FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,802
Haiwezekani wakawa majanga zaidi ya hawa wa kutoka Msoga!!
Si ndio huyo jambazi alioshikwa, anatokea Msoga.
Haiwezekani wakawa majanga zaidi ya hawa wa kutoka Msoga!!
Mushi nuksi sana.Jamaa mtata sana, ametuuzia gari kufika nae polisi, polisi wanacheka wanasema" mzee mushi salama"
Tukaishiwa nguvu kabisa ,,
Wachaga ni majanga, halafu tuwape nchi? Mawee!
Nisamehe dada. Nimekutukana tusi baya sana kimoyomoyo. Iam really sorry.
chaggaphobia hio dadangu.
Dada yangu sio wachaga woote ni wezi, wapo wezi wengi tuu na si wachaga!!Hivyo haina uhalali kuwa wachaga wengi ni wezi, wazee wa heshima kama Mhs Nsilo Swai, Eioufoo,Bi Lucy Rameck, Mzee Mtei hawakuwa wezi!!!
Hivi ulisha hama kule vijibweni kwa mzee Jumbe, ukarudi mjini, au bado ni mtoto wa mzee???
Its a mare joke dont worry!!!
Mushi nuksi sana.
Wachaga ni majanga, halafu tuwape nchi? Mawee!
Wanaowalipia watoto Wa police kwene shule za academy mnawajua? Au mishahara ya police inatosha au watoto Wa police hawana haki ya kusoma academy?
Angekuwa na jina kinyume na hilo na amelipuwa mahali angeitwa gaidi sio tapeli.Huyu ni gaidi.Salaam wana JF,
Napenda kuwapa taarifa Watanzania wote kwamba Leo mchana kwenye mataa ya Morocco yule tapeli anayehusishwa na kulipua yard ya magari pale Mwenge Ladislus Mushi almaarufu Mushi Mapikipiki inasemekana aliingia mafichoni yeye na kundi lake,Leo mitaa ya mchana huu tukiwa pale Morocco kundi kubwa la polisi walilizunguka na kulitia nguvuni.
Kwa mtu yoyote aliyedhulumiwa nyumba,kiwanja au gari mnaweza kufika Oysterbay polisi.
Huyu tapeli ni smart sana kwenye mazungumzo,Mara nyingi anajidai anamiliki hotel kadhaa Nairobi.
Huyu jamaa walishamuuzia ndg yangu gari mpaka Leo liko polisi.
Huyu ni mtu HATARI sana kwa wasiokuwa na taarifa zake,anafanya uhalifu wake Kenya na Tanzania.
Acha ukabila we mfia dini.Sasa na wewe uliyeahidiwa wanaume 70 bikra mbona kila siku mnajilipua?Mnafaa kupewa nchi kweli.Wachaga ni majanga, halafu tuwape nchi? Mawee!
:israel::rapture:Futa kauli au Tanguliza neno BAADHI,,Seeeennnnnnnge sanaWachaga ni majanga, halafu tuwape nchi? Mawee!
Dada yangu sio wachaga woote ni wezi, wapo wezi wengi tuu na si wachaga!!Hivyo haina uhalali kuwa wachaga wengi ni wezi, wazee wa heshima kama Mhs Nsilo Swai, Eioufoo,Bi Lucy Rameck, Mzee Mtei hawakuwa wezi!!!
Hivi ulisha hama kule vijibweni kwa mzee Jumbe, ukarudi mjini, au bado ni mtoto wa mzee???
Its a mare joke dont worry!!!
Kuna mwingine anaitwa juma thabiti na said mashilingi wako kinondoni ni matapeli ya kutupwaaa