Tapeli maarufu Dar akamatwa na polisi

Tapeli maarufu Dar akamatwa na polisi

Matapeli ndio wanaoindesha serikali Anglia huyu papa masawe anasifiwa kuwa mlipa kodi mzuri Angalia mbunge was Moro vijijini
 
Salaam wana JF,

Napenda kuwapa taarifa Watanzania wote kwamba Leo mchana kwenye mataa ya Morocco yule tapeli anayehusishwa na kulipua yard ya magari pale Mwenge Ladislus Mushi almaarufu Mushi Mapikipiki inasemekana aliingia mafichoni yeye na kundi lake,Leo mitaa ya mchana huu tukiwa pale Morocco kundi kubwa la polisi walilizunguka na kulitia nguvuni.

Kwa mtu yoyote aliyedhulumiwa nyumba,kiwanja au gari mnaweza kufika Oysterbay polisi.

Huyu tapeli ni smart sana kwenye mazungumzo,Mara nyingi anajidai anamiliki hotel kadhaa Nairobi.

Huyu jamaa walishamuuzia ndg yangu gari mpaka Leo liko polisi.

Huyu ni mtu HATARI sana kwa wasiokuwa na taarifa zake,anafanya uhalifu wake Kenya na Tanzania.

Itakuwa habari njema kwa wale waliotapeliwa....lakini kwa upande mwingine lazima niwalaumu wajinga wachache wanaoingia kwenye mitego ya watu kama hawa.Unafikiaje kutoa mamilioni ya shilingi eti kununua gari,kiwanja au nyumba bila kuthibitisha kwenye njia husika.Unanunua nyumba kwa kutumia vishoka wa mjengoni{ardhi) kwa fundi viatu pale chini?Unanunua gari uchochoroni....bongo yadizipo kila kona...na vp usiingie TRA kupata uthibitisho wa umiliki?Kweli wanasema "wajanja hawa kamwe hawataisha km wajinga ninyi mtaendelea kuwepo"!
 
nilikuona huku unatangaza biashara ya magar bro jitahd uwe smart au serious bac kuchangia hapa mipasho kama hii unatukatisha tamaa wale tuliokuwa tunaanza kushawishka na matangazo yako. epuka kuongea sana bana.

Huyo ni kuli kama walivyo makuli wa kariakoo !! Magari atoe wapi alitaka awe dalali tu.
 
Viongozi wengi wakubwa tuliowapa nchi hii waiongoze wameiba sana mpaka nchi imekuwa maskini, hawakuwa wachaga. Acha akili mgando za kimapokeo wewe. Siku hizi wezi kila kabila. Au kuiba waibe wengine akiiba mchaga, nongwa?
 
Hawa wote ni vibaraka wa mfumo kristo kuanzia huyo mliberali profesa kushindwa,huyo fast jet mzee wa totozi na uyo mpemba mnafiki aliyekimbilia UN kuigawa Zanzibar.Ungeweka picha za akina Ustaadhat Pondwa,Ustaadhat Farida na Mudi wanaojifanya vimbelembele.
 
nilikuona huku unatangaza biashara ya magar bro jitahd uwe smart au serious bac kuchangia hapa mipasho kama hii unatukatisha tamaa wale tuliokuwa tunaanza kushawishka na matangazo yako. epuka kuongea sana bana.
Mfanyabishara asiye na busara hawezi kazi hiyo
 
Mhuu! Nijuavyo mm mwenye yard ya mwenge opp na kanisa la Kakobe, anaitwa Ladislaus Nguku, je ndie L mushi? Iweje achome magari yake? Au majina yanafanana?
 
Kudhulumiwa mara nyingi hutokana na kupenda dili zisizo na mashiko.
 
Back
Top Bottom