Tapeli maarufu Dar akamatwa na polisi

Tapeli maarufu Dar akamatwa na polisi

Jamaa mtata sana, ametuuzia gari kufika nae polisi, polisi wanacheka wanasema" mzee mushi salama"

Tukaishiwa nguvu kabisa ,,

Kwani hiyo gari aliyowauzia ilikuwa na utata?tujuze mdau maana bana nchi hii haina police,inawashirika wa ujambazi haki ya nani tena me nasema
 
Sikatai uyasemayo lakini kumbuka, kila kabila lina sifa zake, wahaya wana yao, wasukuma wana yao, wachaga yao wizi, ujambazi na utapeli.

nadhani hujatembea ukajua. Muulize mtu wa arusha kuhusu mtu anayeitwa baba ruge. Halafu unijibu kama na yeye ni mchaga au la
 
Unachokikataa ni nini na sifa za wachaga zinajulikana? mchaga kama hajaiba siku moja anajiibia hata mwenyewe.

Wewe nikikuona nitakuzawadia dole langu la mkono la kati ili lipate kufumua marinda yako yote ila nina shaka kama bado hayajafumuliwa kwa tabia zako hizi!
 
Sikatai uyasemayo lakini kumbuka, kila kabila lina sifa zake, wahaya wana yao, wasukuma wana yao, wachaga yao wizi, ujambazi na utapeli.

Hizi sifa za makabila unazosema kazianinsha nani? Ni asilimia ngapi ya Wachaga wana hiyo sifa ya wizi, ujambazi na utapeli hadi u generalise?

Inaelekea una chuki binafsi na Wachaga lakini haitawapunguzia cho chote...

We endelea kubwata tu, wakati wenzio wanasonga mbele.
 
Ladislaus-Mushi.jpg
Mrs Bolt has long business history started back in year 1986. The Chairman and founder of Mrs Bolt Holding Company Mr Ladislaus Mushi is holding the history of this Company. He started his business carrier in year 1986 when he completed his secondary school.

His first business was selling second hand clothes "mitumba" at Kikombaa market in Nairobi Kenya he did this business for one year before he moved back home to Dar es salaam where he started importing beer from Kenya. In year 1987 he opened Grocery where he was selling different drinks and at the same time operate wholesale beer store.

In year 1987 he started operating a hardware store where he was very successful. In year 1988 is when his dream came true because he was using Mrs Bolt as his business name. This year he started auto spare parts business. In year 2000 he started General wholesale shop where he was selling different items.

In year 2002 he opened another auto spare part store at Kariakoo in both stores we are selling different auto spares serving customers mostly needed spares. In year 2007 he started a new Company Japan Tanzania Enterprises Co. Ltd. This is dealing with importing and selling motorcycles from Japan.

In 2009 he started another Company Japan Auto Connections Ltd. This is dealing with importing and selling used motor vehicles. In year 2010 he started another Company Double M connection Co Ltd. This is dealing with importing and selling bicycles.

Hizi sifa za makabila unazosema kazianinsha nani? Ni asilimia ngapi ya Wachaga wana hiyo sifa ya wizi, ujambazi na utapeli hadi u generalise?

Inaelekea una chuki binafsi na Wachaga lakini haitawapunguzia cho chote...

We endelea kubwata tu, wakati wenzio wanasonga mbele.

100%

wewe ni mchaga?
 
Aaaaaa....nchi yenyewe hii isha uzwa acha ale pesa....mjin shule c kwenda na daftari ukizan kunakusoma....chezea town.
 
View attachment 151741
Mrs Bolt has long business history started back in year 1986. The Chairman and founder of Mrs Bolt Holding Company Mr Ladislaus Mushi is holding the history of this Company. He started his business carrier in year 1986 when he completed his secondary school.

His first business was selling second hand clothes “mitumba” at Kikombaa market in Nairobi Kenya he did this business for one year before he moved back home to Dar es salaam where he started importing beer from Kenya. In year 1987 he opened Grocery where he was selling different drinks and at the same time operate wholesale beer store.

In year 1987 he started operating a hardware store where he was very successful. In year 1988 is when his dream came true because he was using Mrs Bolt as his business name. This year he started auto spare parts business. In year 2000 he started General wholesale shop where he was selling different items.

In year 2002 he opened another auto spare part store at Kariakoo in both stores we are selling different auto spares serving customers mostly needed spares. In year 2007 he started a new Company Japan Tanzania Enterprises Co. Ltd. This is dealing with importing and selling motorcycles from Japan.

In 2009 he started another Company Japan Auto Connections Ltd. This is dealing with importing and selling used motor vehicles. In year 2010 he started another Company Double M connection Co Ltd. This is dealing with importing and selling bicycles.

tunashukuru mdau umetusaidia picha yake,

ndiyo hili hili jambazi lenyewe

mara nyingi tunaliona hapo mama kawiche pub,maringo balaa,limechanganyikiwa likachoma mali zake au???
 
Hilo hilo,kuna picha tayari

Mnisamehe kama nitakua missinformed,miezi michache imepita nilisikia alikamatwa na msangi akitaka kusafirisha wasomali or something kwa njia za panya? Nachanganyikiwa coZ kama ndo yeye inamaana aliachiwa huru?
 
SS kinakuchanganya nn?nani alikuambia km unahela Bongo unafungwa?
 
Nashangaa hao watu ndo wanatuhubiria ukombozi...

Pathetic!!!
 
Back
Top Bottom