Ila sio maneno yangu mkuu.Duh nimecheka sana. Kuna post hapo juu jamaa kamalizia kwa kusema 'anaeumia ni mwananchi wa kawaida' nikataka nimjibu unafikiri wanaopandisha bei wanajali mwananchi wa kawaida akiumia? Nikajisemea wacha nisiletw siasa kwemye huu uzi.
Mkuu, nchi inapigwa mikwara kila uchwao na mabeberu ya kusitishiwa misaada. Unategemea jamaa watashusha hizo bei wakati na wao wanategemea kupata mapato ya kufidia kitanzi cha beberu?Kwahiyo j5 ijayo tusisikie elfu 4
Kama kukiwa na serious economic embargo za beberu, tusitegemee bei kushuka hata iwejeWatasema walinunua bulk ya miezi mitatu kwahio itashuka baadae 😀😀
Inabidi tenki la mafuta liwe kubwa kuliko gari yenyewe.Tunazungumzia hybrid..
Lita 1 km 2.5 hata scania zile hazitembei hivyo
Haya tuambie wewe ni gari gani hiyo ya 2.5km/L?