao, mgao gesi haionekani matokeo yake tunasikia mabwawa yamepungua kina Hapa ndipo nachelea kusema mgombea urais kupitia CCM anafanyiwa hujuma kwa wananchi wazidi kuwa na hasira then wafanye maamuzi magumu, hii ni kwa wana CCM hasa'.

Nilivyowaza;

Mvua zilisha anza kunya katika mikoa kadhaa nchini kwanini mabwawa yaanze kupungua maji wakati huu?
 
Nafasi hiyo hapo ya waziiii kabisa. Tumechoka na huu mgao wa umeme, tumenyanyasika sana, tumedhalilishwa sana. Tunahitaji umeme kwa maendeleo yetu, soon tutaanza kukabwa mitaani na wahanga wa umeme.
 
Yaani umeme umerudi saa 6 usiku saa 11 wamekata, aaaahh haya ni manyanyaso tumechokaaa, hakuna namna ingine. Hivyo viwanda vitaendeshwa kwa powerbank?? Usiku huo ni mbwa ndo walifaidi umeme aahh aaahh
 
Chaguo unalo mwenyewe mkononi mwako! Hawa tayari wana 54 madarakani, wana kila aina ya lugha tamu wana kila hadaa, wamekuwa wakihaidi hili miaka nenda miaka rudi! The same songs year to year, ARE WE DUMBS?/ AFTER THAT THEY SING ''NI ILE ILE DAILY" "NI ILE ILE DAILY"

IT WOULD BE BETTER IF WE DIDN'T KNOW THEM, BUT WE KNOW THEM INSIDE- OUT,
ARE WE STUPID?
 
Back
Top Bottom