Tatizo la kukatika katika umeme kuikosesha kura CCM

Ulukolokwitanga

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2010
Posts
8,397
Reaction score
7,979
Mko Dodoma mnajadili namna ya kuendelea kutawala badala ya kujadili namna ya kutatua kero za wananchi. Muda mrefu sasa mgao wa umeme unaendelea na hapa ninavyoandika hii kitu umeme umekatika na ulikatika jana, juzi na wiki yote hii na mwezi wote huu umeme umekuwa ukikatika kwa vipindi tofauti, either siku nzima au masaa. Pia toka mwaka umeanza umeme unakatika na Ni miaka 53 sasa ya Uhuru umeme unakatika.

Nimefuatilia katika hotuna ya mwenezi Nape Nnauye sijasikia neno UMEME likitamkwa. Rasimu ya katiba haionyeshi kama kupata umeme ni haki za msingi za mtanzania na mnataka tuipigie kura za ndiyo, je kwa miaka 50 ijayo umeme utaendelea kuwa sio haki yetu ya msingi? Mh Rais anazunguka dunia kutafuta wawekezaji, je watawekeza nini bila kuwa na umeme wa uhakika? Ajira zitapatikana wapi wakati kila siku giza na viwanda havifanyi kazi muda wote.

Je CCM ina maslahi gani na mgao wa umeme?
 
Wamekata shinyanga asubuhi nadhani utarudi jioni pia mwezi wa pili sasa kuna mgao mkali wanazuga ni tatizo lisilojulikana chanzo!!
 
Mko Dodoma mnajadili namna ya kuendelea kutawala badala ya kujadili namna ya kutatua kero za wananchi. Muda mrefu sasa mgao wa umeme unaendelea na hapa ninavyoandika hii kitu umeme umekatika na ulikatika jana, juzi na wiki yote hii na mwezi wote huu umeme umekuwa ukikatika kwa vipindi tofauti, either siku nzima au masaa. Pia toka mwaka umeanza umeme unakatika na Ni miaka 53 sasa ya Uhuru umeme unakatika.

Nimefuatilia katika hotuna ya mwenezi Nape Nnauye sijasikia neno UMEME likitamkwa. Rasimu ya katiba haionyeshi kama kupata umeme ni haki za msingi za mtanzania na mnataka tuipigie kura za ndiyo, je kwa miaka 50 ijayo umeme utaendelea kuwa sio haki yetu ya msingi? Mh Rais anazunguka dunia kutafuta wawekezaji, je watawekeza nini bila kuwa na umeme wa uhakika? Ajira zitapatikana wapi wakati kila siku giza na viwanda havifanyi kazi muda wote.

Je CCM ina maslahi gani na mgao wa umeme?
mkuu si wajua mafisadi wote wanachota Tanesco na tunavo andika hapa Tanesco iko ICU.. ina hali mbaya kabisa kifedha... nilikuwa Lindi hivi karibuni... yaani umeme Lindi ni shida kubwa... tanesco lindi ni kama vile mtoto anachezea switch ya taa kwa kuwasha na kuzima... umeme unakatika kwa sekunde na kuwaka... unakatika kwa dakika 2 na kuwaka... unaweza katika siku nzima... kwa kweli nilishangaa maana vifaa vya umeme vinaungua... ufisadi umeua Tz, umeua Tanesco, umeua michezo, umeua afya, umeua elimu, umedictate na kutengeneza taifa la watu waoga... naililia Tz yangu ndani ya mikono dhalimu ya CCM...
 
Wa kulaumiwa ni Kikwete, alipoingia madarakani alisema mgao wa umeme utakuwa historia, na Sospeter Muhongo akarudia hiyo kauli lakini kumbe ni kuchezea akili zetu. Kikwete ni janga la kidunia
 
Mh Rais anazunguka dunia kutafuta wawekezaji, je watawekeza nini bila kuwa na umeme wa uhakika? Ajira zitapatikana wapi wakati kila siku giza na viwanda havifanyi kazi muda wote.

Je CCM ina maslahi gani na mgao wa umeme?

Rais anazunguka kutalii kupiga picha na masupastar wa majuu na kuzungusha kibaba kama ombaomba.
Unaulizia maslahi ya ccm na umeme? Mfano rahisi unafahamu akaunti ya escrow imefanywa nn?
 
Mko Dodoma mnajadili namna ya kuendelea kutawala badala ya kujadili namna ya kutatua kero za wananchi. Muda mrefu sasa mgao wa umeme unaendelea na hapa ninavyoandika hii kitu umeme umekatika na ulikatika jana, juzi na wiki yote hii na mwezi wote huu umeme umekuwa ukikatika kwa vipindi tofauti, either siku nzima au masaa. Pia toka mwaka umeanza umeme unakatika na Ni miaka 53 sasa ya Uhuru umeme unakatika.

Nimefuatilia katika hotuna ya mwenezi Nape Nnauye sijasikia neno UMEME likitamkwa. Rasimu ya katiba haionyeshi kama kupata umeme ni haki za msingi za mtanzania na mnataka tuipigie kura za ndiyo, je kwa miaka 50 ijayo umeme utaendelea kuwa sio haki yetu ya msingi? Mh Rais anazunguka dunia kutafuta wawekezaji, je watawekeza nini bila kuwa na umeme wa uhakika? Ajira zitapatikana wapi wakati kila siku giza na viwanda havifanyi kazi muda wote.

