Resi
Member
- Aug 29, 2007
- 73
- 18
"Tanzania ya Magufuli itakuwa ni Tanzania ya viwanda". !!?? Hivi viwanda vitaendeshwa na nishati gani?!!? Umeme hakuna. Na mkurugenzi wa Tanesco ni story-teller mwingine, alituambia mabomba ya gesi yaliyozindliwa TWO WEEKS AGO ni ufumbuzi. Wapi (!!) Mpaka leo mgawo upo palepale, tena ndio mkali zaidi. Zilikuwa hekaya za Abu-Nuwas!