First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,317
- 1,485

Habari wana JF .

Poleni na hongereni kwa saumu (kwa wafungaji )

na pia mlolongo wa kazi na majukumu

Back to topic Hapo hapo ulipo keti/jiegesha/jilaza/simama/

jiachia or whatever Please... Do me a favour and taratiiiibu

Geuka nyuma . What do you see??? . Tafadhali tell us

any thing Yaweza kua kimoja ama zaidi ya kitu kimoja

P.S: Vigezo na Masharti ya JF Rules Vizingatiwe .(ADI)

ha! ha! ha! kumbe wife hii ndio id yako eeeh! maana nimegeuka nyuma nakuona wewe upo na laptop.

Ni vile vitu flani hivi ambavyo kiukweli huvitaki ila huwezi kuviondoa badala yake inakubidi kuishi navyo tu. Sucks!
dude! hope u ar nt talking abt ur gal! lol
mi nikigeuka nnachokiona hata siwezi kukisema,lmao!

Residency office naona doctors coats + coffee machine ambayo kila nikiingalia nakunja uso coz nurses hawana adabu it was meant only for doctors wao waitumia pia sometimes nakosa hata cofee ya kufungua swaum
Im still in the ofc,
kushotokwangu kuna haka ka IT kamaekuja kurekebisha mambo hapa ofcn kwangu, dud..
inabidi nikomae na jf nisigeuke geuke maana nisije anza kuuliza details nyingine ambazo ni nje ya kazi.
Afadhari hukusema nigeuke huko
Hapana sis mimi na siasa wapi na wapi,ni chumbani,nikiingia JF naanzia chitchat kwenda chini.
Usinitafutie kesi kwa mmeo ladies who enter this room are calmed by more than its colour lol!