Je CCM ina maslahi gani na mgao wa umeme?

Mkuu hata ukishindwa kwenda choo peleka lawama zako Lumumba
 
Aliyeshiba hamjui mwenye njaa, poa kaka hii nchi ni yenu wenyewe.

Nishachoma lita 50 za diesel toka asubuhi so huwezi kuona frustrations nilizonazo kwa nyie magamba.
 
Mko Dodoma mnajadili namna ya kuendelea kutawala badala ya kujadili namna ya kutatua kero za wananchi. Muda mrefu sasa mgao wa umeme unaendelea na hapa ninavyoandika hii kitu umeme umekatika na ulikatika jana, juzi na wiki yote hii na mwezi wote huu umeme umekuwa ukikatika kwa vipindi tofauti, either siku nzima au masaa. Pia toka mwaka umeanza umeme unakatika na Ni miaka 53 sasa ya Uhuru umeme unakatika.

Nimefuatilia katika hotuna ya mwenezi Nape Nnauye sijasikia neno UMEME likitamkwa. Rasimu ya katiba haionyeshi kama kupata umeme ni haki za msingi za mtanzania na mnataka tuipigie kura za ndiyo, je kwa miaka 50 ijayo umeme utaendelea kuwa sio haki yetu ya msingi? Mh Rais anazunguka dunia kutafuta wawekezaji, je watawekeza nini bila kuwa na umeme wa uhakika? Ajira zitapatikana wapi wakati kila siku giza na viwanda havifanyi kazi muda wote.

Je CCM ina maslahi gani na mgao wa umeme?

kinachosikitisha hata hao watetezi wao huu jf wanaugulia maumivu ya mgao wanabaki kugumia tu.ni lazima tupigwe mgao ili watu watengeneze mazingira ya uharaka wapige ccm
 
mkuu si wajua mafisadi wote wanachota Tanesco na tunavo andika hapa Tanesco iko ICU.. ina hali mbaya kabisa kifedha... nilikuwa Lindi hivi karibuni... yaani umeme Lindi ni shida kubwa... tanesco lindi ni kama vile mtoto anachezea switch ya taa kwa kuwasha na kuzima... umeme unakatika kwa sekunde na kuwaka... unakatika kwa dakika 2 na kuwaka... unaweza katika siku nzima... kwa kweli nilishangaa maana vifaa vya umeme vinaungua... ufisadi umeua Tz, umeua Tanesco, umeua michezo, umeua afya, umeua elimu, umedictate na kutengeneza taifa la watu waoga... naililia Tz yangu ndani ya mikono dhalimu ya CCM...

Wakuu hapa nillipo tangu jana usiku umeme ulikuwa na nguvu ndogo sana baadae ukazimika kabisa mppaka sasa ndo unarudi. Kwa kweli CCM ni janga.
 
Umeme ni tatizo sana na limekuwa tatizo sugu linalosababishwa na watu.
 
hivi tanesco umeme wanatupa favor au ni haki yetu?na je haki za wateja ni zipi?wanakata wanavyotaka,wanarudisha wapendavyo hakuna taarifa.wameshaona watanzania ni makondoo.
 
Hawa Tanesco wameishakuwa wanasiasa, wanaamua kupiga mgao kimyakimya kwa vile mabosi wao wanasiasa walisema mgao sasa utakuwa historia. Maprofesa wote wawili walisema mgao ni historia, tuitoe CCM mwakani inshallah
 
Niko Dodoma maeneo ya Kikuyu kwa hivi sasa, ila tangu nifike hapa ni karibu wiki sasa kumekuwa na mgao wa kimyakimya au kwa kifupi tuuite mgao wa "kihuni".

Hii nchi imebakiza kuingizwa sokoni tu.
 
hivi tanesco umeme wanatupa favor au ni haki yetu?na je haki za wateja ni zipi?wanakata wanavyotaka,wanarudisha wapendavyo hakuna taarifa.wameshaona watanzania ni makondoo.

Watanzania tumeshagawanywa na wanasiasa na tukagawanyika ,watatutawala na kufanya watakavyo sababu mkihoji kidogo mnaambiwa mnataka kusababisha uvunjifu wa amani basi na sisi hutulia kabisaaa kama kondoo.
 
Niko Dodoma maeneo ya Kikuyu kwa hivi sasa, ila tangu nifike hapa ni karibu wiki sasa kumekuwa na mgao wa kimyakimya au kwa kifupi tuuite mgao wa "kihuni".

Hii nchi imebakiza kuingizwa sokoni tu.

Imeshakuwa sokoni ndio sababu mambo ya kipumbavu yanatokea katika nchi iliyokuwa huru kwa miaka hamsini sasa.
 
Niko Dodoma maeneo ya Kikuyu kwa hivi sasa, ila tangu nifike hapa ni karibu wiki sasa kumekuwa na mgao wa kimyakimya au kwa kifupi tuuite mgao wa "kihuni".

Hii nchi imebakiza kuingizwa sokoni tu.

Nchi iuzwe Mara mbili, hukumuona Profesa Kikwete anawaonyesha wachina ramani ya Tanzania wajichagulie rasilimali wanazotaka? Jamaa kakaa miaka 10 madarakani ameshindwa hata kuleta umeme wa uhakika!!
 
Back
Top Bottom