Mtu mwenye akili timamu hawezi kuvurugwa na umeme kwenye kupiga kura

You miss ma point isome tena afu jibuNa ukiona mtu ambaye haoni umuhimu wa Umeme katika maisha yake ana walakini katika kufiri.
Ni mwendawazimu tu anaweza kuipigia kura CCM ikiwa kazungukwa na matatizo lukuki. Maji hakuna, umeme hakuna, barabara mbovu, ajira hakuna. Angalia magazeti ya nipashe na mwananchi leo , jinsi wananchi wanavyokunywa maji ya ziwa pamoja na mifugo yao.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kuvurugwa na umeme kwenye kupiga kura
Kwa kweli hii hali ya tatizo la Umeme linakera sana na hakika litapunguza sana kura za CCM. Hebu fikiria sehemu kama Mbeya umeme unakuja saa 8 usiku, unakata saa 11.
Hapo kumbuka muuza vitumbua ameshindwa kusaga unga kwa sababu ya Umeme, Fundi seremala ameshindwa kukalaza mbao zake, muuza icecream hawezi tena kufanya biashara, Mwanafunzi hawezi tena kujisomea, fundi TV Radio na vitu vingine vinavyohitaji Umeme hafanyi tena kazi zake.
Kwa kweli Umeme ni kila kitu katika shughuli za kiuchumi, hivyo hasira za watu kukosa Umeme watazimalizia kwenye sanduku la kura tarehe 25/10/2015. Kuna sehemu nyingi matokeo ya mwaka huu yatashangaza wengi.
CCM hakikisheni hili tatizo linaisha kabla ya tarehe 25, la sivyo mtapoteza kura nyingi sana za Hasira.
Mbeya si mnajua sana kuzomea wagombea na kupopoa mawe safari za Viongozi wa Kitaifa? Endeleeni labda hilo litawawashia umeme.
Kwa kweli hii hali ya tatizo la Umeme linakera sana na hakika litapunguza sana kura za CCM. Hebu fikiria sehemu kama Mbeya umeme unakuja saa 8 usiku, unakata saa 11.
Hapo kumbuka muuza vitumbua ameshindwa kusaga unga kwa sababu ya Umeme, Fundi seremala ameshindwa kukalaza mbao zake, muuza icecream hawezi tena kufanya biashara, Mwanafunzi hawezi tena kujisomea, fundi TV Radio na vitu vingine vinavyohitaji Umeme hafanyi tena kazi zake.
Kwa kweli Umeme ni kila kitu katika shughuli za kiuchumi, hivyo hasira za watu kukosa Umeme watazimalizia kwenye sanduku la kura tarehe 25/10/2015. Kuna sehemu nyingi matokeo ya mwaka huu yatashangaza wengi.
CCM hakikisheni hili tatizo linaisha kabla ya tarehe 25, la sivyo mtapoteza kura nyingi sana za Hasira.
Ninawafahamu makada 5 wa Chadema kwenye nafasi za juu za uongozi wa TANESCO