Tatizo la baadhi ya wafuasi wa Chadema , huwa wanakosea sana katika kuelezea mambo ikiwemo swala la kutaka Mbowe kuongea jambo kuhusu wanayoyapitia.

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
31,636
Reaction score
81,533
Lema alikuwa hana sababu ya kuongea kuhusu Mbowe .

Ikiwa mtu hayupo upande wenu Ila nyie mnasapotiwa na mamilion ya watu ambao wanawasikiliza , na kutoa sapoti zao sasa Mbowe yeye ni nani ?.

Nafikiri mtaji mkubwa katika siasa ni watu .

Ukizungumzia mapito msijifikirie nyie Ila mjue kuna watu walikufa, wakawa walemavu n.k kisa Chadema aliwahi kuongea Lissu hili jambo.

Binafsi naona alichoongea Lema ni kumkuza huyo Mbowe nakuonekana yeye ni mkubwa kukizidi Chama.

Mkiendelea hivi tutabaki na Lissu .

Huu sio muda wa Ku-involve watu ambao hawakupendi katika struggle.
 
Uko sahihi kabisa. Lema amenikwaza sana, hakutakiwa kuonyesha anahitaji uwepo wa Mbowe kwenye hizi hujuma za kupangwa. Angempotezea tu ili rangi yake halisi izidi kuonekana.
 
Mbowe kuna gharama kubwa ataenda kulipa msichukulie poa asema Bwana
 
Uko sahihi kabisa. Lema amenikwaza sana, hakutakiwa kuonyesha anahitaji uwepo wa Mbowe kwenye hizi hujuma za kupangwa. Angempotezea tu ili rangi yake halisi izidi kuonekana.
Chadema ina watu wajinga wengi Sana ambao wametofautiana kidogo na Ccm.

They are not good thinkers.

Yeye lema anasahau kuwa wananchi ndo wenye chama na ndo wamekuwa wakitoa sapoti since way back .

Hawa jamaa tumekuwa tukiwasapoti kimawazo , financially tangia project ya M4C., Operation sangara na sasa Tonetone .
 
Mbowe ni tapeli wa Ki siasa Kama Raila Odinga tu, kadiri muda unavyokwenda ndio rangi zao halisi zinaonekana. Lema hakupaswa kushangaa sana unless kama anaigiza pia
 
na wewe hauna tofauti na Lema.
Kama mlikubaliana kuwa CDM itapiga hatua bila Mbowe, na mkakubaliana Lissu aongoze chama, sasa kwa nini mnamlilia Mbowe? Ni dalili kuwa mmekwama kwa kumkosa Mbowe?
 
Lema alikuwa hana sababu ya kuongea kuhusu Mbowe .

Ikiwa mtu hayupo upande wenu Ila nyie mnasapotiwa na mamilion ya watu ambao wanawasikiliza , na kutoa sapoti zao sasa Mbowe yeye ni nani ?.

Nafikiri mtaji mkubwa katika siasa ni watu .

Ukizungumzia mapito msijifikirie nyie Ila mjue kuna watu walikufa, wakawa walemavu n.k kisa Chadema aliwahi kuongea Lissu hili jambo.

Binafsi naona alichoongea Lema ni kumkuza huyo Mbowe nakuonekana yeye ni mkubwa kukizidi Chama.

Mkiendelea hivi tutabaki na Lissu .

Huu sio muda wa Ku-involve watu ambao hawakupendi katika struggle.

Kwani umeona wapi huyo ndugu tapeli akitakiwa kuongea jambo?
 
Lema alikuwa hana sababu ya kuongea kuhusu Mbowe .

Ikiwa mtu hayupo upande wenu Ila nyie mnasapotiwa na mamilion ya watu ambao wanawasikiliza , na kutoa sapoti zao sasa Mbowe yeye ni nani ?.

Nafikiri mtaji mkubwa katika siasa ni watu .

Ukizungumzia mapito msijifikirie nyie Ila mjue kuna watu walikufa, wakawa walemavu n.k kisa Chadema aliwahi kuongea Lissu hili jambo.

Binafsi naona alichoongea Lema ni kumkuza huyo Mbowe nakuonekana yeye ni mkubwa kukizidi Chama.

Mkiendelea hivi tutabaki na Lissu .

Huu sio muda wa Ku-involve watu ambao hawakupendi katika struggle.
Msichokijua nikwamba alichokifanya Lema pale ni mbinu ya kimkakati ,lengo nikumbomoa Mbowe na siyo kumjenga au kumuabudia kama mlivyomtafakari ninyi .
 
na wewe hauna tofauti na Lema.
Kama mlikubaliana kuwa CDM itapiga hatua bila Mbowe, na mkakubaliana Lissu aongoze chama, sasa kwa nini mnamlilia Mbowe? Ni dalili kuwa mmekwama kwa kumkosa Mbowe?
Mimi sio mwana CDM nimlilie mbowe kwa lipi? Aliyoyafanya sio mageni
 
Msichokijua nikwamba alichokifanya Lema pale ni mbinu ya kimkakati ,lengo nikumbomoa Mbowe na siyo kumjenga au kumuabudia kama mlivyomtafakari ninyi .
Njia ya kumbomoa MTU ni kumnyima attention , kumui- ignore na kuhakikisha anasahaulika kuwa Kama yupo au lah.. !that was the way to kill that Dude.
 
