Tapeli maarufu Dar akamatwa na polisi

Tapeli maarufu Dar akamatwa na polisi

Huyu jamaa ni hatari sana,enzi hizo naishi Kinondoni miaka ya 2000 tulikuwa tunapata wote bia akanisimulia jinsi alivyoiba gari la Rais mstaafu Moi na kukamatwa nalo maeneo ya Sirari siku aliyofariki Baba Nyerere.
Halafu siku nyingine alinisimulia jinsi walivyokuwa wakifukia ardhini matrekta ya wizi.
Jamaa anaongea utaratibu na utampenda kumbe ni nyoka.
 
wewe na yeye mpo kundi moja acha kumsaliti mwenzio!!
 
Huyu jamaa ni mhangaikaji vibaya, historia yake niyakweli kabisa, km kuna issu au fursa zinajitokeza, kwanini usizitumie?? Acheni kumpaka matope kiivyo, cha muhimu km kuna aliye na malalamiko apeleke mahakamani na ushahidi.
 
Unachokikataa ni nini na sifa za wachaga zinajulikana? mchaga kama hajaiba siku moja anajiibia hata mwenyewe.

Naona huyu akileta barua ya posa hutakuwa na swali zaidi ya kung'ata kucha na pengine kudai talaka fasta!!!!!!
 
Naona huyu akileta barua ya posa hutakuwa na swali zaidi ya kung'ata kucha na pengine kudai talaka fasta!!!!!!

Hicho si kijukuu changu jamani wacha kilete tu posa, itapokelewa, kuna wasi wasi upi?
 
huyo ni tapeli but depend on situation atakayo kutana nayo anaweza kuwa gaidi vilevile.
 
Atakuwa anatoka kikosi cha kuzuia tamaa mijini chenye zaidi ya mapigo 144
 
Dada yangu sio wachaga woote ni wezi, wapo wezi wengi tuu na si wachaga!!Hivyo haina uhalali kuwa wachaga wengi ni wezi, wazee wa heshima kama Mhs Nsilo Swai, Eioufoo,Bi Lucy Rameck, Mzee Mtei hawakuwa wezi!!!
Hivi ulisha hama kule vijibweni kwa mzee Jumbe, ukarudi mjini, au bado ni mtoto wa mzee???
Its a mare joke dont worry!!!

Hapo kwa red nakataa kwa nguvu zote
 
natamani kujua hizi story za watu kama hawa mwanzo mwisho

ila najua vifo vyao huwa vya kotata sana hivi papaa msofe bado yuko keko

kiranga
 
Na kwa Mungu mtawakuta wachaga wakiwa maarufu. Badili kabila nyongo ikutoke.
 
Wachaga ni majanga, halafu tuwape nchi? Mawee!

Fauza;
Ubaguzi ni sumu; Utapeli hauna kabila; utabaki na akili mgando ya ccm hata lini?? Mbona viongozi wengi tu walioko madarakani na wengi waliopita wameoa huko huko na hakuna baya lililo wasibu?? Hakuna mchaga mwenye akili timamu atakaye uona uso wako ulivyo choka akuangalie. Usiogope, miye nimeoa huko lakini wala sina wasi naye. Toto limetuliaaa kwake sijaliona janga wala jangala
 
mie ntafurah siku wakimkamata Timothy Isaya Mugulu mtoto wa kigogo wa polis lkn tapeli la kufa mtu.
 
Back
Top Bottom