Tatizo la kukatika katika umeme kuikosesha kura CCM

Tatizo la kukatika katika umeme kuikosesha kura CCM

UKAWA mtawapata wapumbavu na malofa wenzenu. Wenye akili wanajua nini kinaendelea

Lizaboni hata hili la UMEME unajifanya kutokuliona ???! Au ndo ile sera ya pinga tu hata kama ni kweli ???!.

Hili kwa watu hasa wa mijini tarajieni maumivu
 
tunataka mabadiliko ya kweli sio mnaongea tu Halafu mnaishia kupigia ccm kura
 
Yaani inatia hasira mno. Umeme hamna halafu lizaboni nae analeta ujuha. Nahisi 25/10/2015 hizo kura ni kwa ukawa tu. Maana hakuna namna tumechoka sasa
 
Tulio huku mikoani tunashindwa hata kula samaki, soko kuu la Arusha kuna nuka miarufu ya masaki na mkuku iliyooza hakutamaniki, yaani ni shida mtu unashindwa hata kufanya shopping ya nyanya na viungo vengine .ccw must be gone.
 
Mwaka 2006 kamtaji kangu kote kalikata sbb ya mgao wa umeme nikasarenda nikakimbilia kuajiriwa.
Mwaka huu 2015 ka-kiwanda kangu nimeshindwa kufungua kisa umeme sio wa uhakika, mbaya zaid kinachoniuma naishi kwa kuunga-unga utadhani sina biashara tena ya kuzalisha pesa nyingi kiasi.
Sometimes najilaum nimeshindwa kujua hali halisi ya nchi yangu heri ningefungua kiduka cha kuuza unga, maharage, vibiri na vitu kama hivyo.

Really watz tunahitaj mabadiliko bila kujali yatatoka ukawa au ccm thou ccm wana kaz ya ziada kumishawishi watafanya mabadiliko ilihali washaprove failure ktk hili.
 
kiukweli ccm kwenye suala la umeme imeshindwa jumla. dawa ni kuwaweka pembeni tu...
 
"Insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results" Albert Einstein. Unachagua chama hicho hicho kwa namna ile ile halafu utegemee matokeo tofauti!! Your insane!!!
 
Kila kitu kimeharibika kwa kukosa umeme. siku zisogee tu haraka tumuingize Rais wetu Lowassa Madarakani

Huyo Lowasa wako tunamdai mvua yetu aliyoenda kununua Malaysia kwa ajili ya kujaza mabwawa ya mtera!
Kabla hajaapishwa atuletee mvua yetu kwanza!
 
Kwa hali ilivyo ni aibu kubwa kwa ccm, haiwezekani kuanzia mwezi wa sita nchi iko kwenye mgao wa umeme wakutisha alafu bado waziri na viongozi wa tanesko kwao ni business as ussual.

Umeme umeathiri uchumi kwa taifa hili kwa kiwango kikubwa sana kuna viwanda vimepunguza wafanyakazi mpaka hivi sasa, na ajira za watu zimepotea kwa uzembe huu.

CCM msahau kupata kura za watanzania, napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa rais Kikwete kwa kufanikisha zoezi hili kwa jitihada zake kubwa alizotumia kuhakikisha taifa halina umeme na kushindwa kuwachukulia hatua za haraka wahusika huku viwanda vikiendelea kupunguza wafanyakazi na hizi ndio zile dalili ambazo Mungu anatukumbusha watanzania ili tujuwe CCM hawafadhiliki kura tulizowapa na bado wanaendelea kutudanganya ebu fikirini.

Umeme wakuwasha matumizi tu yakawaida haupo huo anaoongelea Magufuli wa viwanda utatoka wapi?

CCM mmelikoroga na sasa October 25/2015 lazima mtalinywa.

Asanteni

mkuu viwanda vya Magufuli vitatumia POWER BANK yeye hana haja na huo umeme wao
 
Kwahili suala la umeme kwa UKAWA ni kete ya dhahabu!
Hakuna sehemu ambayo hakuna malalamiko ya umeme.
Hata kama ipo/zipo basi haifiki hata 10% dhidi yetu sisi tunaotaabika na janga la mgao wa umeme.
#October25Tutawaadhibu

Mbeya huu siyo mgao,umeme unakatwa masaa 15???cjawah ona hii toka nizaliwe wallah
 
Tena samaki wangu kaharibika kwenye freeze ambaye ilikuwa ni mle leo jioni. Magufuli hapati kura yangu hata kama angekuwa na uwezo wa kupaa mbinguni kama YESU.
 
CCM wanajisahau sana safari hii.
Watajuta kuwatesa watanzania.
Umeme umewatia hasara na hasira watu wengi sana.
 
Lowasa ndiye alisababisha tatizo la umeme tz na richmond yake hafai ata kidogo...
Lowasa alijiondokea miaka 8 iliyopita akawaacha na li Richmond lao, wakalibadili jina wakaliita dowans wakalisifiaaa wakaendelea kupiga dili, wakalibadilisha jina tena wakaliita symbion wakamleta na raisi wa marekani awasaidie kulisifia , wanaendelea kupiga dili . Mitambo mibovu chakavu ya Richmond ipo pale ubungo sasa inaitwa mitambo ya symbion.
Kila siku tanesco wanawalipa hela wazalishe umeme wasizalishe.
Sasa tanesco imefilisika haina hata hela za mafuta ya kuendeshea mitambo, wamerudi kwenye umeme wa nguvu ya maji wanasubiri elninyo,
Gesi kwa ccm mtasubiri sana, na magufuri keshasema gesi kapewa Mchina kwa miaka saba.
 
Amini usiamini inawezekana sana kuwa hata 25oktoba hakutakuwa na umeme ili iwe rahisi kufunga goli la mkono.
 
Halafu yalivyo majinga eti tutajenga viwanda, mtaendesha viwanda kwa kutumia mifyuzi yenu?
 
Back
Top Bottom