Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 6,108
- 5,032
Capital letter sound loud and clear.
Mgombea wa CCM bwana Magufuli hajawahi hata kutamka neno umeme toka kampeni zimeanza. Labda viwanda atakavyoanzisha tutatumia Power Bank. Pia ikumbukwe ccm wana allergy na umeme ndio maana hawauleti wa uhakika licha ya kutandaza nguzo karibu kila kijiji
TUMCHAGUE "macmilan lymo" tabu zote ziishe.
Jamaa anasema nchi hii ina rasilimali za kuendesha uchumi hata wa afrika nzima. na umasikini uliopo nchh hii ni laana kutoka kwa mungu ambayo inasababishwa na mwenge ambao ni ishara kuwa nchi hii inaongozwa kishetan
Mtu mwenye akili timamu hawez kuvurugwa na umeme kwenye kupiga kura
mtu mwenye akili timamu hawezi kuvurugwa na umeme kwenye kupiga kura