RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,340
- 134,842
- Thread starter
- #61
Zamani nilikuwa naweka FT naemdesha hadi E kabisa. Nikaua pump OG na ya Kariakoo. Nikaambiwa usisubiri gari ifike E ikifika robo jaza. Na kweli nina pump used sasa hivi mwaka wa pili iko poa.Runx ilikua unatembea na taa inawaka 24/7 hadi ikazoea. Nikaua pump. Nikikaa vema nitaanza na mimi marufuku taa kuwaka.
Kuna gari zinavumilia low fuel ila nyingine pump inakufa haraka.