Chadema haihitaji Mbowe kujiendesha
Ila Chadema inaathirika mno na matendo ya Mbowe kumsaidia adui wa Chadema katika kushambulia ili kuiangamiza huku yeye akiwa SEHEMU ya chama Tena anayehitajika kuwa katika vikao vya kamati kuu

Mbowe ni jibwa linalotumiwa na majambazi kung'ata mashujaa wapigania haki
 
Uko sahihi kabisa. Lema amenikwaza sana, hakutakiwa kuonyesha anahitaji uwepo wa Mbowe kwenye hizi hujuma za kupangwa. Angempotezea tu ili rangi yake halisi izidi kuonekana.
Shule ni muhimu katika maisha ya binadamu. Lema angelikuwa na shule, angalifika mbali! Kwa bahati mbaya mungu hakupi vyote
 
Mbowe ni tapeli wa Ki siasa Kama Raila Odinga tu, kadiri muda unavyokwenda ndio rangi zao halisi zinaonekana. Lema hakupaswa kushangaa sana unless kama anaigiza pia
Domokaya ndio tapEli kuu la kisiasa

Baada ya kashfa zote mlizomtengenezea baba ndubwi…. Mlitaka abaki na kusapoti watu wasio hata na haya?

Chakandumuz mlimkosea sana baba ndubwi
 
Mijitu mingine haijulikani Inataka nini? Ccm baada ya kuminywa mbavu na CDM ya Mbowe wakawafanyia research watanzania na kugundua ni waoga. Hivyo wakaamua kutumia nguvu kwa kuteka, kuua na kufunga wapinzani wa aina yoyote. Wawe wa vyama pinzani au wasio na vyama. Mbowe na CDM yote kiujumla wakajaribu mbinu za kupambana wakaishia kufungwa na wengine kuuawa na waoga zaidi wakatoka nduki nje ya nchi. Hali ikawa mbaya sana kwa serikali na hata kwa wapinzani pa mwisho yakahitajika maridhiano ili serikali hii Tegemea misaada ipumue. Na walio magereza waachiwe, na walioukimbizini warejee. Ukaja uchaguzi ndani ya chama cha CDM watu wakatembea kwa swaga zile zile za Ccm siasa chafu zikafanywa. Watu baada waeleze watawafanyia nini wanachadema wakaamua kuvuana mienda na uzushi wa kuzidi. Ardhi tunayo, watu tupo, kilichobaki ni siasa safi na uongozi bora. Ushauri wangu wanachadema muache kutukanana na wakatazwe wanaotusi viongozi. Kuwe na kitu Kimoja ndani ya Cdm. Yeyote anayetusi, kukashifu au kubeza viongozi wawe waliopita au waliopo atafsiriwe kuwa ni adui wa Cdm.
 
Una maana hata anayewabeza Kigaila, Mwalimu, Waitara, COVID 20, CDM iwa brand ni maadui?

Looh!

Umejitathmini vilivyo kweli ndugu, au hili lako ni povu jingine kama la OmO tu?
 
Lema alikuwa hana sababu ya kuongea kuhusu Mbowe .

Ikiwa mtu hayupo upande wenu Ila nyie mnasapotiwa na mamilion ya watu ambao wanawasikiliza , na kutoa sapoti zao sasa Mbowe yeye ni nani ?.

Nafikiri mtaji mkubwa katika siasa ni watu .

Ukizungumzia mapito msijifikirie nyie Ila mjue kuna watu walikufa, wakawa walemavu n.k kisa Chadema aliwahi kuongea Lissu hili jambo.

Binafsi naona alichoongea Lema ni kumkuza huyo Mbowe nakuonekana yeye ni mkubwa kukizidi Chama.

Mkiendelea hivi tutabaki na Lissu .

Huu sio muda wa Ku-involve watu ambao hawakupendi katika struggle.
Mm nimekuelewa sana kiongozi tatizo la wapinzani linabaki pale pale hawaelewi kwamba Mbowe Hana Akili TIMAMU na ni mpiga deal mzuri na hachelewi kumuuza hata binadamu mwenzake ili apate pesa,Mbowe sio Freedom Fighter,ni sawa na mfanyabiashara wa mbogamboga tu ambaye yuko sokoni anauza mboga zake.Wapinzani waeleweshwe haya ndugu yangu na tusaidiane kuwaeleimisha,rangi ya Mbowe imeshajulikana mapema kabisa wala hakuna sababu ya kuangaika nae.
 
Fact
 
Domokaya ndio tapEli kuu la kisiasa

Baada ya kashfa zote mlizomtengenezea baba ndubwi…. Mlitaka abaki na kusapoti watu wasio hata na haya?

Chakandumuz mlimkosea sana baba ndubwi
Alitukanwa au aliambiwa ukweli? Sema alijiandaa kufia kwenye hicho ndio maana kanuna.
 
Uko sahihi kabisa. Lema amenikwaza sana, hakutakiwa kuonyesha anahitaji uwepo wa Mbowe kwenye hizi hujuma za kupangwa. Angempotezea tu ili rangi yake halisi izidi kuonekana.
🤝
 
Back
Top Bottom