Maeneo mengi sana Tarura na manispaa huwa wahangaika kutia na kusambaza vifusi wakati wa mvua jambo linalozalisha tope!
Niwaombe sasa nia ileile ya kufukia mashimo msimu wa mvua, Tumieni wakati huu wa jua kusawazisha na kufukia mashimo korofi italeta maana kuliko kusubiri mvua zianze!
Waziri wa ujenzi usilale usingizi wa pono, Wakumbushe watu wako majukumu ikiwepo kuziba mashimo na kuondoa miti iliyohatalini kuangukia barabarani.