Tapeli maarufu Dar akamatwa na polisi

Tapeli maarufu Dar akamatwa na polisi

motowarombo

Member
Joined
Apr 11, 2014
Posts
37
Reaction score
13
Salaam wana JF,

Napenda kuwapa taarifa Watanzania wote kwamba Leo mchana kwenye mataa ya Morocco yule tapeli anayehusishwa na kulipua yard ya magari pale Mwenge Ladislus Mushi almaarufu Mushi Mapikipiki inasemekana aliingia mafichoni yeye na kundi lake,Leo mitaa ya mchana huu tukiwa pale Morocco kundi kubwa la polisi walilizunguka na kulitia nguvuni.

Kwa mtu yoyote aliyedhulumiwa nyumba,kiwanja au gari mnaweza kufika Oysterbay polisi.

Huyu tapeli ni smart sana kwenye mazungumzo,Mara nyingi anajidai anamiliki hotel kadhaa Nairobi.

Huyu jamaa walishamuuzia ndg yangu gari mpaka Leo liko polisi.

Huyu ni mtu HATARI sana kwa wasiokuwa na taarifa zake,anafanya uhalifu wake Kenya na Tanzania.
 
Gaidi + tapeli+mwizi mzoefu,

hii nimezungumzia mlipuko wa moto jumatatu alfajiri pale Mwenge
 
Ndo kusema kuwa police walikua hawampati au ndo wameamua kumwambia ajipitishe hapo ili wamkamate! bongo banaa
 
mleta mada bado cheo changu cha raisi wa team weka picha kipo pale pale.pls weka picha ya hilo tapeli.
 
Wachaga ni majanga, halafu tuwape nchi? Mawee!
Dada yangu sio wachaga woote ni wezi, wapo wezi wengi tuu na si wachaga!!Hivyo haina uhalali kuwa wachaga wengi ni wezi, wazee wa heshima kama Mhs Nsilo Swai, Eioufoo,Bi Lucy Rameck, Mzee Mtei hawakuwa wezi!!!
Hivi ulisha hama kule vijibweni kwa mzee Jumbe, ukarudi mjini, au bado ni mtoto wa mzee???
Its a mare joke dont worry!!!
 
Wahini obey kudai ile awe na kesi nyingi za kujibu
 
yani matapeli wamezidi jamani akamatwe tu ubaya ma polisi wanawafahamu na kuwaacha wanakera sana
 
mi nahc wpo weng zaid y huyo,labd huyo ndo anaanz kaz hiyo
 
Back
Top Bottom