Tarehe Mbaya Hizi...

Tarehe Mbaya Hizi...

Mzee Kigamboni si kuna machimbo ya mafuta ya bei chee miaka yote hujapata wadau.
Kila sehemu loopholes zipo. Tulikua tunaenda GPSA tunabeba wese kwenye madumu wakihoji tunasema ya generators za kazini. Sema mchongo wa wengi. Sahivi wamekua wakali. Kama mafuta ya generators wanataka uje na kibali kutoka kazini kinachostate kwamba hyu mtu katika lita 70 izo, 35 ziingie kwenye gari na 35 kwenye kwenye madumu. Aema njia mpya zipo ni vile siwezi zisema hapa. Cake ya Taifa tule wote
 
Kwa mara ya kwanza niliwekaga Full Tank gari nadhani 2020 kipindi covid-19 kama 60 liters hivi kwenye BMW. Mafuta yalikua 1/3 ya bei ya sasa hivi. Kipindi nna diesel ndio nilikua naweka karibia kila baada ya week 2-3. Hadi gari ikazoea kua FT. Baada ya hapo nimekuja kuweka kiberiti hiki lita 40 hivi mwaka jana. Sijaweka tena. Na sidhani kama nitakuja kuweka.
 
Komea hapo hapo usijeharibu
 
Ila mkuu FT kutembea kilometa 900 ni kisanga ujue. Hii machine labda iwe ya kampuni ila binafsi maumivu.
Wewe Hybrid imekuharibu,usirudi ICE nenda EV kabisa. Hapo mwenzio nashangiliq maanake lile lingine FT ukifikisha 400km shukuru Mungu
 
Kila sehemu loopholes zipo. Tulikua tunaenda GPSA tunabeba wese kwenye madumu wakihoji tunasema ya generators za kazini. Sema mchongo wa wengi. Sahivi wamekua wakali. Kama mafuta ya generators wanataka uje na kibali kutoka kazini kinachostate kwamba hyu mtu katika lita 70 izo, 35 ziingie kwenye gari na 35 kwenye kwenye madumu. Aema njia mpya zipo ni vile siwezi zisema hapa. Cake ya Taifa tule wote
Gpsa ya zamani watu wamekunywa sana wese. Kigamboni kulikuwa pia na machimbo ya nusu bei gari inaingia sehemu inatoka full tank
 
Kwa mara ya kwanza niliwekaga Full Tank gari nadhani 2020 kipindi covid-19 kama 60 liters hivi kwenye BMW. Mafuta yalikua 1/3 ya bei ya sasa hivi. Kipindi nna diesel ndio nilikua naweka karibia kila baada ya week 2-3. Hadi gari ikazoea kua FT. Baada ya hapo nimekuja kuweka kiberiti hiki lita 40 hivi mwaka jana. Sijaweka tena. Na sidhani kama nitakuja kuweka.
Mimi nishajizoesha kuweka FT. Halafu ikishuka mpaka 1/4 najaza kuokoa fuel pump. Ila inabidi uwe na msimamo.
 
Back
Top Bottom