Tatizo kubwa hapa ni elimu yetu na pia hao walio mfanyia tathmini ya ajira huyu afisa wa serikali

Hadi wameweka faini kuzalia nyumbani inawezekana kijiji hicho kina zahanati ila mazoea yanafanya watu wasiende zahanati.
Ni jukumu lao kutoa elimu.
Pili mtu kuzalia nyumba inawezekana imetokea ghafla usiku na kama ujuavyo changamoto za usafiri kijijini.
 
Ni jukumu lai kutoa elimu.
Pili mtu kuzalia nyumba inawezekana imetokea ghafla usiku na kama ujuavyo changamoto za usafiri kijijini.
Kila siku tunapewa elimu mwendokasi unaua, kuna vibao isizidi mwendo huu etc lakini haijawahi kuzuia tusiendeshe kasi kuliko Sheria isemavyo. Tunalimwa faini 30,000 maisha yanaendelea.
 
Nimesikia sauti ya Magufuli kichwani wakati nasoma hicho kirisiti . Ukisoma kwa sauti utafanana na Magu! Lol
 
Hadi wameweka faini kuzalia nyumbani inawezekana kijiji hicho kina zahanati ila mazoea yanafanya watu wasiende zahanati.
Vipi ka uchungu ulitokea akajifungua kabla ya kufika zahanati?
 
Hawa wanyonge ambao Baba J aliagiza wafyatuane tu inakuwaje Serikali ya Baba Jesca inawatwanga na faini tena?
 
Jamani inaskitisha, Badala wajitahidi kufahamu kwanini kazalia nyumbani na waangalie namna ya kumsaidia ndio kwanza wamemlima fine.

Je, sababu ikiwa hakuwa na ile pesa ya kujifungilia je?

Serikali inapaswa iwe makini na sera zake!
Hiyo ni fake siku hizi hakuna Halmashauri inayotoa risiti ya mkono zote ni computerized. Wanasaccos wametengeneza hiyo.
 
Obvious ukishajifungua utapelekwa hospitali itajulikana uzuri vijijini wanajuana vizuri.
Ndugu yangu kawahi kuzalia nyumbani na hospital sio mbali kabisa yeye kuita watu mtoto kashatoka, so kumpiga mtu fine kisa eti hajazalia hospital sio sahihi Mimi nisingetoa na washtaki kwa usumbufu
 
Ndugu yangu kawahi kuzalia nyumbani na hospital sio mbali kabisa yeye kuita watu mtoto kashatoka, so kumpiga mtu fine kisa eti hajazalia hospital sio sahihi Mimi nisingetoa na washtaki kwa usumbufu
Wanaozalia nyumbani kwa emergency wanaeleweka, sidhani kama faini inawahusu hao.
 
Wanaozalia nyumbani kwa emergency wanaeleweka, sidhani kama faini inawahusu hao.
Hata huyo ni emergency hamna asiyetaka kwenda hospital tena huko vijijini unakuta umbali ni mrefu. Kumpiga fine mzazi ni kukosa utu na huruma
 
Huu mwandiko asionyeshwe mgonjwa alioko ICU anaweza kufa hapo hapo
 
Back
Top Bottom