Tatizo la kukatika katika umeme kuikosesha kura CCM

Jaman mda si mrefu Nimeongea na Mtaalam mmoja wa Tanesco anasema hata kama mitambo yote ya maji ikizimwa, mitambo ya gesi na mafuta iliyopo inatosholeza mahitaji ya nchi. Big up tanesco chapeni kazi achaneni na siasa. So swala la huu umeme kukatika katika mi swala la kiufundi na sio siasa watz wenzangu. Kuna wati wanapenda kuongea viti kuwatia wenzao hasira bila ya kuwa na full details tuachen hizo jmn si nzur
Sasa nini kinazuia mpaka sasa wasikamilishe kazi??
 
mkuu umetusahau na sisi washezesha Play Station biashara iko Closed dah
 
Jaman mda si mrefu Nimeongea na Mtaalam mmoja wa Tanesco anasema hata kama mitambo yote ya maji ikizimwa, mitambo ya gesi na mafuta iliyopo inatosholeza mahitaji ya nchi. Big up tanesco chapeni kazi achaneni na siasa. So swala la huu umeme kukatika katika mi swala la kiufundi na sio siasa watz wenzangu. Kuna wati wanapenda kuongea viti kuwatia wenzao hasira bila ya kuwa na full details tuachen hizo jmn si nzur

Samahani mkuu hivi wewe unaishi Tanzania?
 
Kwani hii nayo ni nchi ?si tupo kisiwani tu loh! Inamana nchi haina wataalam?? Pesa?? Wawekezaji?? Viongozi?? ....?? Alafu baado wanatuambia viwanda kila mtaa! khaaaa!! Ngooja nipite miyee!!
 
Back
Top Bottom