uzi wa matajiri wa JfUnapotoa 10,000 halafu unapata lita 2 ni hatari.
.
Majobless tunachukua notes
uzi wa matajiri wa JfUnapotoa 10,000 halafu unapata lita 2 ni hatari.
Tz 11Mm usafari wangu hauna tank la mafuta, nikutoka na kwenda tu.
Dah mafuta ya 30k unalalamika wakati mi juzi tu nimebadili oil kwenye gari yangu ya urithi 23m na fundi nimemtoa nairobiUnaweza kugombana na pump attendant!
Gari gani hiyo Lita 1 km30 wakati gari yangu Lita 1 ni km 2.5Kabisa mkuu, lita 1 km 30, ana shida gani?
Hata vita ikisimama, bei haitashuka, cartels unawajua?Hali ya mafuta ni ngumu Sana
Hii vita iishe Kwanza ili maisha yasonge
😄😄😄Mkuu wewe si una hybrid, huteseki sana.
Tunazungumzia hybrid..Gari gani hiyo Lita 1 km30 wakati gari yangu Lita 1 ni km 2.5
Mfurahisha genge tu huyu hana loloteTunazungumzia hybrid..
Lita 1 km 2.5 hata scania zile hazitembei hivyo
Haya tuambie wewe ni gari gani hiyo ya 2.5km/L?
Alafu watu wengi wanasema hivyohivyo.Hata vita ikisimama, bei haitashuka, cartels unawajua?
Kushuka chini ya Elfu 3 ngumu. Ikijitahidi sana ni 3200-3500/Alafu watu wengi wanasema hivyohivyo.
Na Zanzibar bei itaenda kushuka zaidi huku Sisi Tanganyika tukiteseka, anyway magari tutamia Kwa mwezi mara 3
Toka njue Lita 1 inapigwa Tsh 1,500 ya kodi na kulipa agencies kabla ya mfanya biashara hajaanza gharama zake, naona kabisa kufika bellow 3,000 Tsh sio Leo.Itashuka chini ya 3000/- soon
Thubutuu!!!Itashuka chini ya 3000/- soon
Hizo tozp ziko pale pale kilichopanda ni bei ya crude ambayo ime double. Ikirudi kwenye $60-70 kama zamani bei hata kwetu zitarudi.Toka njue Lita 1 inapigwa Tsh 1,500 ya kodi na kulipa agencies kabla ya mfanya biashara hajaanza gharama zake, naona kabisa kufika bellow 3,000 Tsh sio Leo.